Uchaguzi 2020 Kamati Kuu ya CHADEMA msimtie huzuni Lissu, kukubali adhabu ya kinyonyaji maana yake ni kukubali hata jaribio la kuibiwa kura

Uongozi wa Chadema utoe sharti moja tu kwa NEC ili Lissu akubali kutumikia adhabu yao - wathibitishe kwa maandishi kupokea malalamiko ya Chadema kuhusu mgombea wa CCM na watoe sababu zinazowafanya NEC wasimchukulie hatua huyo mgombea wa CCM.

NEC wakifanya hivyo by leo Jumamosi na wakaweza kutoa maelezo yatakayojibu kikamilifu hoja za Chadema, then Lissu atumikie adhabu yake.
vinginevyo, Tundu Lissu kesho Jumapili wewe endelea na libeneke!
 
Yoyote atakayemuwahi adui kwenye uwanja wa mapambano ana nafasi kubwa ya kumshinda.

Lissu alishajipanga mapema na kuwahi uwanja wa mpambano akimsubiri adui kipindi cha uchaguzi. Atakayefika wapili kwenye mpambano atakuwa ameshachoka.

Mpaambanaji mwenye akili anawahi uwanja wa mapambano kisha atawalazimisha adui acheze ngoma yake wala adui hatomlazimisha yeye afanye nini. Kwa advantage hii atamfanya adui acheze ngoma yake hali ambayo itakuwa ni rahisi kumfanyia madhara makubwa adui yake. (ngumu kwa adui wake kuji defend hali ambayo imefanya apore matumaini yao kwa wanachi.

Utaweza kuwa na uhakika wa kumshinda adui wako endapo utamshambulia kikamilifu kwenye mapungufu yake makubwa na kujihakikishia usalama wako kwa kulinda maeneo yako kutoruhusu kushambuliwa. (Ambayo Lissu amewakazia Popoz na Tume).

Lissu anashambulia, mpinzani wake ana defence. Mpinzani wake anatafuta weak point vile vile. Anatumia Popoz na Tume ambayo ni batili. Mbinu baada ya mbinu. Udhaifu wowote atakaouonyesha Lissu ataruhusu mashambulizi yahamie kwake. Atakwisha!

Mnaomshauri apumzike tambueni mnammaliza wenyewe.

Hii ni art of war.
 
Kumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.

Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote.

Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa mazingira ya sasa ambayo haki haipo, lazima NEC na CCM waelewe kwamba amani haitakuwepo na tunaanza sasa, kampeni ziendelee kesho na kinachotokea kitokee.

Huku mtaani moto umeshachochewa na kinachotakiwa ni moto uendelee kuchochewa hivyo hivyo ukizingatia zimebaki wiki tatu tu, kupoa kwa siku saba kutapooza sana huu moto tuliouwasha.

Ushauri wangu ni Lissu endelea na kampeni, liwalo na liwe, kama wanakuengua tuelewe kimoja, kwamba uchaguzi hautakuwepo, halafu sasa tuone kinachotokea.

Shetani na auawe ni dhambi kumpa pumzi shetani.
Nakazia hapa.

CCM hawahitaj hata mbunge mmoja aa chadema kurudi bungeni.

Kukubali huu upuuzi wa nec , hakuwez kubadilisha chochote

Kwa ivo basi..KAMATI KUU, TOKENI NATAMKO MOJA TU..KUA HAMKUBALIANI NA ADHABU UCHWARA HIYOOO.

LISSU aendelee na Kampeni.
 
Kumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.

Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote.

Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa mazingira ya sasa ambayo haki haipo, lazima NEC na CCM waelewe kwamba amani haitakuwepo na tunaanza sasa, kampeni ziendelee kesho na kinachotokea kitokee.

Huku mtaani moto umeshachochewa na kinachotakiwa ni moto uendelee kuchochewa hivyo hivyo ukizingatia zimebaki wiki tatu tu, kupoa kwa siku saba kutapooza sana huu moto tuliouwasha.

Ushauri wangu ni Lissu endelea na kampeni, liwalo na liwe, kama wanakuengua tuelewe kimoja, kwamba uchaguzi hautakuwepo, halafu sasa tuone kinachotokea.

Shetani na auawe ni dhambi kumpa pumzi shetani.

Hali ya kuvumiliana iliyokuwa inaonekana imetokena na nguvu za dhahiri toka kwa wapenzi.

Muda huu ulikuwa ni wa onyesho la nguvu zaidi.

1. CDM + ACT ushirikiano waziwazi.
2. Kampeni za nguvu zaidi.
3. Madai kama yote na hasa walioenguliwa wote.
4. Mahera out!
5. Tume huru.
6.

Nguvu moja, nguvu ya umma ina suluhu zote.
 
ni bora uchinjwe shingo huku ukipambana kujiokoa, kuliko kuchinjwa shingo ukiwa umetulia tuli. Better Tundu Lissu aendelee na kampeni ili kama kumuengua ijulikan hakushirik uchaguzi. Hata yeye kasema msimamo wake, japo anasubiri na msimamo wa chama pia. Kusubiri huruma za CCM na Magufuli, ni kupoteza muda.
 
Kitu nachokiona kwa sisi washabiki wa chadema ni hizi jazba na ujuaji, ila nachoshukuru suala hili halijafika kwa viongozi wa juu, hizi jazba na ujuaji vimebaki kwa washabiki hasa huku mitandanoni.
Kila mtu mjuaji, kila mtu mshauri.
 
Kumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.

Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote.

Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa mazingira ya sasa ambayo haki haipo, lazima NEC na CCM waelewe kwamba amani haitakuwepo na tunaanza sasa, kampeni ziendelee kesho na kinachotokea kitokee.

Huku mtaani moto umeshachochewa na kinachotakiwa ni moto uendelee kuchochewa hivyo hivyo ukizingatia zimebaki wiki tatu tu, kupoa kwa siku saba kutapooza sana huu moto tuliouwasha.

Ushauri wangu ni Lissu endelea na kampeni, liwalo na liwe, kama wanakuengua tuelewe kimoja, kwamba uchaguzi hautakuwepo, halafu sasa tuone kinachotokea.

Shetani na auawe ni dhambi kumpa pumzi shetani.
Hii hoja ingekuwa ya maana sana kama wananchi tungeamua kupinga kwa vitendo ule udhalimu wa NEC badala ya kulalamika kwa maneno huku tumekumbatia wake zetu kwenye sofa.

Watanzania inabidi tuelewe haki dhidi ya utawala dhalimu haipatikani kwa kulalamika kwenye keyboard pekee bila kuonyesha kwa vitendo kuwa hatukubaliani na udhalimu huu.

Tusiishie kujifariji kwa maneno matupu kuwa 'yana mwisho haya' bila kuchukua hatua za kuyamaliza.

Nilitegemea kama kweli tunakerwa na mwenendo wa uchaguzi tungekuwa tumepiga kambi tume ya uchaguzi kushinikiza haki itendeke.

Short of that ni kujipa Faraja isiyo na Faraja ndani yake.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
ni bora uchinjwe shingo huku ukipambana kujiokoa, kuliko kuchinjwa shingo ukiwa umetulia tuli. Better Tundu Lissu aendelee na kampeni ili kama kumuengua ijulikan hakushirik uchaguzi. Hata yeye kasema msimamo wake, japo anasubiri na msimamo wa chama pia. Kusubiri huruma za CCM na Magufuli, ni kupoteza muda.
Pamoja na hayo BAVICHA wanapaswa kutoka watoe tamko la kukusanyika ofisi za tume ya uchaguzi kushinikiza mchakato wa uchaguzi uwe wa haki nje na hapo hatuwezi kuwa na matokeo chanya katika udhalimu wa wazi wazi namna hii.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
2015 CUF walisusia uchaguzi Zanzibar, na uchaguzi uliendelea kama kawaida. Hakuna wa kusimamisha uchaguzi eti kisa Lissu kaenguliwa.
Washauri hawa ni wa ccm. Mlango wao wa kutokea ni kumfuta Lisu akubaliane na maamuzi ya kamati ya maadili.
 
Hii hoja ingekuwa ya maana sana kama wananchi tungeamua kupinga kwa vitendo ule udhalimu wa NEC badala ya kulalamika kwa maneno huku tumekumbatia wake zetu kwenye sofa.

Watanzania inabidi tuelewe haki dhidi ya utawala dhalimu haipatikani kwa kulalamika kwenye keyboard pekee bila kuonyesha kwa vitendo kuwa hatukubaliani na udhalimu huu.

Tusiishie kujifariji kwa maneno matupu kuwa 'yana mwisho haya' bila kuchukua hatua za kuyamaliza.

Nilitegemea kama kweli tunakerwa na mwenendo wa uchaguzi tungekuwa tumepiga kambi tume ya uchaguzi kushinikiza haki itendeke.

Short of that ni kujipa Faraja isiyo na Faraja ndani yake.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hapa nakuunga mkono, na hili suala ndio limezaa yote haya hadi leo.
Uchaguzi zanzibar ulihairishwa tukasusa bila kuchukua hatua yoyote.
Serikali za mitaa tukasusa bila kuchukua hatua zozote.
Nina uhakika hata leo hii wakiamua kumfuta lissu hakuna lolote tutalofanya zaidi ya kuja kupost tu humu.
Hebu fikiria suzan kiwanga mgombea ubunge wa mlimba kakatwa kinguvu, lakini hakuna lolote kama wananchi tumeweza kufanya zaidi tu ya kulalamika huku jf
 
Hii hoja ingekuwa ya maana sana kama wananchi tungeamua kupinga kwa vitendo ule udhalimu wa NEC badala ya kulalamika kwa maneno huku tumekumbatia wake zetu kwenye sofa.

Watanzania inabidi tuelewe haki dhidi ya utawala dhalimu haipatikani kwa kulalamika kwenye keyboard pekee bila kuonyesha kwa vitendo kuwa hatukubaliani na udhalimu huu.

Tusiishie kujifariji kwa maneno matupu kuwa 'yana mwisho haya' bila kuchukua hatua za kuyamaliza.

Nilitegemea kama kweli tunakerwa na mwenendo wa uchaguzi tungekuwa tumepiga kambi tume ya uchaguzi kushinikiza haki itendeke.

Short of that ni kujipa Faraja isiyo na Faraja ndani yake.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Watu wanasahau kwamba huko Uganda, Rwanda, Afrika ya Kati, Cameroon, Gabon na nchi nyingine nyingi zenye udikteta kote huko Kuna ukandamizaji wa haki za kiraia na kisiasa lkn dunia ipo kimya. ..
 
Pamoja na hayo BAVICHA wanapaswa kutoka watoe tamko la kukusanyika ofisi za tume ya uchaguzi kushinikiza mchakato wa uchaguzi uwe wa haki nje na hapo hatuwezi kuwa na matokeo chanya katika udhalimu wa wazi wazi namna hii.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Leo umekuwa na akili sana, nimeuliza baadhi ya viongozi wa chadema kuwa huu uchaguzi tunawezaje kushinda ikiwa tayari tushatengeneza mgogoro na NEC??
 
Kushinda uchaguzi Lissu awezi and he has nothing to loose zaidi ya kujaribu kuleta chaos Tanzania ndio maana ajali; Viongozi wengi wa CDM have everything to loose.

NImependa tactic ya NEC tatizo la Lissu wamewarudishia CDM wenyewe, asipotii futilia mbali CDM wote kushiriki uchaguzi. Tanzania can live for 5 years without unpatriotic politicians.
 
Ni kweli kama kweli tuna dhamira ya kubadili maamuzi ya NEC, tungeanza na suzan mlimba aliyekatwa kinguvu bila sababu za msingi. Ila hadi leo kimyaa na yule mama kishapoteza ubunge tayari
Watu wanasahau kwamba huko Uganda, Rwanda, Afrika ya Kati, Cameroon, Gabon na nchi nyingine nyingi zenye udikteta kote huko Kuna ukandamizaji wa haki za kiraia na kisiasa lkn dunia ipo kimya. ..
 
CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.

Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Mkuu,
Naona ulikuwa garage... Sasa umerudi ktk awamu ya mwisho ya kampeni
 
Ni kweli kama kweli tuna dhamira ya kubadili maamuzi ya NEC, tungeanza na suzan mlimba aliyekatwa kinguvu bila sababu za msingi. Ila hadi leo kimyaa na yule mama kishapoteza ubunge tayari
Wananchi bado tumelala. Tunapiga kelele nyuma ya keyboard bila kwenda front
 
Kushinda uchaguzi Lissu awezi and he has nothing to loose zaidi ya kujaribu kuleta chaos Tanzania ndio maana ajali; Viongozi wengi wa CDM have everything to loose.

NImependa tactic ya NEC tatizo la Lissu wamewarudishia CDM wenyewe, asipotii futilia mbali CDM wote kushiriki uchaguzi. Tanzania can live for 5 years without unpatriotic politicians.
Unayajua matokeo ya kuifuta chadema?
 
Naunga mkono hoja! Hili watu wengi hawalioni. Huwezi kupumzika kumpiga adui. Apumzike kwa lipi?
Msimamo ni haki lazima itendeke. Ubaki msimamo huo huo. Wenye unyonge wabaki na dhana zao za uoga na unyonge. Akifanya kutii hiyo amri ameshakwisha! Ccm wanapima upepo kuona reaction itakuwaje.
Mkuu utakuwepo kwenye mkutano wake pale atakapokaidi zuio la Tume na kuendelea na kampeni!?
 
Back
Top Bottom