Nakazia hapa.Kumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.
Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote.
Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa mazingira ya sasa ambayo haki haipo, lazima NEC na CCM waelewe kwamba amani haitakuwepo na tunaanza sasa, kampeni ziendelee kesho na kinachotokea kitokee.
Huku mtaani moto umeshachochewa na kinachotakiwa ni moto uendelee kuchochewa hivyo hivyo ukizingatia zimebaki wiki tatu tu, kupoa kwa siku saba kutapooza sana huu moto tuliouwasha.
Ushauri wangu ni Lissu endelea na kampeni, liwalo na liwe, kama wanakuengua tuelewe kimoja, kwamba uchaguzi hautakuwepo, halafu sasa tuone kinachotokea.
Shetani na auawe ni dhambi kumpa pumzi shetani.
Kumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.
Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote.
Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa mazingira ya sasa ambayo haki haipo, lazima NEC na CCM waelewe kwamba amani haitakuwepo na tunaanza sasa, kampeni ziendelee kesho na kinachotokea kitokee.
Huku mtaani moto umeshachochewa na kinachotakiwa ni moto uendelee kuchochewa hivyo hivyo ukizingatia zimebaki wiki tatu tu, kupoa kwa siku saba kutapooza sana huu moto tuliouwasha.
Ushauri wangu ni Lissu endelea na kampeni, liwalo na liwe, kama wanakuengua tuelewe kimoja, kwamba uchaguzi hautakuwepo, halafu sasa tuone kinachotokea.
Shetani na auawe ni dhambi kumpa pumzi shetani.
Hii hoja ingekuwa ya maana sana kama wananchi tungeamua kupinga kwa vitendo ule udhalimu wa NEC badala ya kulalamika kwa maneno huku tumekumbatia wake zetu kwenye sofa.Kumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.
Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote.
Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa mazingira ya sasa ambayo haki haipo, lazima NEC na CCM waelewe kwamba amani haitakuwepo na tunaanza sasa, kampeni ziendelee kesho na kinachotokea kitokee.
Huku mtaani moto umeshachochewa na kinachotakiwa ni moto uendelee kuchochewa hivyo hivyo ukizingatia zimebaki wiki tatu tu, kupoa kwa siku saba kutapooza sana huu moto tuliouwasha.
Ushauri wangu ni Lissu endelea na kampeni, liwalo na liwe, kama wanakuengua tuelewe kimoja, kwamba uchaguzi hautakuwepo, halafu sasa tuone kinachotokea.
Shetani na auawe ni dhambi kumpa pumzi shetani.
Pamoja na hayo BAVICHA wanapaswa kutoka watoe tamko la kukusanyika ofisi za tume ya uchaguzi kushinikiza mchakato wa uchaguzi uwe wa haki nje na hapo hatuwezi kuwa na matokeo chanya katika udhalimu wa wazi wazi namna hii.ni bora uchinjwe shingo huku ukipambana kujiokoa, kuliko kuchinjwa shingo ukiwa umetulia tuli. Better Tundu Lissu aendelee na kampeni ili kama kumuengua ijulikan hakushirik uchaguzi. Hata yeye kasema msimamo wake, japo anasubiri na msimamo wa chama pia. Kusubiri huruma za CCM na Magufuli, ni kupoteza muda.
Washauri hawa ni wa ccm. Mlango wao wa kutokea ni kumfuta Lisu akubaliane na maamuzi ya kamati ya maadili.2015 CUF walisusia uchaguzi Zanzibar, na uchaguzi uliendelea kama kawaida. Hakuna wa kusimamisha uchaguzi eti kisa Lissu kaenguliwa.
Hapa nakuunga mkono, na hili suala ndio limezaa yote haya hadi leo.Hii hoja ingekuwa ya maana sana kama wananchi tungeamua kupinga kwa vitendo ule udhalimu wa NEC badala ya kulalamika kwa maneno huku tumekumbatia wake zetu kwenye sofa.
Watanzania inabidi tuelewe haki dhidi ya utawala dhalimu haipatikani kwa kulalamika kwenye keyboard pekee bila kuonyesha kwa vitendo kuwa hatukubaliani na udhalimu huu.
Tusiishie kujifariji kwa maneno matupu kuwa 'yana mwisho haya' bila kuchukua hatua za kuyamaliza.
Nilitegemea kama kweli tunakerwa na mwenendo wa uchaguzi tungekuwa tumepiga kambi tume ya uchaguzi kushinikiza haki itendeke.
Short of that ni kujipa Faraja isiyo na Faraja ndani yake.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Watu wanasahau kwamba huko Uganda, Rwanda, Afrika ya Kati, Cameroon, Gabon na nchi nyingine nyingi zenye udikteta kote huko Kuna ukandamizaji wa haki za kiraia na kisiasa lkn dunia ipo kimya. ..Hii hoja ingekuwa ya maana sana kama wananchi tungeamua kupinga kwa vitendo ule udhalimu wa NEC badala ya kulalamika kwa maneno huku tumekumbatia wake zetu kwenye sofa.
Watanzania inabidi tuelewe haki dhidi ya utawala dhalimu haipatikani kwa kulalamika kwenye keyboard pekee bila kuonyesha kwa vitendo kuwa hatukubaliani na udhalimu huu.
Tusiishie kujifariji kwa maneno matupu kuwa 'yana mwisho haya' bila kuchukua hatua za kuyamaliza.
Nilitegemea kama kweli tunakerwa na mwenendo wa uchaguzi tungekuwa tumepiga kambi tume ya uchaguzi kushinikiza haki itendeke.
Short of that ni kujipa Faraja isiyo na Faraja ndani yake.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Leo umekuwa na akili sana, nimeuliza baadhi ya viongozi wa chadema kuwa huu uchaguzi tunawezaje kushinda ikiwa tayari tushatengeneza mgogoro na NEC??Pamoja na hayo BAVICHA wanapaswa kutoka watoe tamko la kukusanyika ofisi za tume ya uchaguzi kushinikiza mchakato wa uchaguzi uwe wa haki nje na hapo hatuwezi kuwa na matokeo chanya katika udhalimu wa wazi wazi namna hii.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Watu wanasahau kwamba huko Uganda, Rwanda, Afrika ya Kati, Cameroon, Gabon na nchi nyingine nyingi zenye udikteta kote huko Kuna ukandamizaji wa haki za kiraia na kisiasa lkn dunia ipo kimya. ..
Mkuu,CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.
Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Wananchi bado tumelala. Tunapiga kelele nyuma ya keyboard bila kwenda frontNi kweli kama kweli tuna dhamira ya kubadili maamuzi ya NEC, tungeanza na suzan mlimba aliyekatwa kinguvu bila sababu za msingi. Ila hadi leo kimyaa na yule mama kishapoteza ubunge tayari
Unayajua matokeo ya kuifuta chadema?Kushinda uchaguzi Lissu awezi and he has nothing to loose zaidi ya kujaribu kuleta chaos Tanzania ndio maana ajali; Viongozi wengi wa CDM have everything to loose.
NImependa tactic ya NEC tatizo la Lissu wamewarudishia CDM wenyewe, asipotii futilia mbali CDM wote kushiriki uchaguzi. Tanzania can live for 5 years without unpatriotic politicians.
Nina wasiwasi na akili yakoCHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.
Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Mkuu utakuwepo kwenye mkutano wake pale atakapokaidi zuio la Tume na kuendelea na kampeni!?Naunga mkono hoja! Hili watu wengi hawalioni. Huwezi kupumzika kumpiga adui. Apumzike kwa lipi?
Msimamo ni haki lazima itendeke. Ubaki msimamo huo huo. Wenye unyonge wabaki na dhana zao za uoga na unyonge. Akifanya kutii hiyo amri ameshakwisha! Ccm wanapima upepo kuona reaction itakuwaje.