Sio hajui kitu tuu, Bali ni mpuuzi pia. Tulingoja kwa muda mrefu kupata MTU aina ya Lissu atuongoze kudai haki zetu na sasa tumempata.Tulia wewe hujui kitu
Ni ujinga kama unategemea hisia za watu uwaone wakifanya fujo mitaa kwa sasa.Ni mitaa gani hiyo Moto umechochewa...tunachoona sisi wengine kwenye mitaa mingi watu wanaendelea na shughuli zao wakisubiri hiyo oktoba 28...lakini labda mtaa wa mitandao ndiko tunaona baadhi wanafurukuta..
Waulize kwanini wengi wao wanatii sheria za uchaguzi; kama NEC hawana rungu ilo?Unayajua matokeo ya kuifuta chadema?
Dogo, unafananisha Bahari na kisima??!2015 CUF walisusia uchaguzi Zanzibar, na uchaguzi uliendelea kama kawaida. Hakuna wa kusimamisha uchaguzi eti kisa Lissu kaenguliwa.
2015 sio 2020. Hata hivyo CCM ya Kikwete ilikuwa inajua kuiba na kupuliza sio hii ya kishamba inayidhani kuiba na ubabe itawasaidia.2015 CUF walisusia uchaguzi Zanzibar, na uchaguzi uliendelea kama kawaida. Hakuna wa kusimamisha uchaguzi eti kisa Lissu kaenguliwa.
Kikubwa umefahamu lisu 1 sawa sawa ccm wote +tume+police+msajili+musiba=unapata jawabu lake ni lisuSawa.
Wakati utaongea na Mtajuta kumsimamisha T.Lissu kama mgombea wenu wa Urais Tz.
Kureorg ngome inapokuwa inapigwa sio ujinga nyie shupazeni shingo mnajichimbia shimo wenyewe msiilaumu CCM.No Retreat no Surrender!!
Hakuna ufedhuli utaachwa kimya mwaka huu.
Pumbavuuuu! Mmeshindwa kukiua miaka mitano mtaweza wiki tatu?CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.
Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Mpeni kichwa tu azidi kuvunja sheria.Kikubwa umefahamu lisu 1 sawa sawa ccm wote +tume+police+msajili+musiba=unapata jawabu lake ni lisu
Pumbavuuuu! Mmeshindwa kukiua miaka mitano mtaweza wiki tatu?
Ukweli ndio huo kasoro jpm lakini jopo loote linamshambulia sijui anaridhishwa naniMpeni kichwa tu azidi kuvunja sheria.
Tukutane nae huku tutimize majukumu yetu.
tuweni wa kweli utawala wa haki na sheria hautajengwa na mashinikizo ya mabeberu lazima ziwe juhudi za ndani ya nchi kutoka kwa wananchi wenyewe.Watu wanasahau kwamba huko Uganda, Rwanda, Afrika ya Kati, Cameroon, Gabon na nchi nyingine nyingi zenye udikteta kote huko Kuna ukandamizaji wa haki za kiraia na kisiasa lkn dunia ipo kimya. ..
Mihemuko na akili chakavu.Wewe ni CHADEMA ambao inaelekea kabisa hamumtaki Lissu.Akiendelea na Jeuri inaweza ikaja adhabu mbaya zaidi ambayo muathirika atakuwa ni Lissu. CHADEMA ni taasisi kubwa itapata michubuko tu lakini itaendelea kuwepo na Mwenyekiti na viongozi wengine wataendelea kuwepo.Kutokana na michubuko ya CHADEMA itakayosababishwa na tabia mbaya ya mtu mmoja,wataanza kumchukulia hatua na hatma yake ni Lissu kufukuzwa CHADEMA.Kwa ushauritu,Lissu afuate taratibu na hatua zinazochukuliwa kwake.Kumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.
Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote.
Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa mazingira ya sasa ambayo haki haipo, lazima NEC na CCM waelewe kwamba amani haitakuwepo na tunaanza sasa, kampeni ziendelee kesho na kinachotokea kitokee.
Huku mtaani moto umeshachochewa na kinachotakiwa ni moto uendelee kuchochewa hivyo hivyo ukizingatia zimebaki wiki tatu tu, kupoa kwa siku saba kutapooza sana huu moto tuliouwasha.
Ushauri wangu ni Lissu endelea na kampeni, liwalo na liwe, kama wanakuengua tuelewe kimoja, kwamba uchaguzi hautakuwepo, halafu sasa tuone kinachotokea.
Shetani na auawe ni dhambi kumpa pumzi shetani.
Nendeni mkamtibu babu yenu aliyekata pumziCHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.
Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
CCM wamejaza mabango peke yao nchi nzima ,wanajisifu wamefanya mambo makubwa sana lakini wana mgombea weak vibaya mno hawezi kufanya kampeni mfululizo for 7 days mmebaki kutumia polisi na NEC kumdhibiti Lissu Muda wa kukataliwa duniani na mbinguni umeshafika kwa Meko.Kumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.
Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote.
Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa mazingira ya sasa ambayo haki haipo, lazima NEC na CCM waelewe kwamba amani haitakuwepo na tunaanza sasa, kampeni ziendelee kesho na kinachotokea kitokee.
Huku mtaani moto umeshachochewa na kinachotakiwa ni moto uendelee kuchochewa hivyo hivyo ukizingatia zimebaki wiki tatu tu, kupoa kwa siku saba kutapooza sana huu moto tuliouwasha.
Ushauri wangu ni Lissu endelea na kampeni, liwalo na liwe, kama wanakuengua tuelewe kimoja, kwamba uchaguzi hautakuwepo, halafu sasa tuone kinachotokea.
Shetani na auawe ni dhambi kumpa pumzi shetani.
Ushauri tu.Ukweli ndio huo kasoro jpm lakini jopo loote linamshambulia sijui anaridhishwa nani
Chakaza tusijipe faraja hewa tuanze na mchakato wa kurejesha wagombea wetu.Ni ujinga kama unategemea hisia za watu uwaone wakifanya fujo mitaa kwa sasa.
Waambieni wafanye Yale waliyo zoea chaguzi za marudio waone moto