Huko kujifia ndio umeanza kusema wewe leo?toka wenzako waanze sema hivo imepita miaka na miaka
PoleeOctober tunakamilisha mazishi,
Pole yako...naona sindano inawaingia taaratibu
Pole yako...naona sindano inawaingia taaratibu
The mtandao voice is a reflection of what is happening on the ground.Ni mitaa gani hiyo Moto umechochewa...tunachoona sisi wengine kwenye mitaa mingi watu wanaendelea na shughuli zao wakisubiri hiyo oktoba 28...lakini labda mtaa wa mitandao ndiko tunaona baadhi wanafurukuta..
Na tu dollar 390 mill twa manunuzi ya ndege ulaya. OVER PAYMENT.Lissu hana kashfa. Mwenye kashfa ni Meko.
Kashfa zenyewe ni hizi:
1. Wizi wa Tshs. Tril 1.5
2. Kujimilikisha ardhi ekari 25,000 kule Karagwe.
3. Kuuza na kuhonga nyumba za serikali kinyume na utaratibu.
4. Kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwake.
5. Kutoa zabuni kwa mtu aliyeoa naye nyumba moja pasi kumshindanisha na wengine.
6. Kumteua mpwa wake kuwa mlipaji mkuu wa serikali wakati hajakidhi vigezo. Na kashfa nyingine lukuki.
Do you think so?! Ok let's wait and see when the day of reckoning comes..The mtandao voice is a reflection of what is happening on the ground.
Tatizo lako unataka tuwe wapumbavu kama misukule ya Lumumba, this time around tumejitambua.
Kukosa kujitambua kwako kumekufanya ushindwe kuona, mwamko na ukomavu wa wananchi.
Endelea kuota
Aendelee na kampeni Kabisa Hamna kupoa hata kidogoKumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.
Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote.
Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa mazingira ya sasa ambayo haki haipo, lazima NEC na CCM waelewe kwamba amani haitakuwepo na tunaanza sasa, kampeni ziendelee kesho na kinachotokea kitokee.
Huku mtaani moto umeshachochewa na kinachotakiwa ni moto uendelee kuchochewa hivyo hivyo ukizingatia zimebaki wiki tatu tu, kupoa kwa siku saba kutapooza sana huu moto tuliouwasha.
Ushauri wangu ni Lissu endelea na kampeni, liwalo na liwe, kama wanakuengua tuelewe kimoja, kwamba uchaguzi hautakuwepo, halafu sasa tuone kinachotokea.
Shetani na auawe ni dhambi kumpa pumzi shetani.
Kamati kuu ikija na misimamo tofauti na ya Lisu juu ya huu ujinga wa NEC, Tundu Lissu ondoka zako ukafanye kazi nyingine duniani huko utuache na ulofa wetu maana hatujitambui
Ajaribu kukaidi alafu aone nini maana ya kuheshimu sheria za nchi.
Mkuu kamati kuu ya Chadema wameamuaje!?Mbona tayari
chadema walishamkana lissu kwamba hawahusiki na matamshi yakeKukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote.
Wewe mwenyewe umelewa sasa sisi wenye timamu hatuwezi kikusikiliza wewe mlevi wa Bia. Na inaonekana ccm wote mmetiwa mastresi na Lissu kwa hiyo ndo maana mmeanza kulewa, ngoja Jamaa aendelee kuwadunga sindano na dikteta uchwara wako.CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.
Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Ni kweli kabisa na Lisu alikataa kabisa wito wa tume ya maadili akasema yeye anaendelea na kampeni kamati ya Chadema ndio ikamlazomisha kuwa lazima atii afike Dar es salaam ajieleze mbele ya tume yeye Kama yeye na matamshi yakechadema walishamkana lissu kwamba hawahusiki na matamshi yake