Uchaguzi 2020 Kamati Kuu ya CHADEMA msimtie huzuni Lissu, kukubali adhabu ya kinyonyaji maana yake ni kukubali hata jaribio la kuibiwa kura

Uchaguzi 2020 Kamati Kuu ya CHADEMA msimtie huzuni Lissu, kukubali adhabu ya kinyonyaji maana yake ni kukubali hata jaribio la kuibiwa kura

Ni mitaa gani hiyo Moto umechochewa...tunachoona sisi wengine kwenye mitaa mingi watu wanaendelea na shughuli zao wakisubiri hiyo oktoba 28...lakini labda mtaa wa mitandao ndiko tunaona baadhi wanafurukuta..
The mtandao voice is a reflection of what is happening on the ground.
 
Lissu hana kashfa. Mwenye kashfa ni Meko.
Kashfa zenyewe ni hizi:

1. Wizi wa Tshs. Tril 1.5

2. Kujimilikisha ardhi ekari 25,000 kule Karagwe.

3. Kuuza na kuhonga nyumba za serikali kinyume na utaratibu.

4. Kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwake.

5. Kutoa zabuni kwa mtu aliyeoa naye nyumba moja pasi kumshindanisha na wengine.

6. Kumteua mpwa wake kuwa mlipaji mkuu wa serikali wakati hajakidhi vigezo. Na kashfa nyingine lukuki.
Na tu dollar 390 mill twa manunuzi ya ndege ulaya. OVER PAYMENT.
 
Kamati kuu ikija na misimamo tofauti na ya Lisu juu ya huu ujinga wa NEC, Tundu Lissu ondoka zako ukafanye kazi nyingine duniani huko utuache na ulofa wetu maana hatujitambui
 
Tatizo lako unataka tuwe wapumbavu kama misukule ya Lumumba, this time around tumejitambua.

Kukosa kujitambua kwako kumekufanya ushindwe kuona, mwamko na ukomavu wa wananchi.

Endelea kuota

Mimi natoa Taarifa Rasmi tu.

Sina Personal Interest. Lissu akitoka kesho, Plan iliyokuwepo ni kumuweka ndani miezi 3.

Atatoka kipindi Rais ni JPM , na akithubutu kuongea baada ya kampeni ; mara hii atapelekwa gerezani kama wale Mashekh wa Uhamsho. Hivyo , kama yupo serious , mumshauri TL avumilie hizo siku 7 .

Tambua kwamba Uchaguzi wetu hautoharibika kwa kutokuwepo CHADEMA. Kwani ni miaka mingapi Chadema hata Form za mwisho za kusaini kukubali CCM kushinda urais hawasaini ( je hiyo imeshawahi kusababisha Rais asitangazwe? )

Mshauri, apunguze Munkari. There is something wrong with this man in his head!

He is too obsessed,

Enzi ya JK huyu anaenda Gerezani huko anaharibiwa kwanza halafu anarudishwa mtaani. Anatulia mwenyewe.
 
Kumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.

Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote.

Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa mazingira ya sasa ambayo haki haipo, lazima NEC na CCM waelewe kwamba amani haitakuwepo na tunaanza sasa, kampeni ziendelee kesho na kinachotokea kitokee.

Huku mtaani moto umeshachochewa na kinachotakiwa ni moto uendelee kuchochewa hivyo hivyo ukizingatia zimebaki wiki tatu tu, kupoa kwa siku saba kutapooza sana huu moto tuliouwasha.

Ushauri wangu ni Lissu endelea na kampeni, liwalo na liwe, kama wanakuengua tuelewe kimoja, kwamba uchaguzi hautakuwepo, halafu sasa tuone kinachotokea.

Shetani na auawe ni dhambi kumpa pumzi shetani.
Aendelee na kampeni Kabisa Hamna kupoa hata kidogo
 
Mbona tayari
Kamati kuu ikija na misimamo tofauti na ya Lisu juu ya huu ujinga wa NEC, Tundu Lissu ondoka zako ukafanye kazi nyingine duniani huko utuache na ulofa wetu maana hatujitambui
 
Ningekuona mwenye busara kama ungeishauri hiyo kamati kuu impe zuio wakili wa lisu asiendelee kuingilia mchakato wa uchaguzi kwani matamko yake yanaipa image mbaya Chadema kuwa ni mawakala wa mabeberu.
 
Lissu akiendelea kupinga maagizo ya tume ataondolewa kwenye uchaguzi na uchaguzi utaendelea. Na hakuna la ajabu litakalotokea, maisha yataendelea.
 
Wewe
CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.

Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Wewe mwenyewe umelewa sasa sisi wenye timamu hatuwezi kikusikiliza wewe mlevi wa Bia. Na inaonekana ccm wote mmetiwa mastresi na Lissu kwa hiyo ndo maana mmeanza kulewa, ngoja Jamaa aendelee kuwadunga sindano na dikteta uchwara wako.
 
Nilichojifunza kupitia comments mbalimbali zimejaa porojo,,,,, Hakuna mwenye hoja za msingi
Bavicha Mnajipa matumaini,,,,,
Safari yenu inaenda kufa hivi punde...
LAKINI WENGI WENU MNASEMA AENDELEE NA KAMPENI,,,, JE WEWE UTAKUWEPO??????
au mnawatia wenzenu UJINGA NA UPUMBAVU TU????
jaribuni huu moto,,,, muone nini kitawakuta,,,,,,, HATA HUYO LISUASUA ANATEST MITAMBO TU
ngoja tuone leo,,,,,
 
Chadema mkikubali hizi siku 7 mjue mtalazimika kukubali kuibiwa kura pia. NEC wanatakiwa wawaheshimu, kivipi, Lissu ameshasema.
 
chadema walishamkana lissu kwamba hawahusiki na matamshi yake
Ni kweli kabisa na Lisu alikataa kabisa wito wa tume ya maadili akasema yeye anaendelea na kampeni kamati ya Chadema ndio ikamlazomisha kuwa lazima atii afike Dar es salaam ajieleze mbele ya tume yeye Kama yeye na matamshi yake

Kwa jeuri alipofika Dar akagoma kwenda tume akawaambia sitaki siendi amueni lolote

Kamati wakaona Kuna hatari huyu asipoenda italeta shida kubwa kwa chama ndipo wakatuma mawakili wawili waende kunusuru chama
Maamuzi yalipotoka asifanye kampeni siku Saba akaenda vyombo vya habari kusema hatambui bila kuwasiliana na kamati kuu
Ikabidi Tena kamati kuu imwambie wewe Sasa inatakiwa tukujadili kamati kuu usiendelee na kampeni mpaka sisi kamati kuu tutoe tamko letu

Allitwa kikaoni kikao Cha kamati kuu akajieleze kakataa akawaambia amueni lolote I don't care ndio maana kamati imechelewa kutoa tamko Kuna issues very hot za ku sort out
 
Back
Top Bottom