Kamati Kuu ya CHADEMA watoto wao ni raia wa nchi zingine

Hawa wenye watoto nje ya nchi kama wapo na hawa wanaoficha hela za nchi nje ya nchi kama wapo kuna tafauti gani?
 
Acha uhobobo...

Kuwa na "future" na taifa ni kuwa KIONGOZI ,MWANASIASA pekee?!!![emoji849][emoji849]



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi
 
Mawazo ya kimaskini sana, tukianza kukaguana tutajikuta wanaosoma Kayumba ni watoto wa wakulima ambao ki-uhalisia hawana future yoyote na Taifa letu.

Kama kuna mbunge yoyote CCM anamsomesha mwanae kayumba asimame tumuhesabu.
Acha "uhobobo" na mental slavery...

Kuwa na "future" na taifa ni kuwa KIONGOZI ,MTAWALA,MWANASIASA PEKEE?!!!

Kwa hiyo watoto wa wakulima HAWALIMI wakawalisha hao unaowaona bora....
Kwa hiyo watoto wa wakulima hawako katika sekta ya utumishi na biashara kuwahudumia watanzania?!!!![emoji849][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wacha wakawe mashoga huko washnz San
 
Hivi mnajua kuwa Nyalandu na Makamba ni raia wa marekani? Hivi mnajua kuwa Kinana ni raia wa canada/ Mama samia ana uraia wa arabuni! Hao ni viongozi wakuu.
Acha kukurupuka na watoto angalia ndani ya chama chako wewe!
 
Ni vigimu sna kuamini viongozi was chadema Ni Kaz sna Mara Mia Wana ccm mnk wengi tupo nao ahapa
 
Hivi mnajua kuwa Nyalandu na Makamba ni raia wa marekani? Hivi mnajua kuwa Kinana ni raia wa canada/ Mama samia ana uraia wa arabuni! Hao ni viongozi wakuu.
Acha kukurupuka na watoto angalia ndani ya chama chako wewe!
Si kweli mama Samia si raia wa uarabuni...umelewa Mbege mchana huu ama John Moto ?!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ni vigimu sna kuamini viongozi was chadema Ni Kaz sna Mara Mia Wana ccm mnk wengi tupo nao ahapa
Tupo nao hapa ndo maana wana kwapua
Hao wasioaminika wametajwa ukurasa wa ngapi kwenye report ya CAG?
acheni upuuzi wenu nyie watu wanatuibia kila siku mnataka tuwaamini kisa tu wengine wanaenda ulaya! Huu ushamba wenu pelekeni huko lumumba
 
W
Hawatetei masilahi ya nchi
Wale waliopo pale dodoma wanatetea maslahi ya nani? Wapuuzi nyie watetee maslahi ya taifa yanatetewa na ccm hao waliouza viwanda vyetu ndo unatuaminisha ndo watetezi wa maslahi ya taifa
Wameuziana nyumba za umma kwa mahala ,zao
Wameuza bank ya biashara
Wameuza mashamba ya mikonge
Wameuza mpaka mboga
Madini
Gesi
Hao ndo watetezi wa mali za taifa?
Mnataka kina lisu watee mali za taifa wana dola?
Pelekeni ujinga lumumba wajinga nyie
 
Wee Hakika chadema wamekuteka akili
 
Mpaka tukuambie wale waarabu waliopewa loliondo ni ndugu zake ndiyo mtapata akili hasa sababu ya kufurumusha wamasai!
Unaongea kama umevuviwa na pepo mchafu [emoji1787]

Mh.Samia Suluhu Hassan ni MMAKUNDUCHI(jaje-mwakakogwa)....

Wamakunduchi hawana asili na WAARABU wala UARABUNI....jifunze haya uupanue ubongo wako....

Unamhusisha na waitwao waarabu wa Loliondo kwa sababu mh.Rais Samia ni muislamu na hao waarabu wa Loliondo nao waislamu ama?!!!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…