Kamati Kuu ya CHADEMA yawakuta na hatia Kubenea na Komu. Wavuliwa nyadhifa zote chamani na kupewa onyo

Sijui Yericko anajisikiaje huko aliko make alikuwa akinyemelea kale kajimbo ka ubungo, na chchezi nyiiingi wakati hukumu ilikuwa haijatoka
 
Hivi zito ni CAG?
 
hahahaaa!

CCM bana..mapovu debe baada ya kile mlichokitarajia kushindikana.

halafu inaonekana umesahau mwenyekiti wenu wa kwanza CCM alikalia hiko kiti miongo mingapi!
 
nawapongeza chadema kwa maamuzi haya yaliyojaa busara. ingekuwa jambo la hovyo sana chadema ingewafukuza ubunge wabunge hao wawili kisha mabilioni ya watanzania yapotee kwenye kurudia uchaguzi. hongereni sana.
 
Hongera kamati kuu ccm walidhani watafukuzwa imekula kwao
Yani ndio mana sipendi chama chochote cha siasa maana watu tunageuka wajinga kabisa...nina uhakika asilimia zote kwamba hawa watu wangetimuliwa,watu aina kama yako mungekuwa wa kwanza kupongeza uongozi wa chama

Kama huamini ninacho kuambia,jaribu kupitia nyuzi za yeriko nyerere za hivi karibuni na jaribu kusoma comments za watu
 
Nya


Nyamaza wewe, acha kuandika mafunza yako
 
Wangejaribu kuwafukuza ndo ulikua mwisho wa Mbowe na chagadema yake,hao ndio wameshikiria button ya uhai wa Mbowe na saccos yake,wanajua dhambi zote
Kati ya hao na Slaa ni nani anakijua vizuri chama na undani wake?
Mbowe anaelewa ya kuwa Chama kiko inflitrated na vyombo vya serikali!!
 
Wangejaribu kuwafukuza ndo ulikua mwisho wa Mbowe na chagadema yake,hao ndio wameshikiria button ya uhai wa Mbowe na saccos yake,wanajua dhambi zote
Unanikumbusha mwendawazimu mmoja niliewahi kumuona Bunda stendi ya zamani miaka mingi kidogo. Yule kichaa alikuwa 'muongoza' magari pale stendi. Liwe linatoka, kuingia, kurudi nyuma yote 'aliyaongoza' ingawa hakuna dereva alomtilia maanani, isipokuwa wale walomwona kichekesho. Amen.
 
Ulipamba uchafuzi wote kwa hawa jamaa, na hukumu ingefata kile ulichokuwa umekiandika, Wallahi, ungekuwa sasa unashangilia, lkn tunajua unataka hako kajimbo ka ubungo ila next time usioneshe chuki za wazi wazi kwa wenzako kma ulivyo fanya kwa kuwavua nguo. Haya, hukumu ya msamaha imetoka wataonekanaje kwa wananchi kwa uchafu uliowandikia? Utawasafishaje?
 

Hoja yako fikirishi, Nimeanza kuwaza tofauti!
 
Kwa Makosa Yalifanywa Na Kubenea na Komu Kupewa Onyo tu Haitoshi Nimegundua CHADEMA kuna Shida Sehemu Nimewaza Hapa Wameogopa Kuonekana Kila Anaepingana na Mbowe Anafukuzwa Kwenye Chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…