Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Sisi tukajua wanavuliwa uanachama kumbe wanavuliwa uongozi [emoji26][emoji1787][emoji1787][emoji1787]chadema janja itaisha lin
 
Nani nimemkejeri mkuu. Kwani ni siri kuhusu Mbowe na Faru John? Mbona nakunywa naye kila mara hapa Triple 7 na anajua huwa namwambia kila nikikutana naye?
Jobu muda huu anameza doz ya kurefusha maisha mana leo cd4 zitashuka
 
Bado wanapiga faru john wakilewa watarudi tena ulingoni
 
Sisi tukajua wanavuliwa uanachama kumbe wanavuliwa uongozi [emoji26][emoji1787][emoji1787][emoji1787]chadema janja itaisha lin
Umechelewa kwa kifupi wanatakiwa waombe upya uanachama kama wataomba msamaa hadharani. Wao sio wanachama wala viongozi tena wa CHADEMA.
 
Kamati Kuu Chadema imewafukuza uanachama Halima Mdee na Wenzake 18

Mheshimiwa Mbowe ametangaza maamuzi hayo ambapo kwanza imewavua nyadhifa zote za chama, kisha imewafukuza uanachama wao.

Tangu leo si wanachama tena wa Chadema.
Wakiomba msamaha?
 
Naona wameamua kuzika hapo hapo Bahari beach🤣🤣🤣
 
Title ya uzi inasema wamevuliwa nyadhifa ilihali ukweli ni kuwa wamevuliwa uanachama. Hii si sawa kabisa!
covid 19 wamevuliwa nyadhifa na uanachama kwa sasa wanategemea ndugai kuwabeba,Tanzania inaenda kupaa kimataifa tena kwa mara nyingine na demokrasia ya kipekee
 
Covid 19 out
 
Ndungai has turned a number one feminist, protecting the minority MP’s.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…