Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum


Someni vizuri statement, wanevuliwa uongozi siyo kufukuzwa uwanachama
 
Ruzuku watapata shs ngap????
 
duh mnaroho ngumu nyie kama paka yani bado tu hamtaki kuamini, okay tufanye hawajafukuzwa


 
Chadema kumbe mtu akisaliti bado kuna option ya kuomba msamaha ?? Msaliti ni mtu hatari kabisa tena hawa ni wajumbe wa kamati kuu Mbowe anacheza na akili za wanachadema anajua pressure ni kubwa nje , ametoboa kitundu kidogo upepo utoke then kukipoa mtaani atakuja na kusema wameandika barua tumewasamehe ...wanaendelea kuwa wanachama automatically ubunge utaendelea na ruzuku ataendelea kupokea huwezi kusema utambui uongozi kazini lakini mshahara unachukua

Option peekee kwa Chadema kama chama cha siasa kurun Ops zake na kulipa mishahara ni ruzuku kwani chadema hawana biashara wala miradi mingine ya kuingiza kipato . Mbowe anachofanya ni kubuy pass akili za wanachama wake wa mitandaoni ,beberu mweusi Lissu na Katibu wake na mtu atakae ishi maisha magumu ktk chama kwa sasa ni Mnyika soon atakuja geuka nyuma na kujikuta peke yake ktk uwanja wa vita .
 
Ndugai kwa hili tumsamehe tu maana dawa ni kali na zinahitaji mtu ule ushibe na upumzike nyumbani kwa mkeo.
 
Mbowe msanii sana

Kawavua Nyadhifa hajawavua Uanachama

Sasa Mtu kama Nusrat Hanje aaache Ubunge kwa ajili ya nafasi ya Ukatibu wa bavicha aliyokuwa nayo?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…