Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Mkuu hata Kama ujui kusoma hata picha uoni WAMEVULIWA UANACHAMA WAO wana haki ya kukata Rufaa kwa taratibu za chama cha CDM
Subiri uone semantics za kuwavua uongozi na kuazimia kuwavua uanachama
 
JUSTICE HAS BEEN SERVED, BORA WAONDOSHWE KAMA WATAKATA RUFAA WAKUBALI KUACHIA KOFIA MOJA, EITHER WAWE WABUNGWE WASALITI WA KUBEBWA NA CCM KWA MAGUMASHI AU WAWE WANACHAMA WATIIFU WAUACHIE UBUNGE.. IT'S EITHER OF THE TWO
 
Nyumbu ni CCM kwani acha ufala ulizani ukiipakazia chadema unyumbu kienyeji unakwepa kuwa nyumbu, kutengeneza sinema za kuidhoofisha chadema ni unyumbu hata kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani ni unyumbu huo, nyumbu ni CCM hata Ndungai kuwanunua covid 19 ni unyumbu huo
 
Sijui ni njaa tuu au ujuaji tuuu kwanini Mdee alifanya vile
 
duh mnaroho ngumu nyie kama paka yani bado tu hamtaki kuamini, okay tufanye hawajafukuzwa
Hv unajua maana ya Damage Control wewe? ilikuwa ni lazima afanye hvyo kwa maana amefanya risk assessment Mbowe si mjinga kama unavyodhani anajua kutapoa ndo Maana kafunga mlango kazima taa ndani then kafungua dirisha na kuwawashia tochi wale waliofukuzwa nje kuwa wanaweza pitia huku nyinyi bakini mnalinda mlango wenzenu wataingilia dirishani na watalala kitandani nyinyi mkiendelea kulinda mlango wasiingie
 
Mbowe ni kiongozi mstaarabu sana.
Bonge la khotuba kwa kutulia kabisa.
Utofaut lazima uonekane tuu .... mpaka nataman Tuombe mdahalo(mechi ya kirafiki ugenini) bungeni na mashabiki wa maradona
 
JUSTICE HAS BEEN SERVED, BORA WAONDOSHWE KAMA WATAKATA RUFAA WAKUBALI KUACHIA KOFIA MOJA, EITHER WAWE WABUNGWE WASALITI WA KUBEBWA NA CCM KWA MAGUMASHI AU WAWE WANACHAMA WATIIFU WAUACHIE UBUNGE.. IT'S EITHER OF THE TWO
Covid 19 sasa ni madanga ya kisiasa huko CCM wapo busy kudanga kwa Ndungai mara kwa Mwanasheria mkuu wa CCM sasa watakuwa wabunge wa mahakamaccm siyo wabunge wa chadema tena
 
unajua siku zote nakuona duni sana sema jf ina sheria ngumu hasa kwa sisi waandamizi , ndio maana nakuacha tu
Ulitaka kunifanyaje dada? Tunaendelea kuwanyoosha sasa BAWACHA sasa haipo inabidi muanze upya! Huko siyo kunyooshwa huko?
 
Hapo ndio utajua hata kamati kuu wamekurupuka, nenda kasome katiba ya CHADEMA, utaratibu wa kumvua mtu uanachama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…