Unadhani dhana ya CCM kuua upinzani wanatekeleza vipi?.
Hata hao mawakala wangekuwepo kwa yaliyofanyika nini kingebadilika?.Ndio maana watu wameona wapande ndege ili kubadili uwanja wa mapambano.
Yamkini ni kweli lakini hiyo 40% yatosha sana.Leo naomba nikwambie kitu cha tofauti UPINZANI wa Tanzania ni SELF DESTRUCTION kwani asilimia 60% ya viongozi wa vyama hivi ni watu waliokosa nafasi CCM matokeo yake wanatumia vyama hivi kama grounds za kuonekana waitwe National team (CCM) hawana commitments wala hawako loyal kwa itikadi na siasa za vyama husika.
Leo Hii ni viongozi wachache sana wa upinzani wanaweza kupiga chini nafasi za uteuzi!
Hata wangezielewa kwa yaliyofanyika nini kingebadilika?Grounds za siasa za Tanzania si kwamba CDM walikuwa hawazielewi.
Kuna mahali wamekosea this time na ndio maana matokeo yake kuwa mabaya zaidi kwa upande wao .
Akate rufaa na kuomba msamahaKamati kuu nawaomba saana chonde chonde hiyu Nasrat aliyekuwa gelezani mpunguzieni adhabu... hakujua dili lolote katolewa tu usiku kakutana live live na zari la mentari mezani...fuko la era..hata ningekuwa mimi jamani imanii imanii..afu tena katolewa kwa ulinzi mkubwa kama waziri wa ulinzi...lazima upanic
Bado binti mdogo...haya makuberi yamemponza maskini...
Hivi kichwani kwako kuna nini!?Acha uongo. HAWAJATIMULIWA
Hii nzuri sana, ndio sababu siachi kumuamini huyu jamaa hata dakika moja, Viva.-"Wanasema Mbowe nimetoa authorization akina Mdee waende kuapa. Mimi over my dead body. I am not and I will never be a person to betray this party. This part is my blood and sweat. This party is our future as a nation. Nitakuwa wa mwisho kwa gharama yoyote kukihujumu chama changu"
Done, hongera sana Chadema...No One is bigger than the partyMwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama
Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa.
Stay Tuned for Updates
======================
Waandishi wanaanza kuwasili ukumbini wanaoingia wanatakiwa kuwa vitambulisho.
Muda wowote kuanzia Viongozi wa Chadema wataingia ukumbini kuongea na waandishi wa habari.
22:08
Bado Viongozi wa Chadema hawajafika ukumbini
Mkutano huo utakuwa live kupitiaTayari Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe ameshafika ukumbini
Tunawashukuru Watanzania wengi ambao wanafuatilia kikao maalum cha ajenda moja ya kujadili, kushauriana na kutafakari juu ya wanachama wetu 19 waliokwenda kuapa kuwa wabunge wa viti maalum- Freeman Mbowe
"Sisi kama kamati kuu ya chama kikuu cha upinzani, tumeona na kuridhishwa kuna ukiukwaji mkubwa umekiukwa katika mchakato mzima wa uchaguzi na huu wa viti maalum. Tumejiridhisha ndani ya chama kuhusu mapungufu kadhaa yaliyofanyika-; Mbowe
“Chama chetu hakijateuwa Wabunge wa Viti Maalum lakini tunaona wapo Bungeni wanaapishwa”Mbowe
Tangu nchi hii ipate uhuru hatujawai kuona Mbunge/Wabunge wakiapishwa garage, mambo ya kihuni kabisa haya..." Mbowe
“Hiki chama kinaongozwa na principles bila kujali maumivu makubwa tuliyopitia chama chetu kitafuata utaratibu siku zote, kwahiyo kamati kuu imewavua nafasi zao za uongozi viongozi wote waliokua na nafasi katika mabaraza ya chama.”
@freemanmbowetz
“Kamati Kuu imewavua Uongozi wale wote ambao walikuwa Viongozi kwenye Mabaraza kati ya hao Dada zetu 19 sitaki kupoteza muda kuwataja majina, kwahiyo kuanzia sasa hawapaswi kushughulika na lolote kama Viongozi na tumeelekeza nafasi zao zizibwe haraka” -MBOWE
"Ili kanuni ambayo Spika ametumia iweze kufanya kazi kuapisha wabunge wetu. Kwanza wangestahili kubadilisha Katiba iruhusu wabunge kuapishwa nje ya utaratibu ambao ni ndani ya Bunge" -
Nusrate Hanje Katibu wa Bavicha amefungwa jela siku 133 kwa makosa yenye dhamana, hawa Watesi wetu wanakwenda kumtoa saa moja usiku akaape.”
”Chama chetu hakijateua Wabunge wa Viti Maalum tunaona tu Watu wetu wanaapishwa na hatuna taarifa, hatujapeleka majina, fomu za Tume zipo ofisini Mama zetu hawa Dada zetu hawajajaza fomu, ila tunaona tu wanaaapishwa”-
"Sisi kama chama cha siasa, hii 'process' yote hatuijui, tunaona tu wabunge wetu wanaapishwa. Chama chetu hakijateua wabunge wa viti maalum" -
"Wabunge hawa 19, mama zangu na dada zangu wameapishwa kiapo batili kwani Katiba inasema waapishwe mbele ya Bunge. Sasa kanuni zimebadilishwa ili kumruhusu Spika kumwapisha popote hata eneo la gereji-
“Tangu Nchi yetu imeanza hatujawahi kuona Wabunge wanaapishwa Gereji, lakini Dada zetu na Mama zetu hawa wameapishwa nje ya Bunge, wakati Katiba inataka waapishwe ndani ya Bunge, kwahiyo wamekula kiapo batili”
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema Kamati Kuu ya Chama hicho iliyoketi leo Nov 27,2020 imeazimia kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 waliopishwa juzi kuwa Wabunge Viti Maalum “wamekinajisi Chama na wamekataa kuja kwenye Kamati Kuu”
”Chama chetu hakijateua Wabunge wa Viti Maalum tunaona tu Watu wetu wanaapishwa na hatuna taarifa, hatujapeleka majina, fomu za Tume zipo ofisini Mama zetu hawa Dada zetu hawajajaza fomu, ila tunaona tu wanaapishwa”
“Kamati Kuu imewavua Uongozi wale wote ambao walikuwa Viongozi kwenye Mabaraza kati ya hao Dada zetu 19 sitaki kupoteza muda kuwataja majina, kwahiyo kuanzia sasa hawapaswi kushughulika na lolote kama Viongozi na tumeelekeza nafasi zao zizibwe haraka”
"Kamati Kuu imeazimia kuwavua uanachama wake wote 19 wakiongozwa na Halima Mdee , walioapa kule Dodoma.-Mbowe
ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM WA CHADEMA 2020 WALIOVULIWA UWANACHAMA NI:
1. Halima Mdee
2. Grace Tendega
3. Ester Matiko
4. Cecilia Pareso
5. Ester Bulaya
6. Agnesta Kaiza
7. Nusrat Hanje
8. Jesca Kishoa
9. Hawa Mwaifunga
10. Tunza Malapo
11. Felister Njau
12. Naghenjwa Kaboyoka
13. Sophia Mwakagenda
14. Kunti Majala
15. Stela Fiayo
16. Anatropia Theonest
17. Salome Makamba
18. Conchesta Rwamlaza
19. Asia Mohammed
Maandamano yalikuwa tarehe 2 lakini siku moja kabla Yaani tarehe 1 wewe na Polisiccm mkaanza vitisho kuwakamata viongozi wa chadema kwa uoga wenu, hapo waoga wa maandamano ni CCMAkina halima na matiko watakuwa wamepiga pesa ndefu sana za maccm ila hata kama ningekuwa mimi ningekubali maana kama wanachama wanaambiwa waandamane barabarani wao wanaandamana mtandaoni wakiongozwa na jasusi fake Yericko Nyerere
Le mutuz kala pesa zao nyingi aliwadanganya atawapelekea waganga wa kienyeji wazuie wasifukuzwe chademaCOVID 19 wameshapigwa chini,sasa wakaanzishe chama chao.
Hata wangezielewa kwa yaliyofanyika nini kingebadilika?
Ila Wachagga kwa kweli naomba niwaheshimu kuanzia leo! Nyie ni vichwa hatari sana, yaani hata ukikuta Mchagga hajapiga shule vizuri utafikri ana ma PhD! Maamuzi yaliyofanywa na Mbowe na kamati yake ni uthibitisho wa akili kubwa! La kwetu pamoja na kwamba sisi tunajua siyo li Sukuma, linafanya mambo ya hovyo kabisa utafikri lipumbavu la wapi? Limeiba jura kura mpaka likajiibia sasa linahaha ovyo ovyo tu kuhadaa viongozi wa upinzani, shenzy typuni kabisa!-"unaitwa mbele ya kamati kuu, unasema upewe muda wa kutafakari? wakati unakwenda kuapa mbona hukutafakari"-; Freeman Mbowe😂😂😂
Hata CCM bado sana kuchukua pesa za walipa kodi kuwanunua covid 19 badala ya Maendeleo ni matumizi mabaya ya pesa za umma, CCM kulazimisha kupendwa kwa kutumia gharama kubwa pesa za walipa kodiSina chama ila bila kupepesa macho upinzani baaado sana, mkabisha. Views si kura jamani, mkabisha
Sasa mmeanza kulana wenyewe kwa wenyewe. Soon John na Tundu wataunga juhudi ndio mtapoita maji mma, labda maono yatawarudia.
Bye Felicia!
CHADEMA wana jeshi?Wakati huu wangeweza kuwa na wabunge na madiwani wengi zaidi .
Presidential candidate shouldn’t have been their priority from the first place .
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetaniWakati huu wangeweza kuwa na wabunge na madiwani wengi zaidi .
Presidential candidate shouldn’t have been their priority from the first place .
Thanx CDM mmefanya KILE nilichotamani....MDEE NA WENZAKO RUDI MTUBU,OMBENI RADHI WATANZANIA....NDUGAI ANAWATUMIA,ATAWATUPA...NA MTAPOTEA....Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama
Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa.
Stay Tuned for Updates
======================
Waandishi wanaanza kuwasili ukumbini wanaoingia wanatakiwa kuwa vitambulisho.
Muda wowote kuanzia Viongozi wa Chadema wataingia ukumbini kuongea na waandishi wa habari.
22:08
Bado Viongozi wa Chadema hawajafika ukumbini
Mkutano huo utakuwa live kupitiaTayari Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe ameshafika ukumbini
Tunawashukuru Watanzania wengi ambao wanafuatilia kikao maalum cha ajenda moja ya kujadili, kushauriana na kutafakari juu ya wanachama wetu 19 waliokwenda kuapa kuwa wabunge wa viti maalum- Freeman Mbowe
"Sisi kama kamati kuu ya chama kikuu cha upinzani, tumeona na kuridhishwa kuna ukiukwaji mkubwa umekiukwa katika mchakato mzima wa uchaguzi na huu wa viti maalum. Tumejiridhisha ndani ya chama kuhusu mapungufu kadhaa yaliyofanyika-; Mbowe
“Chama chetu hakijateuwa Wabunge wa Viti Maalum lakini tunaona wapo Bungeni wanaapishwa”Mbowe
Tangu nchi hii ipate uhuru hatujawai kuona Mbunge/Wabunge wakiapishwa garage, mambo ya kihuni kabisa haya..." Mbowe
“Hiki chama kinaongozwa na principles bila kujali maumivu makubwa tuliyopitia chama chetu kitafuata utaratibu siku zote, kwahiyo kamati kuu imewavua nafasi zao za uongozi viongozi wote waliokua na nafasi katika mabaraza ya chama.”
@freemanmbowetz
“Kamati Kuu imewavua Uongozi wale wote ambao walikuwa Viongozi kwenye Mabaraza kati ya hao Dada zetu 19 sitaki kupoteza muda kuwataja majina, kwahiyo kuanzia sasa hawapaswi kushughulika na lolote kama Viongozi na tumeelekeza nafasi zao zizibwe haraka” -MBOWE
"Ili kanuni ambayo Spika ametumia iweze kufanya kazi kuapisha wabunge wetu. Kwanza wangestahili kubadilisha Katiba iruhusu wabunge kuapishwa nje ya utaratibu ambao ni ndani ya Bunge" -
Nusrate Hanje Katibu wa Bavicha amefungwa jela siku 133 kwa makosa yenye dhamana, hawa Watesi wetu wanakwenda kumtoa saa moja usiku akaape.”
”Chama chetu hakijateua Wabunge wa Viti Maalum tunaona tu Watu wetu wanaapishwa na hatuna taarifa, hatujapeleka majina, fomu za Tume zipo ofisini Mama zetu hawa Dada zetu hawajajaza fomu, ila tunaona tu wanaaapishwa”-
"Sisi kama chama cha siasa, hii 'process' yote hatuijui, tunaona tu wabunge wetu wanaapishwa. Chama chetu hakijateua wabunge wa viti maalum" -
"Wabunge hawa 19, mama zangu na dada zangu wameapishwa kiapo batili kwani Katiba inasema waapishwe mbele ya Bunge. Sasa kanuni zimebadilishwa ili kumruhusu Spika kumwapisha popote hata eneo la gereji-
“Tangu Nchi yetu imeanza hatujawahi kuona Wabunge wanaapishwa Gereji, lakini Dada zetu na Mama zetu hawa wameapishwa nje ya Bunge, wakati Katiba inataka waapishwe ndani ya Bunge, kwahiyo wamekula kiapo batili”
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema Kamati Kuu ya Chama hicho iliyoketi leo Nov 27,2020 imeazimia kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 waliopishwa juzi kuwa Wabunge Viti Maalum “wamekinajisi Chama na wamekataa kuja kwenye Kamati Kuu”
”Chama chetu hakijateua Wabunge wa Viti Maalum tunaona tu Watu wetu wanaapishwa na hatuna taarifa, hatujapeleka majina, fomu za Tume zipo ofisini Mama zetu hawa Dada zetu hawajajaza fomu, ila tunaona tu wanaapishwa”
“Kamati Kuu imewavua Uongozi wale wote ambao walikuwa Viongozi kwenye Mabaraza kati ya hao Dada zetu 19 sitaki kupoteza muda kuwataja majina, kwahiyo kuanzia sasa hawapaswi kushughulika na lolote kama Viongozi na tumeelekeza nafasi zao zizibwe haraka”
"Kamati Kuu imeazimia kuwavua uanachama wake wote 19 wakiongozwa na Halima Mdee , walioapa kule Dodoma.-Mbowe
ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM WA CHADEMA 2020 WALIOVULIWA UWANACHAMA NI:
1. Halima Mdee
2. Grace Tendega
3. Ester Matiko
4. Cecilia Pareso
5. Ester Bulaya
6. Agnesta Kaiza
7. Nusrat Hanje
8. Jesca Kishoa
9. Hawa Mwaifunga
10. Tunza Malapo
11. Felister Njau
12. Naghenjwa Kaboyoka
13. Sophia Mwakagenda
14. Kunti Majala
15. Stela Fiayo
16. Anatropia Theonest
17. Salome Makamba
18. Conchesta Rwamlaza
19. Asia Mohammed
Babu yangu aliniambia kuwa nikiona mtu anajiitia "bilionea", "John D. Rockerfeller", "Bob Marley", Isaac Newton", basi nijuwe kuwa ni kinyume chake,leo nimeamini kupitia comments zako.Ushabiki mwingi kuliko uelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]