Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa CCM kuketi kikao maalum Jumamosi (20/03/2021). Yatangaza siku 21 za maombolezo

Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa CCM kuketi kikao maalum Jumamosi (20/03/2021). Yatangaza siku 21 za maombolezo

Mpuuzi kwelikweli wewe, unadhani Wewe unaweza kuiziba nafasi ya JPM. Kama kuna anayefanana naye ndiye anayetufaaa. Aliyemfaa JPM huyo ndiye tunayemtaka na aliyemkataa JPM huyo hatumtaki
Nchi sio mtu nchi ni katiba aliondoka Nyerere na basic tunasonga. Maisha ni safarii ukifika kituo chako unashuka, uzuii gari kusonga mbele. Wewe kama ni mnufaika imeisha hio, amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu.
 
CAG baada ya kumaliza term yake haajiriki popote serikalini. Ndivyo utaratibu ulivyo.
Utaratibu ulikuwa mtu akimaliza vipindi vyake viwili vya uongozi, basi harusiwi kugombea tena.

Juzi tu hapa hata bungeni ilikuwa ikiongeleka namna ya kufanya maarifa kuondoa ukomo huo, ili uwezekano wa kutawala indefinitely uwepo.

Basi tutumie maarifa yaleyale kuadjust huo utaratibu, basi Prof Assad na wengine kama J.Kikwete warudi ili treni irudi kwenye reli
 
Mmekutana ili mcheze ngoma ya CDM maana ndio waliowabana kutangaza kifo na Leo mmebanwa kuomboleza siku 21 wakati serikali chini mvunja katiba Samia imemnyima marehemu siku Saba zaidi kwa kutangaza siku 14 tu. Eti polepole anadhani akisema sambamba na tangazo la serikali ndio ataivalisha nguo. Hovyo kabisa

Umejuaje, pengine walianza kuhesabu tangu roho ilipoacha mwili!!
 
Mpuuzi kwelikweli wewe, unadhani Wewe unaweza kuiziba nafasi ya JPM. Kama kuna anayefanana naye ndiye anayetufaaa. Aliyemfaa JPM huyo ndiye tunayemtaka na aliyemkataa JPM huyo hatumtaki
Unachofanya hapa ni kuabudu. Ni ibada.
JPM kapumzika, tutafuata mwongozo wa Rais mpya.
 
Serikali wataomboleza siku 14.
CCM wao wataomboleza siku 21.
Hata hivyo HAINA MAANA YOYOTE
Sheria ya mazishi ya viongozi inasema kifo cha makamu wa rais akiwa yuko ofisini maombolezo ni siku 14 lakini kwa Rais aliyeko madarakani ni siku 21. Je, hayati Dr. Magufuli alikuwa makamu wa rais?
 
Mfukuzeni Bashiru ni kirusi, mabaki ya jiwe yote fukuza.
Bashiru haingii tena yeye kabaki na Makamu wa Rais,
Sema Kikao hicho wakaribishwe Wazee wa Chama kama J. Kikwete, A. Kinana, Mzee Yusuf Makamba ndipo jina litatoka zuri kuliko kumkaribisha Bashiru huenda ana majina.
 
Sheria ya mazishi ya viongozi inasema kifo cha makamu wa rais akiwa yuko ofisini maombolezo ni siku 14 lakini kwa rais aliyeko madarakani ni siku 21. Je, hayati Dr Magufuli alikuwa makamu wa rais?
Tupo kwenye maombolezo, ni wapi pameandikwa siku 21? Hayo ni maamuzi yako na Polepole
Ghana Jerry Lawrance alikaa miezi 6 hajazikwa sasa mnataka tusifaidi Makamu atakavyoapishwa na kufyeka Mawaziri kwa Wakuu wa Mikoa?
 
Sheria ya mazishi ya viongozi inasema kifo cha makamu wa rais akiwa yuko ofisini maombolezo ni siku 14 lakini kwa rais aliyeko madarakani ni siku 21. Je, hayati Dr Magufuli alikuwa makamu wa rais?
Kwanini siku hizi zilitengwa!?
Lazima kuna sababu walisema siku ziwe 21 na huku 14.. je hicho walichotaka kukikamilisha ndani ya siku 21 kinaweza kukamilika ndani ya siku 14 kwa teknolojia na sayansi ya leo!?
 
Bashiru haingii tena yeye kabaki na Makamu wa Rais,
sema Kikao hicho wakaribishwe Wazee wa Chama km J Kikwete, A. Kinana, Mzee Yusuf Makamba ndipo jina litatoka zuri kuliko kumkaribisha Bashiru huenda ana majina.
Weeeweeeeeeee
 
CCM muwe makini. Msituletee tena mgonjwa
 
Back
Top Bottom