Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Kwahiyo ukimwita mwendazake unapelekwa mahakamani au? Shangazi wa taifa kaisha muita mwendazake hukohuko insta .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama kifo ni kufaidisha watu wanaokandamizwa,kuna watu wasingekuwa yatima mbwa wee.Mbona sasa Mungu kamchukua mwendazake kama kweli huwa anajitenga na sisi 'nyumbu'?
Kweli kabisa amani gani wanayohamisisha wkt MWENDAZAKE alikuwa.SADISTHofu yangu ni kuwa wanaweza kuchochea zaidi watu kutumia hilo jina
huyu jamaa kilikuwa chuma,na jiwe kwelikweli,aliwanyoosha haswa.wallah hawata msahau kamwe.Kuna watu humu wasipomuongelea jpm hawapumui.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Maisha yanaenda kasi sana leo hii dudu baya kawa askofu
Sasa ndio ametutuma tuendelee. Hili kanisa baada ya Jiwe kuamuru Lissu apigwe risasi wao walimpa tuzo ya kiongozi bora. Mbona hatukuwaingilia? Watuache na wasituingilie. Kama yeye alipata mgao toka kwa kazi ya Ole Sabaya aliyokuwa akitumwa na mwendazake aendelee kutafuna taratibu huku sisi tukiendelea kumkumbuka mwendazake kwa maovu yakeKamati ya Amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.
Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.
Je, unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita Magufuli mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?
Credit Malisa GJ
Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Uliwahi kusikia kiongozi wa hayo makanisa wanaita ya kipentekoste wakikemea maovu ya watawala? Makanisa yao yenyewe ni ya mfukoni mwa mtu na siyo taasisi, kwa hiyo wakikemea wanaogopa kuchokonolewa na serikali na kuziba ulaji wao. Makanisa gani hayana mifumo, hayana nyuma wala mbele. Makanisa yapo mawili tu Tanzania. nayo ni KKKT ya Dkt. Shao na Dkt. Bagonza na ROman Catholic ya Askofu Severine Niwemugizi. Wengine hawa ni matapeli tu, eti sijui Gwajima, Upako, Gamanywa, Kakobe, etc. Wezi wakubwaHawa ni wa kuwapuuza kabisa, hawakukemea maovu waliyofanyiwa raia,walikuwa watu wa kupongeza tu,wamefikia hatua ya uvivu wa kuangalia kamusi
Ukute huyo Anayejiita Askofu katoka ile Kanda ya watu wabaya na wauaji wakubwa. Au aliolea nyumba moja na mwandazake. Akijisahau na yeye atakuwa Mwendazake siyo muda mrefuKamati ya Amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.
Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.
Je, unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita Magufuli mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?
Credit Malisa GJ
Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Basi tuacheni kumwita Mwendazake tuanze kumuita "Hamnazo". Maana jana kwenye TBC kipindi cha TAFAJURI yule presenter Shaban Kissu amemuita HamnazoUliwahi kusikia kiongozi wa hayo makanisa wanaita ya kipentekoste wakikemea maovu ya watawala? Makanisa yao yenyewe ni ya mfukoni mwa mtu na siyo taasisi, kwa hiyo wakikemea wanaogopa kuchokonolewa na serikali na kuziba ulaji wao. Makanisa gani hayana mifumo, hayana nyuma wala mbele. Makanisa yapo mawili tu Tanzania. nayo ni KKKT ya Dkt. Shao na Dkt. Bagonza na ROman Catholic ya Askofu Severine Niwemugizi. Wengine hawa ni matapeli tu, eti sijui Gwajima, Upako, Gamanywa, Kakobe, etc. Wezi wakubwa
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Kwani hapo kwa wazo lako hili murua huyo yeye Askofu anasemaje?Basi tuacheni kumwita Mwendazake tuanze kumuita "Hamnazo". Maana jana kwenye TBC kipindi cha TAFAJURI yule presenter Shaban Kissu amemuita Hamnazo
Ndio amekufa sasa, kama inampenda saaaana mfuate.kama kifo ni kufaidisha watu wanaokandamizwa,kuna watu wasingekuwa yatima mbwa wee.