Kamati ya Amani yapiga marufuku Magufuli kuitwa "Mwendazake", Wametumia sheria gani?

Kamati ya Amani yapiga marufuku Magufuli kuitwa "Mwendazake", Wametumia sheria gani?

nitamfata kwa ridhaa yangu ila wewe israel atakupeleka huku umefinya matako.
hutaki kufa kisa unapenda kuliwa.
Marko 7: 20-23
"Akasema, Kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi. Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati, wivi, uuaji, uzinzi, tamaa mbaya, ukorofi, hila, ufisadi, kijicho, matukano, kiburi, upumbavu. Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi."
 
Wamekosa allowance alizokuwa anawapatia wakimsifia na kumpa mic kila anapoenda kanisani.

Wasitupangie tutamuita tunavyotaka wao waende kaburini wakamlilie awape hela.
 
Mjinga ni wewe, marehemu kiongozi anaitwa Hayati.
Kwa matabia yake machafu aliyoyafanya hana hadhi ya kuitwa hayati, hata hilo mwendazake ni sababu ya kumsitiri tu, lile HAMNAZO la TBC ndiyo stahili yake.
 
Basi tuacheni kumwita Mwendazake tuanze kumuita "Hamnazo". Maana jana kwenye TBC kipindi cha TAFAJURI yule presenter Shaban Kissu amemuita Hamnazo
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Eti Hamnazo. Mimi naona aitwe Hamnazo Mwendazake maana kwa mila na desturi zetu mara nyingi tuna majina mawili
 
Kamati ya Amani ya wapi
Ambayo haikukemea uvunjaji wa nyumba KIMARA,huku Mwanza ni wapigakura.
Hao ndio waliopingana na Mabaraza halali ya Maaskofu kipindi wametoa nyaraka kuhusu HAKI ZA BINADAMU.

Wangependekeza liende kwenye mabaraza yao likajadiliwe ndipo ije kauli yakushauri.
 
Basi tuacheni kumwita Mwendazake tuanze kumuita "Hamnazo". Maana jana kwenye TBC kipindi cha TAFAJURI yule presenter Shaban Kissu amemuita Hamnazo
Nimejikuta nacheka ghafla..dah..huko aliko jamaa ana kibarua kizito sana
 
Hahahahaa tulilawitiwa🤣🤣🤣
Yalikuwa ni maajabu,imagine jitu lilikuwa linafanya hadi ubaguzi wa rangi kwa waafrika wenzake achilia mbali kuteka,kutesa,kuua,ukabila,ukanda,kuua demokrasia,kuua uhuru wa kujieleza,kuweka mfukoni mihimili yote mitatu,kuajiri viongozi wabakaji na wanaolawiti wananchi kama akina Sabaya na kuwalinda,na kadhalika.
 
Back
Top Bottom