Pre GE2025 Kamati ya Bunge yapendekeza isiwe lazima kwa Wakurugenzi wa Halmashauri, Miji na Majiji kusimamia Uchaguzi

Pre GE2025 Kamati ya Bunge yapendekeza isiwe lazima kwa Wakurugenzi wa Halmashauri, Miji na Majiji kusimamia Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ningependa hata hivyo kukufahamisha ya kuwa hata ije Tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu.

..unatakiwa umuelishe Mama Samia.

..muelimishe Mama Samia kwamba uwezo wa kushinda anao hata kama Tume itateuliwa na Joe Biden / Donald Trump.

..Muelimishe kwamba ujanja-ujanja wanaotaka kufanya utautia najis ushindi wake na wa chama chake.

..Tume Huru isimamie chaguzi zote.
 
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.hii ni kutokana na kuwa na sera nzuri zinazogusa maisha ya watu,pamoja na utekelezaji bora wa ilani yake ambao umekuwa ukibeba na kusheheni mambo na vitu vinavyogusa mahitaji ya watu na wakati. Tofauti na vyama vya upinzani kama CHADEMA havina hata uwezo wa kuandaa ilani ya uchaguzi
Kama ni hivyo kwanini mnakataa tume huru ya uchaguzi au katiba mpya?
 
Halafu acheni visingizio vyenu ninyi.hivi mbowe kwa miaka yote alikuwa anapita kwa kutumia tume ipi ya uchaguzi? Hivi upinzani wa nchi hii kwaajili zenu mnafikiri mnaweza kupewa nchi hii kuongoza? Acheni kuota ndoto zenu za mchana.

Hata huyo Mbowe alipokuwa anapita uliwahi kuona watu wameridhika na hizo chaguzi za kihayawani?
 
Kwa hiyo unataka nini ndugu yangu.maana hata hueleweki unataka nini.
Huelewi lugha wewe! "Hakuna ulazima" Maoni yametolewa wasiteuliwe na Rais! Hasa wateule wa Rais wasihusike!
Halafu mpumbavu mmoja anakuja na lugha za dhihaka! "Hakuna ulazima". Yaani huyo mchezani anaweza kumteua referree mwingine anayemtaka!!

ninataka huyo bi maushungi asijihusishe popote na tume ya uchaguzi na hii isomeke hadi kwenye Katiba!
 
..unatakiwa umuelishe Mama Samia.

..muelimishe Mama Samia kwamba uwezo wa kushinda anao hata kama Tume itateuliwa na Joe Biden / Donald Trump.

..Muelimishe kwamba ujanja-ujanja wanaotaka kufanya utautia najis ushindi wake na wa chama chake.

..Tume Huru isimamie chaguzi zote.
Ninyi CHADEMA ndio mnapaswa kuelimishwa kuwa kule UN mlikokwenda siyo zinakotungwa sheria za nchi hii ikiwepo sheria za uchaguzi. Kwa hiyo muache kujazana ujinga ujinga ambao hauna msaada kwenu wala kuwasaidia chochote kile.
 
Huelewi lugha wewe! "Hakuna ulazima" Maoni yametolewa wasiteuliwe na Rais! Hasa wateule wa Rais wasihusike!
Halafu mpumbavu mmoja anakuja na lugha za dhihaka! "Hakuna ulazima". Yaani huyo mchezani anaweza kumteua referree mwingine anayemtaka!!

ninataka huyo bi maushungi asijihusishe popote na tume ya uchaguzi na hii isomeke hadi kwenye Katiba!
Uwe na adabu wewe kwa viongozi. Huna ubavu wa kuamrisha chochote kile katika nchi hii. Inachotaka CCM Ndio hicho hicho kitakachofanyika na kutokea na wala huna cha kufanya. Hata ukisusa kushiriki uchaguzi bado uchaguzi utafanyika na CCM itaunda serikali na mambo yataendelea kama kawaida kwa CCM na Serikali yake kuwahudumia wananchi kwa nguvu kubwa.
 
Hata huyo Mbowe alipokuwa anapita uliwahi kuona watu wameridhika na hizo chaguzi za kihayawani?
Sasa Kwanini mlikuwa mnaendelea kushiriki katika uchaguzi? Si mngekaa pembeni kupigania madai yenu.
 
Kama ni hivyo kwanini mnakataa tume huru ya uchaguzi au katiba mpya?
Nani kakataa .kwani tume iliyopo kwa sasa si ndio hiyo hiyo pia ilikuwa ikiwatangaza akina Lissu,Lema,Mbowe,sugu ,Heche,Mnyika n.k.kuwa ni washindi? Serikali ilitoa nafasi ya wote kwenda kutoa maoni juu ya maboresho ya sheria za uchaguzi,vyama vya siasa na tume ya uchaguzi.ba watu walitoa maoni yao na kamati kuyapokea .kwa hiyo tuendelee kusubiri na kufuatilia kinachoendelea katika bunge letu.
 
Tufuatillie kinachoendelea kwenye bunge kibogoyo la majizi ya kura?
 
Uwe na adabu wewe kwa viongozi. Huna ubavu wa kuamrisha chochote kile katika nchi hii. Inachotaka CCM Ndio hicho hicho kitakachofanyika na kutokea na wala huna cha kufanya. Hata ukisusa kushiriki uchaguzi bado uchaguzi utafanyika na CCM itaunda serikali na mambo yataendelea kama kawaida kwa CCM na Serikali yake kuwahudumia wananchi kwa nguvu kubwa.
Kadai ada yako tu. Zama hizi unatwambia itakachotaka XYZ? bila kujari hata Katiba?
 
Mbona CHADEMA katika mapendekezo yake ilisema vyama vya siasa vitoa watu watakao kwenda kuwa wajumbe wa tume ya Taifa ya uchaguzi? Sasa wewe hapa unasema huwataka.huoni unajihatarishia uanachama wako ndani ya Sacco's ya Mbowe?
Wewe kweli bwege. Ni lini nilikuambia kuwa mimi ni mwanachama wa chama cha mtu yeyote? Chama changu mimi ni ukweli. Hicho ndicho chama changu milele. Mimi siyo chawa au kunguni kama ulivyo wewe. Ndiyo maana akili na fikra zangu, vyote vipo huru.

Tunavyosema tuwe na Tume huru ya uchaguzi, au tuwe na sheria nzuri, hatuangalii CCM watasema nini AU CHADEMA watasema nini.

Lakini ukweli ni kwamba uharibifu wote wa nchi hii mwenye lawama zote ni CCM. Hiki ndicho chama kilichovuruga ustawi na ndoto za Watanzania wengi kwa sababu ndicho kilichoamua kushikilia madaraka kwa njia zote, haramu na halali. Tunataka yeyote anayekuwa kiongozi awe amepatikana kwa njia halali tu.

Siyo majitu mauaji kama Makonda, siku moja, usikie kuwa ni Waziri, kwa kupitia njia haramu na za kihuni.
 
Back
Top Bottom