Kamati ya Bunge yapigwa butwaa na Deni la ATCL kufika bilioni 472. Kuna hatari ya shirika kufa

Kamati ya Bunge yapigwa butwaa na Deni la ATCL kufika bilioni 472. Kuna hatari ya shirika kufa

Hata sishangai, management bado ileile, wanasiasa walewale, tabia zao zilezile, chama kilichoshindwa kilekile, kupata hasara iko kwenye DNA yao.
Haya yote mwisho 2025 maana chadema inaingia ikulu na Mbowe amakuwa rais maana chadema hawawezi kuendesha nchi kwa hasara.
 
Nchi hii aliiweza Magufuli tu, ofisi za umma kwa sasa ni uozo tu, hawafanyi kazi kabisa, wakifikq ofisi ni kuchart tu hamna la maana
Huu upumbavu ulioandika unahusiana vipi na comment yangu?

Na hasara zote hizi alizianzisha huyo shetani,na upuuzi uache maana wangekuwa hawafanyi Kazi kila kitu kingesimama.

Kama huna cha maana kuandika usininikiti please
 
toa mapendekezo ktk utawala tuliopo sasa
Mwenye mji anadhurura na kubadilisha nguo kila saa,
Huku taasisi zake zikienda kwa mdundo ule ule,

Mzee wa Chato alikuwa wa demo kwa taasisi Zake kwa kufanya kazi ata usku wa manane na mafaili yakiwa kitandani kwake nyakati zingne, so watendaji pia walicheza ngoma ya mwenye nyumba kwa staili ile ile
 
Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.

HT gazeti Mwananchi
ko unamaanisha walopata ajira ATCL wajiandae kufungasha virago sio.
 
1630324497_1630324497-picsay.jpg
 
Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.

HT gazeti Mwananchi
Sikio la Kufa,wanajikaanga kwa mafuta yao.Nasikia wamelipia ndege nyingine 5,sifahamu hawa watu wamerogwa?Kwa nini ATCL isijinunulie ndege zake yenyewe kulingana na mahitaji ya wateja/wakati uliopo?Nadhani tunaendelea kupoteza resources na focus kama Taifa.
Tubadilike na tuache misifa isiyolisaidia Taifa letu kupiga hatua.
 
Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.

HT gazeti Mwananchi
Kulikoni deni limekuwa kubwa kiasi hicho? na waliotengeneza haya madeni wanalipa mil 8 wanatoka. Nchi hi tunajichelewesha wenyewe
 
Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.

HT gazeti Mwananchi
Hizo ndege si tuliaminishwa zimenunuliwa cash??
 
Kwanini ATCL isipate hasara wakati zinatumika na Top three kama boda boda! Utasikia Rais yupo Rwanda na lile dege kubwa Dreamliner, Makamu yupo Burundi na Airbus, huku PM yupo kwao kusalimia kwa Bombardier. Nchi imepoteza dira kabisa.

..mtamsingizia Maza kwa hasara hiyo.

..hasara ya billion 400+ lazima ilianza na Magufuli, haiwezekani iwe imepatikana ndani ya muda mfupi tangu atangulie mbele za haki.

..sisi wengine tulipinga ununuzi wa ndege tangu wakati wa JK, lakini kila tuliposema tuliitwa wasaliti.

..Wasaliti wakubwa wa nchi hii ni Jpm na genge lake waliolazimisha ununuzi wa ndege huku wakipuuzia tahadhari kuwa zitatuletea hasara.
 
S Tanzania tuu hii biashara ya ndege n ngumu Sana nchi zote znapitia hii changamoto
 
Kwanini ATCL isipate hasara wakati zinatumika na Top three kama boda boda! Utasikia Rais yupo Rwanda na lile dege kubwa Dreamliner, Makamu yupo Burundi na Airbus, huku PM yupo kwao kusalimia kwa Bombardier. Nchi imepoteza dira kabisa.
JK hujamtaja
 
Kumbe nyie ni mataahira! Na huyo mungu wenu atakuwa taahira vilevile!

Yani badala ya kutenda muujiza kwa ccm anatenda kwa mtu? [emoji23][emoji23][emoji23]

Kama ni Mungu huyu wa Yakobo na Ibrahimu, hana muda wa kushughulika na wapumbavu.
Chama hakina tatizo, tatizo lilikuwa lile dubwasha...

Tuache na Mungu wetu, wewe baki na kimungu chako cha kijinga kinacholeta ujinga kwenye mambo ya msingi...

Nyambaf
 
Ficha upumbavu wako ,mzee alikuwa makini,ndege ni za serikali,si Atcl,shirika laweza kufa tukaanzisha shirika lingine kwa ndege hizihzi
Kwahiyo kwa akili yako hapo unaona hujaficha utaahira wako?
 
Back
Top Bottom