Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Haya yote mwisho 2025 maana chadema inaingia ikulu na Mbowe amakuwa rais maana chadema hawawezi kuendesha nchi kwa hasara.Hata sishangai, management bado ileile, wanasiasa walewale, tabia zao zilezile, chama kilichoshindwa kilekile, kupata hasara iko kwenye DNA yao.
Kama wewe taahira usijumuishe na ndugu zako, Mimi mtanzania Ila siyo taahira.
Huu upumbavu ulioandika unahusiana vipi na comment yangu?Nchi hii aliiweza Magufuli tu, ofisi za umma kwa sasa ni uozo tu, hawafanyi kazi kabisa, wakifikq ofisi ni kuchart tu hamna la maana
Mwenye mji anadhurura na kubadilisha nguo kila saa,
Huku taasisi zake zikienda kwa mdundo ule ule,
Mzee wa Chato alikuwa wa demo kwa taasisi Zake kwa kufanya kazi ata usku wa manane na mafaili yakiwa kitandani kwake nyakati zingne, so watendaji pia walicheza ngoma ya mwenye nyumba kwa staili ile ile
Ndege ni za serikali na hao serikali wanakodi vipi hiyo hasara inatoka wapi?Yaani unauliza kama vile hujui Dar to dom, dom to Dar? Dar to Mwanakwelekwe? By Airbus?
ko unamaanisha walopata ajira ATCL wajiandae kufungasha virago sio.Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
Sikio la Kufa,wanajikaanga kwa mafuta yao.Nasikia wamelipia ndege nyingine 5,sifahamu hawa watu wamerogwa?Kwa nini ATCL isijinunulie ndege zake yenyewe kulingana na mahitaji ya wateja/wakati uliopo?Nadhani tunaendelea kupoteza resources na focus kama Taifa.Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
Kulikoni deni limekuwa kubwa kiasi hicho? na waliotengeneza haya madeni wanalipa mil 8 wanatoka. Nchi hi tunajichelewesha wenyeweKamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
Green Mamba in action
Hizo ndege si tuliaminishwa zimenunuliwa cash??Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
Kwanini ATCL isipate hasara wakati zinatumika na Top three kama boda boda! Utasikia Rais yupo Rwanda na lile dege kubwa Dreamliner, Makamu yupo Burundi na Airbus, huku PM yupo kwao kusalimia kwa Bombardier. Nchi imepoteza dira kabisa.
Waongeze tozo tu ili tuzibe hiyo hasara.Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
JK hujamtajaKwanini ATCL isipate hasara wakati zinatumika na Top three kama boda boda! Utasikia Rais yupo Rwanda na lile dege kubwa Dreamliner, Makamu yupo Burundi na Airbus, huku PM yupo kwao kusalimia kwa Bombardier. Nchi imepoteza dira kabisa.
Kutoka shilingi ngapi na ni nani anadai?Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
Chama hakina tatizo, tatizo lilikuwa lile dubwasha...Kumbe nyie ni mataahira! Na huyo mungu wenu atakuwa taahira vilevile!
Yani badala ya kutenda muujiza kwa ccm anatenda kwa mtu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni Mungu huyu wa Yakobo na Ibrahimu, hana muda wa kushughulika na wapumbavu.
Kwahiyo kwa akili yako hapo unaona hujaficha utaahira wako?Ficha upumbavu wako ,mzee alikuwa makini,ndege ni za serikali,si Atcl,shirika laweza kufa tukaanzisha shirika lingine kwa ndege hizihzi