maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,537
- 1,360
Unadhani hii hasara imeletwa na ujenzi wa uwanja wa chato? Au ni namna serikali yako pendwa inavyozitumia ndege kama daladala?Yule mzee alituona mazwazwa sana...
Kamati inasemaje kuhusu ule uwanja wa kimataifa wa Chato? Njiwa zinatua pale au tufanye uwanja wa ng'ombe kuotea jua wapate vitamin D kwa wingi?
Usimsingizie mzee wa watu, ripoti ya kumchafua ilishasomwa wiki tatu baada ya kifo chake ni figures zilikua ni bilioni 60 kwa miaka mitatu, hizo 400+ mtuambie zimepatikanaje ndani ya miezi minne!..mtamsingizia Maza kwa hasara hiyo.
..hasara ya billion 400+ lazima ilianza na Magufuli, haiwezekani iwe imepatikana ndani ya muda mfupi tangu atangulie mbele za haki...
Huku umevaa musuli unavuta kiko na kunywa kahawa siku nzima! Mwenye majumba ya kupangisha enzi hizo akiitwa Kabaila!!Akili zitarudi tu. Hivi kuna shirika kama hilo hapa nchini? Kwa kuanzia halina ndege zake lenyewe kwani karibia zote ni za kukodi. Hivyo basi wanapaswa kwanza kuwalipa hao waliowakodisha hizo ndege, watoe na fedha za uendedhaji wa hizo shughuli zao ndiposa wabaki na faida! Mkodishaji anafaidika zaidi. Enzi zetu tukiuita uhusiano huu kuwa wa kinyonyaji. Unakaa tu nyumbani, Una majumba 10 mjini uliyoyapangisha na unavuta pesa kiulaini!
Nyingi ya ndege ambazo shirika hili linatumia zimekodiwa toka shirika la ndege za Serikali. Wana mkataba ambao unalalamikiwa na Wabunge kwani unalitia hasara ATCL. Soma zaidi habari hii kwenye magazeti uelewe ni nini kinaendelea.Ndege za kukodi tena? Fafanua mkuu
Kinakanyalubanja nao walihodhi Ardhi kubwa na kuikodisha. Hawalimi, hawapalilii wala hawavuni lakini maghala yao yamejaa mazao lukuki toka kwa hao waliokodishiwa.Huku umevaa musuli unavuta kiko na kunywa kahawa siku nzima! Mwenye majumba ya kupangisha enzi hizo akiitwa Kabaila!!
Huko ndipo wanapigia pesa haswaKamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
Jamaa wanapakuwa haswa fedha za ummaKinakanyalubanja nao walihodhi Ardhi kubwa na kuikodisha. Hawalimi, hawapalilii wala hawavuni lakini maghala yao yamejaa mazao lukuki toka kwa hao waliokodishiwa.
Mkuu ukipata chance hii nchi wewe tafuna haswaKamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi.
Nchi ni shamba la bibi hiiKwani huko juu hakuna watu wenye degree au masters au ma phd walio kwenye system [emoji23][emoji1787]
Bongo raha mno.
Watu wanapigwa misele tuKwanini ATCL isipate hasara wakati zinatumika na Top three kama boda boda! Utasikia Rais yupo Rwanda na lile dege kubwa Dreamliner, Makamu yupo Burundi na Airbus, huku PM yupo kwao kusalimia kwa Bombardier. Nchi imepoteza dira kabisa.