Unasema hii nchi tulishavuka.tumevukaje vukaje mzee.toa taarifa /takwimu acha maneno ya marehemu magufuli kaleta ubishi mpaka Corona imemuua.MTU anaona mwenyewe nchi yake haina SHIDA ya Corona.
Watu hawavai barakoa wala kutumia sanitizer.
Na bado watu wanadunda wapo salama.
ILA anaona haitoshi
Hii nchi ilishatabiriwa Sana kuhusu Corona ILA tulivuka.
ilishajengwa propaganda kuwa kila dereva wa Tanzania akienda nchi jirani ana Corona.
Na bado tukavuka.
Hilo liko wazi bro....Itangaze uwepo wa Corona?Kwa hiyo Corona ipo Tanzania ila Serikali ya shujaa ilikuwa inaficha kwa maslahi ya shujaa?
muda ni mwalimu mzuri.Hapana mkuu..unajua shida hapa ni mahaba na tunavyojaribu kuchambua tu mambo..jpm alianza vizuri uraisi wake,,baada ya muda akapiga u-turn ya ajabu na ameacha mambo hovyo..NSSF na PSSSF ni mfano na Samia ameadmit hili waziwazi
Unasema hii nchi tulishavuka.tumevukaje vukaje mzee.toa taarifa /takwimu acha maneno ya marehemu magufuli kaleta ubishi mpaka Corona imemuua.
Wengi wanaunga mkono hoja wakidhani ni kumkomoa JPM.Kwa lipi...?
Magu alisema fanyeni kazi huku mkijikinga na kumuomba MUNGU,
-Magu alisema CORONA ipo ila tutaishinda.
-Magu alikataa kinga( chanjo ) ambayo hata wazungu waliipinga baadae baada kuona inaleta madhara baada ya kukinga watu.
- Magu alikataa barakoa kutoka nje ya nchi/ za misaada alisisitiza tutengeneze barakoa wenyewe, baadae zilishikwa nchi za wenzetu zikiwa na vimelea vya virusi vya korona. Katka hlo alitengeneza ajila kwa waTZ
- Magu alikataa kuwafungia watanzania quarantine na tukafanye kazi, kutafuta chakula ili tusife njaa.
NB :ukiachana na siasa Magu alifanya vyema katika kupambana na CORONA
Nakazia hapa, yaani Magu alifeli kwenye mambo mengi makubwa lakini kwenye corona hakika alicheza kete bora kabisaa, tukiachana na siasa Magu katima corona he was good at his best!Kwa lipi...?
Magu alisema fanyeni kazi huku mkijikinga na kumuomba MUNGU,
-Magu alisema CORONA ipo ila tutaishinda.
-Magu alikataa kinga( chanjo ) ambayo hata wazungu waliipinga baadae baada kuona inaleta madhara baada ya kukinga watu.
- Magu alikataa barakoa kutoka nje ya nchi/ za misaada alisisitiza tutengeneze barakoa wenyewe, baadae zilishikwa nchi za wenzetu zikiwa na vimelea vya virusi vya korona. Katka hlo alitengeneza ajila kwa waTZ
- Magu alikataa kuwafungia watanzania quarantine na tukafanye kazi, kutafuta chakula ili tusife njaa.
NB :ukiachana na siasa Magu alifanya vyema katika kupambana na CORONA
Nakumbuka enzi za Magu,alikuwa anapenda kusema sina wasiwasi na Samia,halafu mama Samia anashikanisha mikono na kuinama kidogo kama ishara ya utii🤣🤣🤣🤣Hilo la kutoa takwimu za corona litakuwa jambo gumu kweli kweli... yani itakuwa ni kulamba matapishi.... mzee meko aliharibu mambo sana
Kwahiyo wazungu wakichanjwa na wewe uchanjwe?Marekani sasa hivi wameshapigwa chanjo watu MILIONI 160, chanjo ya KWANZA, na MILIONI 120 Chanjo ya PILI
lockdown hujaiona? Wamesema takwimu zitangazwe hizo mask,vyipimo vyanavyoonyesha postive mpaka papai,ndo Tanzania itaonekana cha India kimeingia,wakubwa watamwambia fanya lockdown kama wanavyofanywa Kenya.Cha msingi sijaona napendekezo ya lockdown, na hyo ndiyo habar njema.
Kazi iendelee! lockdown
Leo umekumbuka kuvaa barakoa?Ni lini instagram ilikuwa na commentator wenye akili?
Kwani tetekuwanga nayo hutibiwa kwa mvuke? Hilo dude livunjwe tu, inatia aibu.Utapewa ukatibie tetekuwanga.