Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Acha uongo wa vijiweni.Maoni ya watanzania katika mitandao ya kijamii, wamekerwa na Chanjo
Hii ni ishara nyingine mbaya kwa Samia SuluhuView attachment 1788528View attachment 1788529View attachment 1788530View attachment 1788531View attachment 1788532View attachment 1788533View attachment 1788534View attachment 1788535
Mzungu akinya na wewe unye!Kwahiyo wazungu wakichanjwa na wewe uchanjwe?
UsinipangieUsimhusishe Mungu kwa mawazo yako ya kipumbavu
Hutalazimishwa chanjoYote tisa,nawaza tutakapolazimishwa kuchanjwa...
Mahali ambapo Shishi baby, Diamond, Amber Ruty na kadhalika ndio vinara!Ni lini instagram ilikuwa na commentator wenye akili?
Worries out mkuu' hatutafika hkoKwani tetekuwanga nayo hutibiwa kwa mvuke? Hilo dude livunjwe tu, inatia aibu.
Usije kujikuta ww ndio mjinga wa mwishoWajinga sana ninyi.
Badala ya kuongea na sayansi ninyi mnapiga domo.
Marekani sasa hivi wameshapigwa chanjo watu MILIONI 160, chanjo ya KWANZA, na MILIONI 120 Chanjo ya PILI.
Wajinga ninyi mnategemea hao watu kufa?
Tatizo ya mijitu mliozoea madogoli shida sana.
Maoni ya watanzania katika mitandao ya kijamii, wamekerwa na Chanjo
Hii ni ishara nyingine mbaya kwa Samia SuluhuView attachment 1788528View attachment 1788529View attachment 1788530View attachment 1788531View attachment 1788532View attachment 1788533View attachment 1788534View attachment 1788535
Ni nani alitangaza kuwa Tanzania haina Corona?Si Magufuli alifunga shule na vyuo sababu ya corona? Ni nani alisitisha mbio za mwenge sababu ya corona?
ni nani aliyepima mapapai kujiridhisha kama kuna uhalisia kwenye takwimu?
Chanjo siyo lazima mkuu, and kuna watu wabasafiri nje ya nchi, itafika kipindi condition itakuwa ni uwe umechanjwa, kama ilivyo manjanoHao waambiwe hata Chanjo za kifaduro, Kifua kikuu, Homa ya ini, surua na polio zinatoka hukohuko kwa wazungu
Kana hawazitaki waambie watengeneze zao!
*************************************
Baada ya kusema hayo, hata mimi nataka tusikurupuke kwenye kupokea hizo chanjo, Hebu tukae kwanza kama miaka mitano tusikilizie, tukiona hazijawadhuru waliochanja basi hapo ndo tuamue kuchanja au la, tusikurupuke!
Jamaa ametudhalilisha sana JF kwa kutuletea hizo comment za IGMahali ambapo Shishi baby, Diamond, Amber Ruty na kadhalika ndio vinara!
Jee combination hiyo mtu mwenye akili anaweza kutuletea reference zake JF?
Ingekuwa mimi nina uwezo huyo anakula ban wiki
unasemaje chawa kama chawa.....Kamati ya Corona imeishauri Serikali ya Tanzania;
1) Itangaze uwepo wa Corona
2) Iruhusu matumizi huru ya Chanjo sahihi za Corona
3) Ikubali maadhimio ya Kikanda na Kimataifa
4) Ipanue maktaba za kupima
5) Itoe takwimu sahihi za Corona
6) Tiba asili zitathiminiwe Kisayansi
View attachment 1788475
Hapo watu wameshavuta mpunga wao....Khaa, ndio mitabu mikubwa namna hiyo😂😂 utadhani anachukulia PHD ya MD wa covid