KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
LOooo.Ukifatilia speech za hayati ni kama alijua atakufa hivyo alitaka afe na nchi nzima
Mbona ni kama unasema kweli?
Na hawa watu wapumbavu walikwenda shule!
Maajabu ya nchi hii ndiyo haya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LOooo.Ukifatilia speech za hayati ni kama alijua atakufa hivyo alitaka afe na nchi nzima
Na hawa watu wapumbavu walikwenda shule!
Hahaa, inawezekanaUkifatilia speech za hayati ni kama alijua atakufa hivyo alitaka afe na nchi nzima
Ok washawishi sasa kwanini unafikiri wanatakiwa kuchanjwa?Akili za watu wengine ni takataka kabisa mtu anagomea chanjo ukimwambia sababu ni nini atakuambia rais Jiwe alikataa ukimuuliza jiwe yuko wapi jibu ni hayati sasa hayati anakuwa vipi na walatii ya maisha yako jibu ni unatumiwa na madume ya mbuzi
Nimeipenda post yako. Sisi wabongo ni shida sana. Mungu atuhurumie.Akili za watu wengine ni takataka kabisa mtu anagomea chanjo ukimwambia sababu ni nini atakuambia rais Jiwe alikataa ukimuuliza jiwe yuko wapi jibu ni hayati sasa hayati anakuwa vipi na walatii ya maisha yako jibu ni unatumiwa na madume ya mbuzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukifatilia speech za hayati ni kama alijua atakufa hivyo alitaka afe na nchi nzima
Hoja dhaifu Sana watu wengi wanaounga mkono UShenZi huu wanatumia Alafu hizo chanjo mnazosema za polio je zimetengeneza kwamzaha Kama hizi chini ya mwaka 1 Alafu pia zimesababisha vifo na madhara makubwa Kama hizi pia zilipigwa nawatu Kama hizi???Chanjo siyo lazima mkuu, and kuna watu wabasafiri nje ya nchi, itafika kipindi condition itakuwa ni uwe umechanjwa, kama ilivyo manjano
Miaka 60 baada ya kujitawala wenyewe.Ualimu Pasipo Elimu..... majaji wanateulwa kwa vile majaji hawatoshi, siyo kwa vile wana sifa. Ukion madaktari bingwa hawatoshi unachagua clinical officers, manesi kuwa madaktari bingwa
Waziri wa Afya chini ya Jiwe those days..what a disgress
Wewe sura yako ipo wapi..?Hawa wataeka wapi sura zao, ila wanasiasa wanavyojua kujitetea utasikia wanavyo mruka jiwe
KabisaMsifanye masihara na kitu cha India 🤪 kikija bongo tutaokota maiti mitoni na baharini