runyaga
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 523
- 241
Yeye anapoleta ubaguzi wa kikabila hajui kama sio kitu kizuri, dawa ya moto ni motoAcha unyanyapaa! Kwani jina lake hulijui mpaka utaje ulemavu wake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye anapoleta ubaguzi wa kikabila hajui kama sio kitu kizuri, dawa ya moto ni motoAcha unyanyapaa! Kwani jina lake hulijui mpaka utaje ulemavu wake?
Ndio hao hao Africa, udikiteita wa TFF, , akitokea mmoja wao akawa rais wa nchi itakuwaje? Aliyoyasema baada ya kuhisi ni uongo? Kutukana ni nini? Katika watu 10 say, ukiweka wa kabila lako 8, mtu akihisi kuna ukabila on the balance of probability, amekosea? Masikini alijisahau , huku kwetu Afrika siyo kwa kuhisi ukweli ukuhoji! Utaangamia, mara moja...9 million! Kazi hana.....Kamati ya maadili ya TFF Leo imetoa hukumu kwa Msemaji wa Simba Sports Club, Haji Manara kufuatia kutokuitikia wito wa kamati hiyo.
Kamati hiyo imetoa hukumu ya makosa matatu dhidi ya Manara na hatimaye kumtoza faini ya Tsh. Milioni 9 pamoja na kutokumruhusu kujihusisha kwa shughuli za mpira wa miguu.
View attachment 500178
Manara amehukumiwa kutojihusisha na Soka kwa miezi 12 na ametakiwa kulipa faini jumla ya Shilingi milioni 9.
Hiyo adhabu ni sawa.
Manara amekutwa na makosa 3 . Jerry muro alikuwa na 1. 3×3,000000= 9M.
Haji kaleta issue za kizamani za ukabila ili hali nafasi za TFF ni za kuchaguliwa kama Wabunge.
utakua hufatilii mipira ya nje, kocha anapigwa fine tu kwa kusema tu kuwa hana iman na refa itakua hayo maneno ya manara? tuache ushabiki bhana
1. Lakini kwa nini Simba wasilalamikie hilo tangu mapema, hususan pale waliposhinda rufaa waliyokatiwa dhidi ya Lufunga, au wakati anafungiwa Jerry Muro?Inawezekanaje lkn nafasi karibu zote muhimu kushikwa na watu wa kabila moja? Hili inabidi pia lichunguzwe ukizingatia tabia ya ukabila waliyonayo ndugu zetu wale wa kule ziwani.
Kwa uandishi huo sijui hata kama darasa la sita umefikaSHULE MUHIMU
HUYU KAONGEZEWA MAANA ALISHAJUA MWENZIE KAADHIBIWA AKAJIPANGA NA MIL TATHU UKONYOO ATUTAKI NA AKIJAMWINGINE TUNATAKA NOAHA AMA MIL 13
Zake! Kwani alishinda? Ndg vp ww!Maamuzi ya sakata lao yameishaje kwani?
Simba ameendelea kupewa point 3 zake au amepolwa tena?
Sarakasi za TFF ni full vichekesho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
Hivi yale majani bandia yamelipiwa?simba timu kubwa ,watalipa tu.
Adhabu hutakiwa kutoa funzo kwa mhusika na wengine na siyo kumkomoa mtu yeyote. Ukiona adhabu kwa Fulani imekuwa kubwa au kali maana yake ni kupeleka ujumbe kwa wengine pia na mhusika ajirekebishe.Wadau hatupingi adhabu Kwa wachezaji Na viongozi wa soka pale wanapokiuka.Tunachopinga adhabu au faini ni kukomoa au kurekebisha?
point tatu sio zake, alipewa baada ya kupeleka malalamiko, lakini uwanjani alifungwa 2-1Maamuzi ya sakata lao yameishaje kwani?
Simba ameendelea kupewa point 3 zake au amepolwa tena?
Sarakasi za TFF ni full vichekesho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
We yangapoint tatu sio zake, alipewa baada ya kupeleka malalamiko, lakini uwanjani alifungwa 2-1
kwaiyo si sawa kusema point zake
hahah me Mundenga siyo yanga, umbata utakuwa unakusumbuaWe yanga
Unazi unakusumbua [emoji4][emoji4][emoji16][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji3]
Ndo maana ndege iliwaacha ushambahahah me Mundenga siyo yanga, umbata utakuwa unakusumbua
hahahah watu walienda kushangaa mitaa sio kucheza mpiraNdo maana ndege iliwaacha ushamba
Huyu alie hubil ukabila kwenye taifa tena Bila hofu..? Kutugawa wapenz wa soka ki ukabila...mpumbavu sana.. Angefungiwa maisha kabsaJamani hata mahakamani yule aliyetukana alitozwa faini milioni saba - akachangiwa. Hiyo milioni tisa amedharau tu hajatoa tusi kama yule. Hebu TFF punguzeni walau iwe milioni moja. Pia huyu ndugu ana familia.
FAINI AITOLEWI KAMA UNAVYONUNUA CONDOM NAOMBANPAKITI MBILI AMALAH..TFF ni Jipu lililoiva kufungia watu kujihusisha na mpira ndo adhabu pekee qaliyonayo. Unampa fine ya milion 9 atapata wapi wakati mmemfungia ajira yake kweli hakuna taasisi kilaza kama TFF