Kamati ya Maadili TFF yampiga Haji Manara marufuku kujihusisha na Mpira. Apigwa faini Milioni 9

Kamati ya Maadili TFF yampiga Haji Manara marufuku kujihusisha na Mpira. Apigwa faini Milioni 9

Kamati ya maadili ya TFF Leo imetoa hukumu kwa Msemaji wa Simba Sports Club, Haji Manara kufuatia kutokuitikia wito wa kamati hiyo.

Kamati hiyo imetoa hukumu ya makosa matatu dhidi ya Manara na hatimaye kumtoza faini ya Tsh. Milioni 9 pamoja na kutokumruhusu kujihusisha kwa shughuli za mpira wa miguu.

View attachment 500178
Manara amehukumiwa kutojihusisha na Soka kwa miezi 12 na ametakiwa kulipa faini jumla ya Shilingi milioni 9.
Ndio hao hao Africa, udikiteita wa TFF, , akitokea mmoja wao akawa rais wa nchi itakuwaje? Aliyoyasema baada ya kuhisi ni uongo? Kutukana ni nini? Katika watu 10 say, ukiweka wa kabila lako 8, mtu akihisi kuna ukabila on the balance of probability, amekosea? Masikini alijisahau , huku kwetu Afrika siyo kwa kuhisi ukweli ukuhoji! Utaangamia, mara moja...9 million! Kazi hana.....
 
Hiyo adhabu ni sawa.
Manara amekutwa na makosa 3 . Jerry muro alikuwa na 1. 3×3,000000= 9M.
Haji kaleta issue za kizamani za ukabila ili hali nafasi za TFF ni za kuchaguliwa kama Wabunge.

Inawezekanaje lkn nafasi karibu zote muhimu kushikwa na watu wa kabila moja? Hili inabidi pia lichunguzwe ukizingatia tabia ya ukabila waliyonayo ndugu zetu wale wa kule ziwani.
 
utakua hufatilii mipira ya nje, kocha anapigwa fine tu kwa kusema tu kuwa hana iman na refa itakua hayo maneno ya manara? tuache ushabiki bhana

Tuache ushabiki vipi? Kwani hakuna ukabila pale TFF?!! Wewe ndio acha ushabiki. Soma bandiko namba 56 pale juu utaelewa.
 
Inawezekanaje lkn nafasi karibu zote muhimu kushikwa na watu wa kabila moja? Hili inabidi pia lichunguzwe ukizingatia tabia ya ukabila waliyonayo ndugu zetu wale wa kule ziwani.
1. Lakini kwa nini Simba wasilalamikie hilo tangu mapema, hususan pale waliposhinda rufaa waliyokatiwa dhidi ya Lufunga, au wakati anafungiwa Jerry Muro?
2. Tuna uhakika kuwa wanaolalamikiwa kweli ni wa kabila moja? Kuna tofauti baina ya kuwa na asili ya Mkoa mmoja na kuwa ni wa kabila moja.
3. Inawezekana hao wanaodhani kuna ukabila kwa sababu ya TFF kusadifu watendaji wenye asili ya Mkoa mmoja ndiyo wakabila zaidi. Hasa iwapo walioshikilia nafasi hizo wana sifa zinazohitajika. Kumkataa mwenye sifa kwa sababu tu mnatoka Mkoa mmoja nao ni ubaguzi sawa na wa kumkumbatia asiye sifa kwa sababu tu unatoka naye Mkoa mmoja.
 
SHULE MUHIMU
HUYU KAONGEZEWA MAANA ALISHAJUA MWENZIE KAADHIBIWA AKAJIPANGA NA MIL TATHU UKONYOO ATUTAKI NA AKIJAMWINGINE TUNATAKA NOAHA AMA MIL 13
Kwa uandishi huo sijui hata kama darasa la sita umefika
 
Yanga kweli imeshika usukani wa soka la bongo, ndo maana hatufiki!
Hii ishu ilikuwa ni ya Yanga zaidi kuliko simba na kagera!
 
Maamuzi ya sakata lao yameishaje kwani?
Simba ameendelea kupewa point 3 zake au amepolwa tena?
Sarakasi za TFF ni full vichekesho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
Zake! Kwani alishinda? Ndg vp ww!
 
Wadau hatupingi adhabu Kwa wachezaji Na viongozi wa soka pale wanapokiuka.Tunachopinga adhabu au faini ni kukomoa au kurekebisha?
Adhabu hutakiwa kutoa funzo kwa mhusika na wengine na siyo kumkomoa mtu yeyote. Ukiona adhabu kwa Fulani imekuwa kubwa au kali maana yake ni kupeleka ujumbe kwa wengine pia na mhusika ajirekebishe.
 
Maamuzi ya sakata lao yameishaje kwani?
Simba ameendelea kupewa point 3 zake au amepolwa tena?
Sarakasi za TFF ni full vichekesho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
point tatu sio zake, alipewa baada ya kupeleka malalamiko, lakini uwanjani alifungwa 2-1
kwaiyo si sawa kusema point zake
 
point tatu sio zake, alipewa baada ya kupeleka malalamiko, lakini uwanjani alifungwa 2-1
kwaiyo si sawa kusema point zake
We yanga
Unazi unakusumbua [emoji4][emoji4][emoji16][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Jamani hata mahakamani yule aliyetukana alitozwa faini milioni saba - akachangiwa. Hiyo milioni tisa amedharau tu hajatoa tusi kama yule. Hebu TFF punguzeni walau iwe milioni moja. Pia huyu ndugu ana familia.
 
Jamani hata mahakamani yule aliyetukana alitozwa faini milioni saba - akachangiwa. Hiyo milioni tisa amedharau tu hajatoa tusi kama yule. Hebu TFF punguzeni walau iwe milioni moja. Pia huyu ndugu ana familia.
Huyu alie hubil ukabila kwenye taifa tena Bila hofu..? Kutugawa wapenz wa soka ki ukabila...mpumbavu sana.. Angefungiwa maisha kabsa

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
TFF ni Jipu lililoiva kufungia watu kujihusisha na mpira ndo adhabu pekee qaliyonayo. Unampa fine ya milion 9 atapata wapi wakati mmemfungia ajira yake kweli hakuna taasisi kilaza kama TFF
FAINI AITOLEWI KAMA UNAVYONUNUA CONDOM NAOMBANPAKITI MBILI AMALAH..

NENDA MILLARDAYO AMETANGAZA KILA KOSA NA ADHABUZAKE..
 
Milioni 9! Hivi kwanza wanajua Haji analipwa kiasi gani pale Simba? TIFITIFU wanapaswa kufanya mambo kwa akili siyo kwa lengo la kumkomoa mtu. Kama mm ningekuwa Haji silipi hata senti moja.. nasubiri utawala mwingine ukiiingia ndio narudi haya ndio Nay alisema.. wana mambo ya Kise..... (mambo ya kiselaaaa).
 
Back
Top Bottom