Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Itikadi za mizizi ya nchi kamwe HAZIACHWI.....wapi huko walikoziacha?!!Hizi itikadi za Kirusi au china ya kale ngumu kuendana na karne ya sasa ya kizazi huru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itikadi za mizizi ya nchi kamwe HAZIACHWI.....wapi huko walikoziacha?!!Hizi itikadi za Kirusi au china ya kale ngumu kuendana na karne ya sasa ya kizazi huru
Muda utaongea....Sioni sehemu yoyote aliyomshambulia mwenyekiti wa chama na Rais.
Ndio maana chama hakijawahi kumuita kumhoji.
Fikra sahihi....ikiwemo CHANJO DHIDI YA UVIKO.....Zidumu fikra za mwenyekiti
[emoji1] na nyinginezoFikra sahihi....ikiwemo CHANJO DHIDI YA UVIKO.....
umeelewaje?Hapa una maanisha Yesu alikataa kumjaribu Mungu?
Tafuta rula pigia mstari jibu sahihi.Huko ni "kununuliwa" kwa mtu binafsi ambako Gwajima anakutuhumu?
Sijaelewa ndio maana nikauliza.umeelewaje?
Leo atakaa chini na atatumia 📣Bwana Yesu apewe sifa!
Kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge leo itaendelea kumhoji askofu Gwajima kwa tuhuma za kusema uwongo na kulivunjia bunge heshima.
Je, Askofu Gwajima atakwenda na kiti chake au atasimama?
Mungu ni mwema wakati wote.
Tena ndio hataree sana, na uwe makini sana na watu wanaopenda kukaa kabla yako au baada yako kwenye kiti unachokaa pasipo ulazima wa wao kukaaMacho ya mtumishi yanaona mbali.gwajima katufungua macho mimi nilikuwa nadhani vyakula ndo hatari kumbe hata viti?😂
1. Hivi ni uongo gani aliowahi kuusema Mch. Gwajima...?Bwana Yesu apewe sifa!
Kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge leo itaendelea kumhoji askofu Gwajima kwa tuhuma za kusema uwongo na kulivunjia bunge heshima.
Je, Askofu Gwajima atakwenda na kiti chake au atasimama?
Mungu ni mwema wakati wote.
Duh.Tena ndio hataree sana, na uwe makini sana na watu wanaopenda kukaa kabla yako au baada yako kwenye kiti unachokaa pasipo ulazima wa wao kukaa