Kamati ya Maadili ya Bunge leo inaendelea kumuhoji Askofu Gwajima

Kamati ya Maadili ya Bunge leo inaendelea kumuhoji Askofu Gwajima

Siasa zetu zimejaa kutoambiana ukweli. Kunyima watu kuongea wanavyoona sahihi. #TutafikaTu
 
Gwaji naweza akawa anazingua...

Lakini hakuna anayepinga point za Gwajima...wote naona mnajibu kisiasa zaidi kuliko kupindua fact zake...

Acha tuone... Kizazi watakaokuja kusoma haya 2035 mtajua nani alikuwa mkweli
 
Kwa hiyo juzi kamati ilibidi ikaandae mashtaka upya? Gwajiboy atakuwa aliwabana Sana.

Mwamba ni mbishi na fundi wa kusimamia anachokiamini. Japo anayoyaongea kwa professionals tunamuona Kama mjinga anayezungumza asilolijua, lakini kwa kweli jamaa anauzungumza Ujinga/uongo wake kwa nguvu na kwa kujiamini.

Napendekeza, Gwajima aelimishwe, afundishwe Virology and Immunology vizuri kama Med student, ataelewa na kuujua ukweli. Tofauti na hapo Bunge na kamati yake wanapoteza muda kubishana na layman.
 
Bwana Yesu apewe sifa!

Kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge leo itaendelea kumhoji askofu Gwajima kwa tuhuma za kusema uwongo na kulivunjia bunge heshima.

Je, Askofu Gwajima atakwenda na kiti chake au atasimama?

Mungu ni mwema wakati wote.
Leo atakaa chini na atatumia 📣
 
Macho ya mtumishi yanaona mbali.gwajima katufungua macho mimi nilikuwa nadhani vyakula ndo hatari kumbe hata viti?😂
Tena ndio hataree sana, na uwe makini sana na watu wanaopenda kukaa kabla yako au baada yako kwenye kiti unachokaa pasipo ulazima wa wao kukaa
 
Mbona Bunge lenyewe chini ya huyo supika ndio halina maadili kabisa?
Ya gwajima ni mepesi kuliko maadili ya bunge lenyewe
Ya Slaa ndio cha mtoto kabisaa ukilinganisha na maadili ya bunge la ndugai!
Huu ni uhujumu uchumi kabisa unaozidi kufanywa na ndugai dhidi ya raslimali za Taifa
 
Bwana Yesu apewe sifa!

Kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge leo itaendelea kumhoji askofu Gwajima kwa tuhuma za kusema uwongo na kulivunjia bunge heshima.

Je, Askofu Gwajima atakwenda na kiti chake au atasimama?

Mungu ni mwema wakati wote.
1. Hivi ni uongo gani aliowahi kuusema Mch. Gwajima...?

2. Na hivi ni kwa namna gani amewahi kulivunjia heshima hili bunge la Ndugai...?

3. Je, ataenda na kiti na microphone yake...?

JIBU: Inategemea na UONGOZI WA ROHO MTAKATIFU alionao na atakaopata;

å Anaweza kuambiwa kuwa ukifika zungumza nao ukiwa umesimama na bila kutumia maiki na chochote kitakacholetwa mbele yako usiguse..

AMA

å Anaweza kuambiwa, hakuna shida tumia chochote kitakachokuwa mbele yako, viko salama; microphone, kiti, maji ya kunywa nk nk
 
Back
Top Bottom