PDF ya mabadiliko ya wakuu wa mikoa na wilaya na Wakurugenzi ipo tayali Arusha ina mkuu wa mkoa mwingine katika hii PDF jina makonda halipo hapa tunasubilia sherehe za mei mosi zipite tuipandishe
Nchi yangu Tanzaniabinafsi naona kauli ya makonda ndio iliwakumbusha watanzania kumuheshimu mama
na ni kama watu waligutuka flani kua haikua sawa kwa kinachoendelea
Wapi kasema wamheshimu wakati speech nzima ni mama yangu mama yangu, anatia aibu huyo anayewalipa mumtetee humu majukwaanibinafsi naona kauli ya makonda ndio iliwakumbusha watanzania kumuheshimu mama
na ni kama watu waligutuka flani kua haikua sawa kwa kinachoendelea
We kama kuandika tu huwezi, bandari na ngorongoro utaoweza. Bado wewe, ningekuwa Samia, ningekuuza na wewe uwe unabakwa na waarabu tu. Huna faida yoyote humu duniani.Kazi ya Balozi siyo kedeal na upuuzi tunawalipa mabalozi kwa kazi muhimu, kama unakerwa na mama yako kutukanwa kunywabsimu ufe kabisa
Si bado tunataka bandari yetu, ngorongoro yetu na katiba mpya
Kwani Marekani ndio nini wewe dogo? Kwamba Marekani kuna ulinzi na usawa sana hadi hakuna matukio ya mauaji? Acha mbwembwe dogo. Yule anatakiwa apumzishwe kwa amani tu.Ulivyoandika kama vile Marekani ni kijijini kwenu na Balozi ni IGP wa sungusungu hapo Kiabakari
Wenye akili nyingi nchii ni wachache,kongole kwa kuliona hiloKupewa ONYO haufai. Maneno kama yale hayakutakiwa kutamkwa mbele ya Mhe. Rais. Angefunga safari mpaka kwa Mhe. Rais na kumueleza wakiwa wawili. Kitendo alichofanya adhabu yake siyo ONYO bali kuvuliwa cheo alichonancho.
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni,hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.
Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha .
Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.
Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa.
Pia soma
- RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa
Huyo mtu hafai kuwa kiongoziKwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni,hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.
Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha .
Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.
Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa.
Pia soma
- RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa
Na bado wanamkumbatia.Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni,hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.
Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha .
Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.
Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa.
Pia soma
- RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa
Makonda ni chiziDuh
Hao Mawaziri watukanaji aliwataja? Maana hilo ndio muhimu Ili waadhibiwe
Baadhi ya Mila Mwanamke yeyote ni mama regardless ya umri wake Japokuwa kuitwa mama haiwezi kuwa Kinga ya kutokosolewa au kutoambiwa ukweli kila inapobidi.Hayo ni mafunzo ya dini gani?
Wakijulikana hakuna haja ya kuwataja bali kuwapoteza kimya kimya
Hawa kina Nchimbi na kinana wanamtafutia makondo namna ya kumshusha. Sasa hilo ni jambo la kumuita kiongozi kwenye kamati ya maadili? Je mama mwenyewe alipeleka malalamiko? Mama ndiye amempa uteuzi majuzi tu na anamjua makonda. Wana hakika kama mama ana lolote dhidi yake? Nchi ina kiu na uongozi wa watu kama makonda maana walarushwa, wapigaji umma na wazembe wako kila mahali na kazi yao kubwani kulindana. Tumeona hii staili eti ya kuorodhesha kero za wananchi za kina nchimbi na makala. Eti jambo kama liko kotini hawasikilizi. Wanajifanya kama hawajui moja ya vyombo fisadi na dhulumati wanatumia ni mahakama.Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .