Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

PDF ya mabadiliko ya wakuu wa mikoa na wilaya na Wakurugenzi ipo tayali Arusha ina mkuu wa mkoa mwingine katika hii PDF jina makonda halipo hapa tunasubilia sherehe za mei mosi zipite tuipandishe
binafsi naona kauli ya makonda ndio iliwakumbusha watanzania kumuheshimu mama

na ni kama watu waligutuka flani kua haikua sawa kwa kinachoendelea
Nchi yangu Tanzania
 
binafsi naona kauli ya makonda ndio iliwakumbusha watanzania kumuheshimu mama

na ni kama watu waligutuka flani kua haikua sawa kwa kinachoendelea
Wapi kasema wamheshimu wakati speech nzima ni mama yangu mama yangu, anatia aibu huyo anayewalipa mumtetee humu majukwaani
 
Kazi ya Balozi siyo kedeal na upuuzi tunawalipa mabalozi kwa kazi muhimu, kama unakerwa na mama yako kutukanwa kunywabsimu ufe kabisa

Si bado tunataka bandari yetu, ngorongoro yetu na katiba mpya
We kama kuandika tu huwezi, bandari na ngorongoro utaoweza. Bado wewe, ningekuwa Samia, ningekuuza na wewe uwe unabakwa na waarabu tu. Huna faida yoyote humu duniani.
 
Kupewa ONYO haufai. Maneno kama yale hayakutakiwa kutamkwa mbele ya Mhe. Rais. Angefunga safari mpaka kwa Mhe. Rais na kumueleza wakiwa wawili. Kitendo alichofanya adhabu yake siyo ONYO bali kuvuliwa cheo alichonancho.
Wenye akili nyingi nchii ni wachache,kongole kwa kuliona hilo
 
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni,hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.

Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha .

Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.

Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa.

Pia soma
- RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa

Kamati ya Maadili inaonya siku hizi? Kuonya au kufukuzwa kazi sio kazi ya Kamati ya Maadili..

Kamati ya Maadili ya CCM kazi yake inasikiliza, inahoji tuhuma anazoambiwa aliyeitwa, alafu inapendeleza kwa Mwenyekiti wa Chama hatua za kuchukuliwa..!!
 
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni,hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.

Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha .

Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.

Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa.

Pia soma
- RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa
Huyo mtu hafai kuwa kiongozi
 
Na bado wanamkumbatia.
 
Makonda amewadharau kamati maadili....haina meno...kwa mama hawezi kumpa afhabu mara 2.....ile tu sababu mhimiki ulitukanwa kudhslilishwa uligomea .....uteuzi waliomba watenguliwe sbb manajisi mhimili wao wakiwa viongozi.....ikabidi faster atolewee dogo kuliko wakuu mhimili kuachia ngazi
 
Mi nafikiri Bashita amempaisha sana Bimkubwa kisiasa maana zile ni tuhuma tu hazina ushahidi.
Hivi sasa raia wanamfuatilia zaidi Maza maana ni kama kulipoa sana na uchaguzi mkuu uko karibu.
Watu wengine walishasahau kama Bimkubwa yupo kazini.
Wakati mwingine uropokaji una faida zaidi kuliko ukimya!
 
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni,hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.

Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha .

Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.

Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa.

Pia soma
- RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa
Hawa kina Nchimbi na kinana wanamtafutia makondo namna ya kumshusha. Sasa hilo ni jambo la kumuita kiongozi kwenye kamati ya maadili? Je mama mwenyewe alipeleka malalamiko? Mama ndiye amempa uteuzi majuzi tu na anamjua makonda. Wana hakika kama mama ana lolote dhidi yake? Nchi ina kiu na uongozi wa watu kama makonda maana walarushwa, wapigaji umma na wazembe wako kila mahali na kazi yao kubwani kulindana. Tumeona hii staili eti ya kuorodhesha kero za wananchi za kina nchimbi na makala. Eti jambo kama liko kotini hawasikilizi. Wanajifanya kama hawajui moja ya vyombo fisadi na dhulumati wanatumia ni mahakama.
 
Baada ya ile hotuba,Mange ndo alifura. Ukweli Mange kamchukia sana Samia kisa alimchagua Makonda kuwa Mwenezi kisha mkuu wa mkoa.According to Mange ,Makonda hafai kupewa cheo chochote hata cha ukatibu kata.
 
Back
Top Bottom