Makonda hafai kuwa kiongozi,hana hekimaBaada ya ile hotuba,Mange ndo alifura. Ukweli Mange kamchukia sana Samia kisa alimchagua Makonda kuwa Mwenezi kisha mkuu wa mkoa.According to Mange ,Makonda hafai kupewa cheo chochote hata cha ukatibu kata.
Makonda nae mwizi tu ana mahekalu Buswelu,igoma na Capripoint,huko dar sijui,magari yakifahari ndio usisemeHawa kina Nchimbi na kinana wanamtafutia makondo namna ya kumshusha. Sasa hilo ni jambo la kumuita kiongozi kwenye kamati ya maadili? Je mama mwenyewe alipeleka malalamiko? Mama ndiye amempa uteuzi majuzi tu na anamjua makonda. Wana hakika kama mama ana lolote dhidi yake? Nchi ina kiu na uongozi wa watu kama makonda maana walarushwa, wapigaji umma na wazembe wako kila mahali na kazi yao kubwani kulindana. Tumeona hii staili eti ya kuorodhesha kero za wananchi za kina nchimbi na makala. Eti jambo kama liko kotini hawasikilizi. Wanajifanya kama hawajui moja ya vyombo fisadi na dhulumati wanatumia ni mahakama.
Unatafuta umaarufu kwa nguvu sio?? We leta shobo, utalambwa!!!Kwani Marekani ndio nini wewe dogo? Kwamba Marekani kuna ulinzi na usawa sana hadi hakuna matukio ya mauaji? Acha mbwembwe dogo. Yule anatakiwa apumzishwe kwa amani tu.
Matokeo ya kulilinda toto nunda.Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni,hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.
Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha .
Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.
Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa.
Pia soma
- RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa
Wewe ukipata chance hautajenga mahekalu?Come on ..Makonda nae mwizi tu ana mahekalu Buswelu,igoma na Capripoint,huko dar sijui,magari yakifahari ndio usiseme
🤣 🤣 🤣Wazee walikuwa na hasira hawakutaka kufuata procedure walimalizana nae hapo hapo
🙄🙄Makosa yalianza kwa kumuita Nyerere baba wa Taifa
Tangu lini mwizi awe kimbelembele kushutumu wezi. Wezi wenzake si watamuumbua. Huo ni uongo tu. Kama mtanzania yeyote makonda bila shaka ana mipango ya maendeleo yake binafsi halali. Wanachomkubali wananchi ni jinsi anajituma kushughulika na kero za wanyonge na wananchi wa kawaida.Makonda nae mwizi tu ana mahekalu Buswelu,igoma na Capripoint,huko dar sijui,magari yakifahari ndio usiseme
Mkuu msamehe bure huyo ni msukule wa sisiemuKuandika nini,angalia theme ya nilichoandika mimi mimi sijaambatanisha barua ya kamati ya maadili,nimeripoti tetesi zilizopo koridoni.
CCM na serikali hawakumtuma Makonda kuongea vile,yaani anezidi kumchafua Rais badala ya kumlinda asichafuke
Hukusikia GSM alivyomuumbua kuwa alimdhulumu nyumba au we unaishi wapi mwezetuTangu lini mwizi awe kimbelembele kushutumu wezi. Wezi wenzake si watamuumbua. Huo ni uongo tu. Kama mtanzania yeyote makonda bila shaka ana mipango ya maendeleo yake binafsi halali. Wanachomkubali wananchi ni jinsi anajituma kushughulika na kero za wanyonge na wananchi wa kawaida.