Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

Baada ya ile hotuba,Mange ndo alifura. Ukweli Mange kamchukia sana Samia kisa alimchagua Makonda kuwa Mwenezi kisha mkuu wa mkoa.According to Mange ,Makonda hafai kupewa cheo chochote hata cha ukatibu kata.
Makonda hafai kuwa kiongozi,hana hekima
 
Hawa kina Nchimbi na kinana wanamtafutia makondo namna ya kumshusha. Sasa hilo ni jambo la kumuita kiongozi kwenye kamati ya maadili? Je mama mwenyewe alipeleka malalamiko? Mama ndiye amempa uteuzi majuzi tu na anamjua makonda. Wana hakika kama mama ana lolote dhidi yake? Nchi ina kiu na uongozi wa watu kama makonda maana walarushwa, wapigaji umma na wazembe wako kila mahali na kazi yao kubwani kulindana. Tumeona hii staili eti ya kuorodhesha kero za wananchi za kina nchimbi na makala. Eti jambo kama liko kotini hawasikilizi. Wanajifanya kama hawajui moja ya vyombo fisadi na dhulumati wanatumia ni mahakama.
Makonda nae mwizi tu ana mahekalu Buswelu,igoma na Capripoint,huko dar sijui,magari yakifahari ndio usiseme
 
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni,hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.

Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha .

Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.

Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa.

Pia soma
- RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa
Matokeo ya kulilinda toto nunda.
Halijui liongee nini, kwa nani na wapi...!
Endeleeni kulilinda nunda, siku likinya hadharani mbele yao wataelewa.
 
Wewe ukipata chance hautajenga mahekalu?Come on ..
Jenga kwa pesa halali siio wizi,GSM alimkomesha alitaka kumtaoeli ghorofa GSM,kapora magari ya wauza unga kinguvu matakko yule
 
Kuna mawili, eitha hao mawaziri wanaolipa watukanaji mitandaoni wanaogopwa ndio maana hakuna aliyetajwa, aliyechukuliwa hatua au kuonywa. Pili, yawezekana imegundulika kuwa Makonda ni mropokaji tuu hakuna hao mawaziri lakini mropokaji huyo anaogopwa kuadhibiwa kwani kuna siri anayo nje ya jambo hili na ataropoka akiadhibiwa.
Siri zenu chafu CCM zitawatesa daima
 
Makonda nae mwizi tu ana mahekalu Buswelu,igoma na Capripoint,huko dar sijui,magari yakifahari ndio usiseme
Tangu lini mwizi awe kimbelembele kushutumu wezi. Wezi wenzake si watamuumbua. Huo ni uongo tu. Kama mtanzania yeyote makonda bila shaka ana mipango ya maendeleo yake binafsi halali. Wanachomkubali wananchi ni jinsi anajituma kushughulika na kero za wanyonge na wananchi wa kawaida.
 
Kuandika nini,angalia theme ya nilichoandika mimi mimi sijaambatanisha barua ya kamati ya maadili,nimeripoti tetesi zilizopo koridoni.
CCM na serikali hawakumtuma Makonda kuongea vile,yaani anezidi kumchafua Rais badala ya kumlinda asichafuke
Mkuu msamehe bure huyo ni msukule wa sisiemu
 
Tangu lini mwizi awe kimbelembele kushutumu wezi. Wezi wenzake si watamuumbua. Huo ni uongo tu. Kama mtanzania yeyote makonda bila shaka ana mipango ya maendeleo yake binafsi halali. Wanachomkubali wananchi ni jinsi anajituma kushughulika na kero za wanyonge na wananchi wa kawaida.
Hukusikia GSM alivyomuumbua kuwa alimdhulumu nyumba au we unaishi wapi mwezetu
 
Back
Top Bottom