rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
TLS ni chama cha wanasheria ambacho kazi yake kubwa ni kusimamia maadili ya wanasheria.
Kwa sababu hiyo ndani yake kumeundwa kamati ya maadiliya mawskili ili ukiwa na lalamiko lolote dhidi ya mawakili wao watasikiliza na kutoa maamuzi.
Kuna shauri la kimaadili nililipeleka Toka mwaka Jana lakini mpaka Sasa sijaitwa kusikilizwa.
Nilipowasiliana na wahusika waliniambia wajumbe ni waajiliwa hivyo hawana muda maalumu wa kukutana.
Swali langu Kama huundio ufanyaji kazi wa kamati inapaswa kuwepo?