Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?


Anatakiwa kulazwa icu kabisa
 
Naisi mzee wa Chamwino kauangalia huu mjadala live. Kama hajaungalia Naomba atafute mtu amtafsirie. Yajayo yanafurahisha 😂😂😂
Hivi kizungu kina panda kweli, labda kama mjadala uliendeshwa kwa kisukuma
 
Ndio maana wamesema pesa zao lazima mzitolee maelezo ya kueleweka maana ni pesa za walipa kodi wa EU.
Kwani tuliwaomba!? Si walitupa wenyewe!? Sisi since day one Mambo ya Corona hatukuyataka kabisa,na ndiyo maana hata misaada ya Mask tuliikata,tukatumia za home made!!
 
Watanyooka au tutanyooka pamoja na familia yako,ushabiki mwingine hauna maana hata kidogo,vitu vingine sio vya kushabikia kama tunavyoshabikia mpira wa Simba na Yanga...
Upuuzi mfanye nye halafu tunanyooshwa wote ,akili za nguruwe pori hizi
 
Huwa ni shilingi ngapi mpaka itutishe?
Hipzo.oesa watakazotuma kwenye hivyo vyama na hizo taasisi tutazikata kodi tu na maisha yataendelea.
 
Nilijua Jf kuna watu wazuri wastaarabu na wasomi kumbe mawzazo yangu yalikuwa sio kama ninavyofikilia
Mkiendekeza kupandikiza chuki zenu za kisiasa mtatupeleka pabaya mebeberu hawapendi kuona nchi za afrika zikiendelea na kujitegemea wenyewe
Wanataka siku zote tuwe chini na watutawale wanavyotaka wao kwa maslahi yao wanayoyajua wao
Mifano ipo mingi na ya wazi tu kwa baadhi ya nchi za afrika zilizo taka au tayari zilishajikomboa kwa uchumi na kujitegemea walipandikiza chuki za kisiasa na ugomvi wa wenyewe kwa wenyewe mpaka wakelekea wanapotaka machafuko vita za kisiasa
Mm sina upande wowote ule wa kisiasa pia sio mfatiliaji wa mambo ya siasa nimeongea na kutoa maoni yangu kama mwana Jf na mtanzania mzalendo
MTU MWENYE AKILI TIMAMU HUWEZI SHADADIA UJINGA NA UPUMBAVU
Tutatereka na kutikisika kwa kukosa misiada yao lkn tutawategemea mpka ln hii miradi mikubwa tunayofanya wenyewe ndio inawachanganya wanataka kutuvuruga tuna bahati hatuna au hatujagundua mafuta wengisha tumaliza mpka sasa
Mabeberu ni watu wa wabaya sana sana ndio maaana sasa mambo mengi tunafanya wenyewe inawauma inawachoma kuona tunaanza jitegemea bila pesa zao masharti yao na mikataba yao ya kipumbavu
Wewe ni mtanzania jivunie chakwako hata kama kibaya itawezekana tunamapungufu mengi sana kwenye kila idara sekta lkn tusijione kama wao tusijifananishe nao
SISI NI WA AFRIKA WAO NI WAZUNGU WAPI NA WAPI
Miundombinu afya ajira uwezo wa kila kitu elimu technology democracy hatuwafikii hata nusu
Lkn tusichukue mifano kwao tulete kwetu wenzetu walistarabika toka zamani
 
Hizo kura inasemekana wapinzani walienda nazo kwenye vituo vya kupiga kura na kuleta fujo. Walijua wameshindwa.
Kama wapinzani walienda na kura fake kwenye vituo vya kupigia kura hiyo ni very serious crime,sasa kwa nini serekali haikuwachukulia hatua?
 
K
Kwa vyovyote itakavyo Kuwa wachumia tumbo na walio mshauri vibaya Rais ndio tutalala nao mbele. Hatuwezi teseka ilihali Tunajuwa Rais anawashauri
Kalale mbele na shoga wako kwa sasa yuko ubelgiji anabinua kiuno
 
Mpaka Leo najiuliza magufuli aliogopa nini kwenye uchaguzi mpaka kuchafua uchaguzi kiasi kile.?
Yaani Bora wale waliokamatwa na zile kura feki wangefunguliwa mashtaka.kidogo ingekuwa afadhali.lakini mnawalinda kwanini mnawalinda?
Kura feki wakati walizitengeneza na matukio waliyapanga lengo likiwa ni kuwafurahisha waliowatuma.
Kila Taifa linachakwake chenye thamani kwa wasiokuwa nacho. Mfano cc hakuna tunachohitaji kutoka uholanzi, Ujerumani UK na USA .
Tukiamua kudai haki ya walivyotuibia na kutuzurumu tutawafirisi na inaweza Ibuka vita ya 3 ya dunia
 
Haya ndiyo Mambo walitakiwa CDM itetee toka mwanzo! Lakini ikajisahau na Posho za Bunge pamoja na Ruzuku! Sasa wako nje eti ndiyo wanaanza kuona tena!!
Ni mpumbavu wa kiwango cha daraja la kwanza ndiye anaweza kuona kuwa vitu hasi vinapaswa semwa na wapinzani.
 
Kwa nini usiseme ukweli uliosemwa, kwa nini unaeleza uongo kujifurahisha. Inaonekana hujui siasa za bunge la Ulaya. Kwa taarifa yako hakuna lolote litakalobadilika on the ground.
Leta wewe ukweli ulisemwa siyo unakata mauno hapa
 
Nikikuambia watu wanadaiwa kuwa ni "Wanyonge" ndio "wanaonyongwa" na Ndio mtaji wa Mwenye kupenda kutumia tabaka hilo kufanya yake kwa maslahi yake Utaidigest vipi?
Kwa hiyo wwe unashauri Nchi tumpe NI YEYEEE!? Ndiyo Mambo yatakua Safi zaidi ya haya tulionayo!?
 
Mta
Nimemsikia yule mwenyekiti wao akisema kwa ukali na kwa jazba "Violation of human rights in Tanzania is at downward spiral"!.....Msumari wa mwisho kwa Tanzania nafikiri ni Joe Biden.Biden huwa hana mchezo mchezo na mambo ya udikteta mchwara.
Mtasubili ujinga wenu wakati nchi inasonga,
Kama walizuia vi pesa vyao vya umeme na tuaendelea kuweka umeme sasa vi jipesa vyao ni tisho gani?
Sana sana wanatufundisha kujitegemea na siku wakirudi wanakuta tupo uchumi wa kati b+ ndo watajuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…