Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Wengine watatafuta wachawi tatizo ni sisi wenyewe angalieni Uganda! . Ubinafsi wa madaraka na ubinafsi. Kuna ambao wanatetea kila kitu ukiongelea haki wanasema mabeberu kama vile mabeberu pekee ndiyo wanataka haki
 
Mta
Mtasubili ujinga wenu wakati nchi inasonga,
Kama walizuia vi pesa vyao vya umeme na tuaendelea kuweka umeme sasa vi jipesa vyao ni tisho gani?
Sana sana wanatufundisha kujitegemea na siku wakirudi wanakuta tupo uchumi wa kati b+ ndo watajuta.
Nani kakwambia mnaweka umeme kwa hela zenu???? Huko Lumumba mbona ni vilaza Sana. Sasa jiandae kuna la ICC huko ndo mtaita Maji mmaaaaaa
 
Kunyima misaada ni kuwakomoa wananchi wanyonge. Walitakiwa wadili na walioharibu uchaguzi kama wapo, ni kama vile mzazi ukute sukari imepungua, afu unyime huduma familia nzima mpaka vichanga.
Kwanini hamdai haki zenu mpaka msaidiwe na Ulaya? Acha watubane tuongee lugha moja kumtimua anayedidimiza demokrasia yetu
 
Mta
Mtasubili ujinga wenu wakati nchi inasonga,
Kama walizuia vi pesa vyao vya umeme na tuaendelea kuweka umeme sasa vi jipesa vyao ni tisho gani?
Sana sana wanatufundisha kujitegemea na siku wakirudi wanakuta tupo uchumi wa kati b+ ndo watajuta.
Nchi utasogeza mbele kwa kuuza marinda yako?wakati zaidi ya asilimia 45 ya bajeti ya nchi inategemea nchi wahisani
 
Huwezi shabikia utopolo kama huu ,binadamu mwenzako anakupangia chakufanya ,nyie ndio mtakuwa wakwanza kuupokea usodoma na ugomora kwa kuwa ni haki pia za binadamu kwa hao mnaowashabikia.
Acheni kutembeza bakuli kuomba Ulaya,ukipeleka bakuli utapangiwa tu,unaomba hela halafu unatumia kuiba kura
 
Wananchi wapewe uhuru wa kuchagua wananayemtaka siyo kulazimishwa kiongozi wa kura za kwenye viroba.
Sasa Wananchi tayari wamesha mchagua Magufuli na Wabunge,kwani huo siyo uhuru wa kuchagua!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…