Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakwambia mnaweka umeme kwa hela zenu???? Huko Lumumba mbona ni vilaza Sana. Sasa jiandae kuna la ICC huko ndo mtaita Maji mmaaaaaaMta
Mtasubili ujinga wenu wakati nchi inasonga,
Kama walizuia vi pesa vyao vya umeme na tuaendelea kuweka umeme sasa vi jipesa vyao ni tisho gani?
Sana sana wanatufundisha kujitegemea na siku wakirudi wanakuta tupo uchumi wa kati b+ ndo watajuta.
mataga hapa tayari umeshapanic.Kamanda uchwara umekalia kuchambua karanga kila siku.
Tuwe wamoja na kukataa udhalimu wao tuwapige vita TUTAPATA MISAADA ATA ASIAChuki wanapandikiza Ccm hao wengine unawaonea tu
Ale kozi kabisa. Maana Naskia icc hawamwachiHivi kizungu kina panda kweli, labda kama mjadala uliendeshwa kwa kisukuma
Kwanini hamdai haki zenu mpaka msaidiwe na Ulaya? Acha watubane tuongee lugha moja kumtimua anayedidimiza demokrasia yetuKunyima misaada ni kuwakomoa wananchi wanyonge. Walitakiwa wadili na walioharibu uchaguzi kama wapo, ni kama vile mzazi ukute sukari imepungua, afu unyime huduma familia nzima mpaka vichanga.
Hata mtoa mada ni __________Uliwahi kemea uovu unaofanywa dhidi ya watanzania wengine kisa wana itikadi na mitazamo tofauti na ya watawala?
Nchi utasogeza mbele kwa kuuza marinda yako?wakati zaidi ya asilimia 45 ya bajeti ya nchi inategemea nchi wahisaniMta
Mtasubili ujinga wenu wakati nchi inasonga,
Kama walizuia vi pesa vyao vya umeme na tuaendelea kuweka umeme sasa vi jipesa vyao ni tisho gani?
Sana sana wanatufundisha kujitegemea na siku wakirudi wanakuta tupo uchumi wa kati b+ ndo watajuta.
Nani akupe msaada Asia??? Unawajua Asia unawasikia???? Leo BOT wametia kapuni Bank ya wachinaTuwe wamoja na kukataa udhalimu wao tuwapige vita TUTAPATA MISAADA ATA ASIA
Acheni kutembeza bakuli kuomba Ulaya,ukipeleka bakuli utapangiwa tu,unaomba hela halafu unatumia kuiba kuraHuwezi shabikia utopolo kama huu ,binadamu mwenzako anakupangia chakufanya ,nyie ndio mtakuwa wakwanza kuupokea usodoma na ugomora kwa kuwa ni haki pia za binadamu kwa hao mnaowashabikia.
Sasa Kama Wapinzani hawawezi sema,kwa nini wanakula Kodi zetu!?Ni mpumbavu wa kiwango cha daraja la kwanza ndiye anaweza kuona kuwa vitu hasi vinapaswa semwa na wapinzani.
Wananchi wapewe uhuru wa kuchagua wananayemtaka siyo kulazimishwa kiongozi wa kura za kwenye viroba.Kwa hiyo wwe unashauri Nchi tumpe NI YEYEEE!? Ndiyo Mambo yatakua Safi zaidi ya haya tulionayo!?
Jiandae la ICC ndo mtazirai kabisaAnatakiwa kulazwa icu kabisa
Tukusema tufanye wanavyotaka utaangamia tutaaangamiaNani akupe msaada Asia??? Unawajua Asia unawasikia???? Leo BOT wametia kapuni Bank ya wachina
Sasa jifunze kuheshimu utawala bora na haki za binadamuTukusema tufanye wanavyotaka utaangamia tuaangamia
Sasa Wananchi tayari wamesha mchagua Magufuli na Wabunge,kwani huo siyo uhuru wa kuchagua!?Wananchi wapewe uhuru wa kuchagua wananayemtaka siyo kulazimishwa kiongozi wa kura za kwenye viroba.
Jamaa hana aibu kabisa,laana ya kula rambirambi mbaya sanaJiwe kala hela za covid Hali hatuna covid