Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Nyumbu hawajui kwamba kwa sasa Tanzania imekuwa ikipokea less than 3 % kuongezea kwenye bajeti. Mwaka bajeti iliyopita hao mabwana wa nyumbu walichangia kama less than 1%.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Endelea kuamini takwimu zako za Philip Mpango hizo huku akienda kuomba hela Ulaya kudai Tanzania kuna covid
 
Haki inapatikana mahakamani...Trump mwenyewe kashitaki kwasababu ana ushahidi, kama kura ziliibiwa nendeni mahakamani!
Unazungumzia mahakama hizi za Jaji Mugasha aliyesema wakurugenzi wa Halmashauri wasimamie uchaguzi???
 
Muunge juhudi za kuua na kuteka wenzenu wakati wa uchaguzi are you serious?
 
Kwa hiyo unataka kusema kuwa tuna viongozi wanaojali maslay Yao na si taifa!
 
Lazima nichekelee, kwa sababu najua lazima mtapata akili ya kujua nini maana ya demokrasia. Na mwisho hao wakubwa wenu wakifungwa jela lazima mjifunze kuwa kuna haki lazima ziheshimiwe
Mmehangaika miaka miatano na mambo ya kipumbavu na hakuna lililotimia bado tu hujajifunza uka acha kushabikia ujinga?
Fuatilia maandiko yako na maombi yako ya kishetani kwa taifa hili uone ni lipi lilitimia kama sio kufeli yote.
 
Lazima tuweze kuelewa tofauti ya nchi kusemwa vibaya na nchi kuelezwa ukweli.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka Leo najiuliza magufuli aliogopa nini kwenye uchaguzi mpaka kuchafua uchaguzi kiasi kile.?
Yaani Bora wale waliokamatwa na zile kura feki wangefunguliwa mashtaka.kidogo ingekuwa afadhali.lakini mnawalinda kwanini mnawalinda?
Hivi Kuna watu waliokamatwa na kura feki? Ulifanikiwa kuona hata sura ya mtu mmoja? Mimi niliona tu mabegi ya kura feki then nikaona ushahidi wa kura feki unachomwa Moto.
 
nimepata hii, ila kama ndiyo mnajadili hapa kidogo mpo nje maana hapa nio juu ya corona tu
 
Hizo fedha zitapita bank gani ili kufikia vyama vya siasa? labda zipitie banki ya nchi jirani
 

[emoji23][emoji23][emoji23] daah kazi ipo safari bado ni ndefu usitukane mamba kabla ujavuka mtoto wahenga walisema.
Hivi hizo mali mnazolingia hawa wazungu wasipozinunua mtaenda kuuza wapi kwa mfano?! Iran ni nchi yenye nguvu kijeshi na kiuchumi lakini unajua kinawachowakuta sasa baada marekani na washirika wake kukataa biashara ya mafuta na iran?! Na kuwapiga marufuku mataifa mengine ambayo yanaitegemea kubiashara marekani kununua mafuta ya iran? Sembese nyie.

Mugabe aliwafukuza wazungu kilichowakuta wananchi wake hawana hamu mpaka leo. Kama unataka ukanunue mkate shilingi elfu 20 sawa simamia unayoyaamini kwamba hawa watu hawawezi tufanya lolote.
 
Yaani umoja wa Ulaya wanasema kuwa waliwapa Tanzania euro million 27 za COVID-19 halafu unaita ni vimaneno vya watu?Kuna official source inayohusu fedha hizo inayoweza kuzidi kauli yao wao wenyewe?Kichwani una ubongo au funza?
 
Hauwezi kufikia upuuzi WA mwizi WA Kura. ARV zikianza kukosekana ndio mtajua alifanya upuuzi WA hali ya juu.
Nani kakueleza kuwa ni Tototundu ndiye aliyekuwa akizileta miaka yote? Kuwa kwake Rais unakuhusisha na ARV. Huu ni uwendawazimu wa hali ya juu hasa kwa mtu anayejiita mama mkubwa
 
Sasa kama ni hivyo , waambie hao jiwe na kokoto zake wajiuzulu waitishe mkutano na vyama vyote na taasisi za kijamii na viongozi wa dini zote , iundwe tume huru na waitishe uchaguzi mpya ,
kamwe haitatokea siri ya nchi kumbe huijui unadhani nchi inaendeshwa kwa misaada mpaka uchaguzi urudiwe? waliowaita nyie nyumbu hawakukosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…