Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #401
Endelea kuamini takwimu zako za Philip Mpango hizo huku akienda kuomba hela Ulaya kudai Tanzania kuna covidNyumbu hawajui kwamba kwa sasa Tanzania imekuwa ikipokea less than 3 % kuongezea kwenye bajeti. Mwaka bajeti iliyopita hao mabwana wa nyumbu walichangia kama less than 1%.
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app