Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

1884/85 EU hawa hawa walikaa kikao na kuligawa bara la Afrika kila mmoja akichukua kipande chake.

Kati ya 1885 mpaka early '60 nchi nyingi zikapata uhuru wa bendera. (Hapa ni takribani miaka 75 na zaidi) nchi za Afrika zikiwa colonized na mabeberu wa EU.

Kuna wizi wa mali za Afrika, ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na mauaji kwa Afrikan indigenous waliotetea ardhi zao, utu wao na mali zao.

Leo hii EU haijawahi kuomba msamaha kwa vitendo vya kinyama vilivyofanywa na nchi zao kwa nchi za Afrika.

Siungi mkono vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu Tanzania au popote Afrika.

Ila ni nchi gani EU yenye moral authority kukemea maovu na ukiukwaji wa haki za binadamu leo wakati wao walifanya vitendo hivyo kwa zaidi ya miaka 75???????

Freddie
 
Mbona huu msaada ulijadiliwa humu humu jukwani au wewe ulikuwa wapi?

Tena tulisema Kenya wao wamekopa ila sisi tumepewa kama msaada.
 
Kuna Maabara ya COVID Mabibo iko full nondo kila kitu, hivyo sidhani kama ni ngumu kwa Serikali kuelezea jinsi ilivyotumia fedha kama ni kweli ilipokea msaada kwaajili ya kudili na COVID, ...
 
Mr Jakaya kikwete atakuwa anaangalia hii game then anajikalia kimya tu kwa kiwango chake cha diplomasia ya nje anayajua haya tote na hakuwa mjinga kukaa na wapinzani kisungura sungura ali mradi mambo hayakwami sasa tujadili namna ya kurekebisha hali hii kwa vyovyote hapa ni pagumu sana na suluhu yake ni kurudia uchaguzi maana hata useme utafanya maridhiano utayaanzaje anzaje loh mfupa huu lakini maumivu nikwetu sisi wanyonge
 
Hiyo €27mln ni fidia ya ukoloni walioufanya + ushenzi wa utumwa, na nyingine nyingi tu tunawadai. Shenzi kabisa.
Tanzania kwa mara ya kwanza tokea uhuru chini ya Magufuli imefanya ufisadi wa kimataifa,yaani ufisadi nje ya mipaka ya nchi!Hii imethibitisha kuwa nchi inaongozwa na goigoi,fisadi na mtu ambae ni incompetent
 
Tunaomba chanzo cha habari, samahani lakini kama tunaudhi. But some of us want to read straight from the source 🙂
 
Sasa kwa taarifa yako jiandae. Wewe na hao mabwana zako. Mtajuta kuiba uchaguzi mwaka huu.

Eti Tanzania haijawai kuwalamba miguu wakati kila siku mbatembeza bakuli kwao kuomba hela za misaaada na mikopo.

Na jiandaeni kula jeuri yenu. Bado ICC sasa
Wewe ni jinga kweli toka lini mzungu akakupa msaada bila kuwa na interests zake.
Hizi elimu za kuunga unga zitakuja kuligharimu Sana taifa letu.
Kwahiyo wewe unaposikia tanzania imepata msaada akilini mwako unaelewa kuwa ni kama msaada wa chumvi unaopewa na jirani yako
 
Tanzania kwa mara ya kwanza tokea uhuru chini ya Magufuli imefanya ufisadi wa kimataifa,yaani ufisadi nje ya mipaka ya nchi!Hii imethibitisha kuwa nchi inaongozwa na goigoi,fisadi na mtu ambae ni incompetent
Ohh kumbe, Tundu Lisu analifahamu hili?
 
Kama nyie hampendi kusaidiwa hela za mabeberu mlizichukua zanini?
 
Wazitaifishe kama wanaweza waone kama lililomtokea Gadafi halishindikani Tanzania
Mbona zile Lisu akizotaka kupitishia kwenye tume ya haki za binadamu zilipigwa ban? Ulifanya nini?
 
Tumain la wanachadema sasa hivi ni kwa wazungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na bado hadi 2025 akili zitawakaa sawa
 
Mbona zile Lisu akizotaka kupitishia kwenye tume ya haki za binadamu zilipigwa ban? Ulifanya nini?
Yani hela za Lissu zipitie kwenye Haki za binadamu??? Mna akili nyie kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…