[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti ICC,Endelea tu kukifurahisha. Nakwambiaje jiandae kuona majina ya viongozi wenu takotolew na ICC kuwa wanachunguzwa
Amani iwe nanyi tena wadau!!
Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU.
Napenda tu kusema yafuatayo
1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe juu ya Tanzania ikiwemo kuondoa kabisa misaada yote ya kifedha kwa Tanzania
2. Mwenyekiti wa Kamati ametoa maelekezo umoja wa Ulaya sasa iuangalie Tanzania kwa jicho makini zaidi na kufuatilia kwa makini zaidi juu ya Tanzania na hali ya kutisha ya Haki kukandamizwa kwa Haki za binadamu na utawala Bora kunakoendelea Tanzania
3. Wamehoji hadi Kwa nini walitoa hela za ku support harakati za covid na wamembana afisa wao kuwa walitumia vigezo gani kutoa hela hizo wakati TanZania haifuati maelekezo ya WHO na wametangaza kuwa wako covid free
4. Wamemuamuru afisa wao anayejishughulisha na Tanzania kutoa maelezo ya uhakika juu na kwa nini walitoa hela kwa Tanzania na kwa nini hawajafuatilia hizo hela zimetumika kwenye nini?????
5. Wamesema sasa waangalie kwa namna gani watatoa msaada wao na hela zao kwa vyama vya siasa vinavyotetea demokrasia na watetezi wa Haki za binadamu waliopo Tanzania na sio kutoa tena hela kwa serikali.
Sasa kama EU wametoa maelekezo haya sijui ICC watasemaje 😂😂😂😂
Naomba waliopo kwenye list ya ICC wajiandae tu
Kwani ndg zangu si tunapokea pesa halafu tunatumbukiza kwenye maendeleo au hili pia baya ? waungwana?
Uchaguzi ungekuwa huru na wa haki haya yote yasingekuwepo. Tuambie kwanza kutetea uhuru gani?.Hovyo! Kabisa. Mazuzu wanaojitekenya na kujichekesha wenyewe wanatia kichefuchefu!
Wanashindwaje kujua km hatua zozote za kuihujumu Tanzania na raia wake, zitamuathiri hata yeye na jamaa zake, kwa namna moja ama nyengine!
Wakati huu ambapo tunajitambua kuwa maendeleo yetu lazima yaletwe na jitihada za sisi wenyewe, badala ya kutegemea bakuli la wafadhili ni muhimu kila raia kuunga mkono jitihada hizo, na kuwa mstari wa mbele kutetea uhuru wetu kama taifa na utashi wetu kama binaadamu. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako!
Hawa jamaa ni wajinga kweli mkuu,2025 magufuli ndo anampigia anaefuata kampeni kama kikwete alivompigia magu! sasa 2025 ebu rikisha vizuri kwanza 2035 kuanzia uko tunaweza kuja kidogo kujadili watakua wanasemaje
kamanda uchwara, wacha nkuelimisha ICC tayar imeshawekewa vikwazo vya kiuchumi na marekani juzi juzi apa! china hawataki kuiskia kabisa, kwahio sasa you make sure you fund itEndelea tu kukifurahisha. Nakwambiaje jiandae kuona majina ya viongozi wenu takotolew na ICC kuwa wanachunguzwa
Yale mamillion ya uero ya covid19 mliyapokea kama hisani, msaada wa sabuni na chumvi au mlipokea mkidhani zinatoka kwa kaguta?Wewe ni jinga kweli toka lini mzungu akakupa msaada bila kuwa na interests zake.
Hizi elimu za kuunga unga zitakuja kuligharimu Sana taifa letu.
Kwahiyo wewe unaposikia tanzania imepata msaada akilini mwako unaelewa kuwa ni kama msaada wa chumvi unaopewa na jirani yako
huyu dogo mzoee ni kamanda tumbo au wengine wanamwita kamanda uchwara!Hawa jamaa ni wajinga kweli mkuu,
Hawajui kama hata hiyo misaada wazungu hutoa akitegemea return.
Hujui kuwa EU ndo funder wa ICC na Kamisheni ya UN ya haki za binadamu. Mbaya zaidi hao wote wametoa tamko dhidi ya ufedhuli wenu mliofanya mwaka huu. Sasa jiandaeni tukamanda uchwara, wacha nkuelimisha ICC tayar imeshawekewa vikwazo vya kiuchumi na marekani juzi juzi apa! china hawataki kuiskia kabisa, kwahio sasa you make sure you fund it
Let wait. time will tell kama uliyoandika hapa yatatimia.Hakuna Beberu yeyote atakaye mgusa JPM si kwa vikwazo wala adhabu nyingine yoyote. Wote baada ya muda wataendelea kushirikiana na JPM. JPM kwasasa ameibeba Tanzania Mabegani mwake, chini yake Tanzania itaendelea kung'aa na kuwa na nguvu za ushawishi duniani. Ni swala la muda tu wasio elewa wataelewa.
mataga.Kamanda uchwara.