Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?


Heri kuumia bila misaada kuliko kuumia huku misaada bwerere.

Enyi mnaominya demokrasia badilikeni!
 
Kwa hiyo ulitaka aliyeshindwa uchaguzi awe Rais ? Hizo ni porojo tu Ulaya kwenyewe siku hizi michosho tu
 
Si zimetokomeza Corona, kwani nyie wakati wa Kampeni mlikuwa mnavaa barakoa au kupaka Sanitizer?


Pesa zimeletwa kuisambaratisha Corona na Corona kasambaratishwa hadi waliokuwa Wanabisha tumeshiri nao uchaguzi bila ya wao kuvaa Barakoa wala kujitenga

Au Misaada ile ilikuwa na sharti la kuisambaza Corona kama Kenya?

Wazungu wamepaniki pamoja na Mawakala wao baada ya propaganda zao kufeli

Kuna wengine wameanza kuwataka Raia wao wasiende Mtwara eti usalama hauridhiki wakati walishawaambia Raia wao wote waondoke Tz kuna Corona tangu May ili washihudie 'maiti 'zetu zikiliwa na mizoga kwa Corona
Mmepeleka wapi pesa za mabeberu?


Au ndo zile zilizotumika kuwalipa wabongofleva kipindi cha fedheha ya kishindo?
 
Kuna Maabara ya COVID Mabibo iko full nondo kila kitu, hivyo sidhani kama ni ngumu kwa Serikali kuelezea jinsi ilivyotumia fedha kama ni kweli ilipokea msaada kwaajili ya kudili na COVID, ...
Walitii mashariti ya fedha hizo ikiwa ni pamoja na kutoa takwimu kila siku za waliopimwa ni wangapi,waliokutwa na Corona ni wangapi na waliokutwa wazima ni wangapi?
 

Calculations zao za kuongeza term ya uRais?! [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]
 
Msemaji wa serikali yupo atatoa majibu yatawafurahisha wale tunaowaita mabeberu
 
Wewe mjinga na uzee wako:
America ina independent judiciary
GDP yake ngapi? Super Power, the only world super power, just after God.

wewe- Poorest, infested of all kinds of diseases, ignorant- of everything- GDP? Beggars
Mbona corona inawachakaza hakuna lolote ni utopolo tu
 
Acha utetezi feki pesa imepigwa na CCM hata mje na utetezi gani hakuna wa kuwaelewa
 
Wazungu wanapaswa kuelewa kuwa Tanzania tulipambana na Corona na tukaishinda hivyo msaada tuliopewa na EU ulikuwa ni halali yetu.

Nani asiyejua hatua mbalimbali zilizochukuliwa na serikali kupambana na Corona ikiwemo social distancing, kuvaa barakoa, kuweka sehemu za jamii kunawa mikono, kufanyia kazi nyumbani, shule na vyuo kufungwa nk nk.

Wazungu watafute sababu nyingine za kutubania misaada lakini hili la Covid 19 wanatuonea bure.

Maendeleo hayana vyama!
 
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu wa CCM ndipo CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike
Huenda wakienda ulaya kupitisha bakuli mojawapo ya masharti huwa ni kuvua msuli na kuchutama mbele ya beberu
 
kamwe haitatokea siri ya nchi kumbe huijui unadhani nchi inaendeshwa kwa misaada mpaka uchaguzi urudiwe? waliowaita nyie nyumbu hawakukosea
Haya na iendeshwe kikada tuone kwani hiyo bajeti karibu 70% inategemea misaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…