Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Mambo yetu watuachie wenyewe, pesa zao na wakae nazo wenyewe tutatumia zetu...




Cc: mahondaw
 
Hamna kitu hapo!

Kila kitu kitakuwa powa kabisa haya makelele ya washindwa kila kona yapo
 
Kwa hiyo wewe unafikiri mmepewa bure....jiongeze
Uzuri ni...

Wakituweza kwenye hili... somo linakuwa Tusipende vya bure..Tukiwaweza somo kwao wasipende kutoa toa vya bure.

You can't just bend your #ss whenever someone offers you things! And if anyone is giving sh*t for free (na namuweza) am taking... u will be a fool to pass the opportunity!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

Msaada umetumika kwenye mambo mengine ova
 
Msingekuwa mnaleta hizo habari hapa tena kwa Kiswahili, mngeweka links za mainstream media, hiyo ni talk shop tu hakuna chochote hapo, ...
Umeongea vizur sema nn edit kaneno hako bas!! ** talk shop** ndo nn ataukisikia mabeberu atuwapend ila lugha zao ziheshimiwe tafadhar
 
Pesa za corona imepigwa na CCM kwa njia haramu za kishetani
 
Ukiona haitangazwi na mainstream media ujue siyo muhimu, umeona Bobi wa Uganda yuko all over main stream media, ...
Kwa taarifa yako mwizi anaye kimbizwa kimya kimya ujue lengo ni kumuua kabisa.
Hivyo hii hali sio ya kudharau, hawa EU wanataka kutuua kabisa
 
Aaah baniani mbaya
 
Natamani sana mpigwe pini za kutosha hadi mtuheshimu tuliozamia nje kuwa tulifanya hivi kwa sababu za kupata maisha yenye uhuru.
 
..Exactly
 
Kuna mpuuzi mmoja anajiita Milard Oyo sasa kutwa YouTube anaonyesha vurugu za Uganda wakati wa uchaguzi wa Tanzania alikuwa kimya
 
Usiwe kajinga kiasi hiki,

Kwa sasa hivi hamna la kufanya zaidi ya kubweka ili wazungu wasikie mayowe yenu.

Na bado hadi akili ziwakae sawa wajinga nyie.

Dada KAYAFA hajakupa miwaya kweli maana hizi akili zimeliwa vibaya sana
 
Huo ni mhimili mmoja wa bunge la umoja sio serikali au mabunge binafsi ya nchi individual husika

Mabunge ya nchi individual husika hayajatoa tamko. Ni sawa na sisi bunge la Africa Mashariki litamke ohh marekani iwekeeni vikwazo !!! Who cares Nchi zetu zina mabunge binafsi ya kila nchi maamuzi yao ndio yangekuwa na uzito lakini pia sio kivile sababu ni mhimili mtegemea maamuzi ya serikali husika si kila wanachoshauri lazima serikali husika zitilie maanani

Bunge la ulaya you are hopeless and stupid puppets of Amsterdam go to hell
 
Aaah baniani mbaya
....Kiatu chake dawa! Na hiyo aplies to them..wanahitaji Afrika ikope, na wanahitaji cheap labour na Masoko.

The haves and the have-not needs each other.. TZ tunachopigania ni upande tu.. Na sisi tukue tuwe tunatafuta pa kukopesha na cheap labour na Masoko kama wao.

Ili na wao siku moja isiyokuwa na Jina tuwape apartment upanga wakati wanajipanga kwenda kulinda interest zetu huko kwao...

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…