Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu hapo!Usijiamini kwa kiwango Hilo ilihali Mambo yamekuwa Mambo! Ungetulia kwanza ili ushauri njia mbadala za namna ya kuziba hayo mapengo yaliyokuwa yanachangiwa na wahisani badala ya kubweka kipuuzi! Na kwa hakika washauri na au mashabiki wa aina yako mlitakiwa muwekwe rumande kwa makosa ya kushabikia upuuzi wa uchaguzi!
Hahahha.. Umeona wenzenu wa uganda?EU itoe masharti. hela zishikiliwe mpaka masharti yatimie.
Mmeshikwa pabaya pamoja na bwana zenu mnabaki kutukana kama bosi wenu.Binti sayuni usiye bikiri ni uongo kama uongo mwingine.
Hujui usemalo
Hivi ccm iliwahi kushinda uchaguzi upi?Hamna kitu hapo!
Kila kitu kitakuwa powa kabisa haya makelele ya washindwa kila kona yapo
Uzuri ni...Kwa hiyo wewe unafikiri mmepewa bure....jiongeze
inasikitisha kama unachelewa kuamini CCM imetafuna pesa za corona kwa njia haramu za kishetani
Kumbe Tanzania ilikubali msaada wa Euro Mil 27 za mabeberu za Covid-19 September hii. Sasa wanataka kujua kwa nini Tanzania ilipewa msaada huo wakati wamesema Corona haipo. Na pia wanataka kujua zimetumika vipi? Moja ya masharti ya kupewa pesa hizo ni pamoja na kutoa statics za ugonjwa na kufata maelekezo ya WHO ambapo Tanzania hawafati. Ila swali pia kwa serikali yetu kwa nini wanachukua pesa za mabeberu wanaowapiga vita? Au ndio ule msemo usemao ''Baniani mbaya kiatu chake kizuru'' Basi tutakuwa wanafiki. Na kwa nini hata sisi watanzania hatujatangaziwa kama misaada imetolewa na mabeberu? Zaidi ya serikali kutupa wananchi tu picha ya kwamba tuendelee kuwachukia mabeberu.
Angalia hapa chini VIDEO Rais wa Bunge la EU anavyolaani utawala wa awamu ya tano ikiwa ni pamoja na kuwakandamiza watetea haki, wapinzani na kutolinda demokrasia. Hivyo amesema Umoja wa Ulaya utabadilisha siasa yake kuhusu Tanzania ili isipewe misaada moja kwa moja kwa serikali.
Umeongea vizur sema nn edit kaneno hako bas!! ** talk shop** ndo nn ataukisikia mabeberu atuwapend ila lugha zao ziheshimiwe tafadharMsingekuwa mnaleta hizo habari hapa tena kwa Kiswahili, mngeweka links za mainstream media, hiyo ni talk shop tu hakuna chochote hapo, ...
Kwa taarifa yako mwizi anaye kimbizwa kimya kimya ujue lengo ni kumuua kabisa.Ukiona haitangazwi na mainstream media ujue siyo muhimu, umeona Bobi wa Uganda yuko all over main stream media, ...
Aaah baniani mbayaHizi pesa zilikuwa msaada! Japo mabeberu wengi walitaka kukopesha. We made a great move mkopo tulikataa ila kama ni msaada.. you will only be a fool not to accept.
Kitu ambacho watu wengi Watanzania hatufahamu.. Huko nje people are filthy rich (ninamaanisha cash rich) kwa wataalamu wa maswala ya fedha wanajua Cash is a burden.. unless it generates income kupitia loans.
Wanachoahangaika nacho world wide ni fedha yao wataikopesha wapi.. tunapokataa mikopo inawafrustrute sana... Mabeberu.. sasa mtu amekupa msaada halafu analalamika hukua na shida.. msaada wenyewe fedha.. 🙂
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Natamani sana mpigwe pini za kutosha hadi mtuheshimu tuliozamia nje kuwa tulifanya hivi kwa sababu za kupata maisha yenye uhuru.Amani iwe nanyi tena wadau!!
Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU.
Napenda tu kusema yafuatayo
1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe juu ya Tanzania ikiwemo kuondoa kabisa misaada yote ya kifedha kwa Tanzania
2. Mwenyekiti wa Kamati ametoa maelekezo umoja wa Ulaya sasa iuangalie Tanzania kwa jicho makini zaidi na kufuatilia kwa makini zaidi juu ya Tanzania na hali ya kutisha ya Haki kukandamizwa kwa Haki za binadamu na utawala Bora kunakoendelea Tanzania
3. Wamehoji hadi Kwa nini walitoa hela za ku support harakati za covid na wamembana afisa wao kuwa walitumia vigezo gani kutoa hela hizo wakati TanZania haifuati maelekezo ya WHO na wametangaza kuwa wako covid free
4. Wamemuamuru afisa wao anayejishughulisha na Tanzania kutoa maelezo ya uhakika juu na kwa nini walitoa hela kwa Tanzania na kwa nini hawajafuatilia hizo hela zimetumika kwenye nini?????
5. Wamesema sasa waangalie kwa namna gani watatoa msaada wao na hela zao kwa vyama vya siasa vinavyotetea demokrasia na watetezi wa Haki za binadamu waliopo Tanzania na sio kutoa tena hela kwa serikali.
Sasa kama EU wametoa maelekezo haya sijui ICC watasemaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba waliopo kwenye list ya ICC wajiandae tu
..ExactlyUzuri ni...
Wakituweza kwenye hili... somo linakuwa Tusipende vya bure..Tukiwaweza somo kwao wasipende kutoa toa vya bure.
You can't just bend your #ss whenever someone offers you things! And if anyone is giving sh*t for free (na namuweza) am taking... u will be a fool to pass the opportunity!
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kuna mpuuzi mmoja anajiita Milard Oyo sasa kutwa YouTube anaonyesha vurugu za Uganda wakati wa uchaguzi wa Tanzania alikuwa kimyaNgoma inogile!
Hapo pia kuna uwezekano wa nchi moja moja kuja na maamuzi yake mbali na yale yatayokubaliwa na EU.
Bado US nao kukamilisha shughuli.
Sitashangaa Benki ya Dunia nayo ikasitisha kutoa mikopo.
Sasa itakuwa ni zamu yao kuandamana kwenda Ulaya na Marekani kutafuta suluhu.
Kweli kadri giza linavyozidi, ndivyo nuru inakaribia.
Je, kuna watu watapigwa chini katika kutafuta suluhu na kuridhisha wahisani?Tusubiri.
NB:Media za kibongo haziwezi kutangaza hizi habari, na hata wakitangaza, basi itakuwa ni kwa kugusigusia tu tena kwa uoga mwingi-ndio tulipofika na sio kosa lao.
Usiwe kajinga kiasi hiki,
Kwa sasa hivi hamna la kufanya zaidi ya kubweka ili wazungu wasikie mayowe yenu.
Na bado hadi akili ziwakae sawa wajinga nyie.
....Kiatu chake dawa! Na hiyo aplies to them..wanahitaji Afrika ikope, na wanahitaji cheap labour na Masoko.Aaah baniani mbaya