Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kwahiyo we umefurahishwa na habari hii!?
Mduanzi kweli we!
 
Tanzania ni nchi huru tena tuna maamuzi yetu hatupangiwi na nchi yoyote
Kwani lazima kupokea msaada kutoka ulaya hawawezi kupewa nyama vya upizani hizo hela zitapitia wapi kwanza
 
Naona unasaka Uteuzi kwa njia haramu za kishetani hutakaa upate uteuzi milele kwa kufagilia uchaguzi mkuu haramu uliobakwa kunajisiwa na kulawitiwa na CCM kwa njia haramu za kishetani
Mkuu pole Sana inaoneka usumbuliwa na njaa Sana na ndo Maana muda wote unawaza uteuzi tu.
Ok hayo mawazo yako lakini na sidhani Kama yana aksi uhalisia.
 
hata kama. vikwazo vije tu. sisi miafrika ndivyo tulivyo hatuwez kujitawala mpaka tuchapwe.

hatutaki kutawaliwa kijima kimabavu. potelea pote wananchi tutasimama na mabeberu
 
Anae thamini utu ni bora kuliko anayekurubuni kupenda na kusifia maovu.
 
Tanzania ni nchi huru tena tuna maamuzi yetu hatupangiwi na nchi yoyote
Kwani lazima kupokea msaada kutoka ulaya hawawezi kupewa nyama vya upizani hizo hela zitapitia wapi kwanza
Ha! Chooni je?
 
Wewe pia unawapenda Sana ngozi nyeupe maana kila baada ya neno moja la kisukuma unafatia 40 ya kiinglishi
 
Tanzania ni nchi huru tena tuna maamuzi yetu hatupangiwi na nchi yoyote
Kwani lazima kupokea msaada kutoka ulaya hawawezi kupewa nyama vya upizani hizo hela zitapitia wapi kwanza
Kwa hiyo CCM inaivimbia jamii ya kimataifa?! Ahahaaaaa...haya ngoja tuone mkuu.
Ila ninachojua Ghadafi na Sadam waliwafukua shimoni kama fuko Osama wakamyakua kama mwewe anyakuavyo kifaranga cha kuku huku akiwa maiti tiyari
 
Yule mwenyekiti yuko bold vibaya sana. Amenufurahisha pale aliposema tunawezaje kutoa hela za walipa kodi wa ulaya kwa mtu ambae anadidimiza Haki za binadamu!!
Kweli wazuie mikopo tupate akili
 
Comment yoyote iliyotolewa na EU kuhusu mwenendo wa uchaguzi utatumika kama reference kwenye kesi za ICC. Na hichi ndio kitu kikubwa tulikuwa tunasibiri.
Kama ambao hawakuwepo waliweza kuona uovu uliotendeka,je walioshuhudia kwa macho yao.wanamtazamo gani juu ya waliofanikisha maovu hayo?
 
Wametoa maelekezo...diplomacy haiendi kirahisi kama mnavyotaka. Point kubwa ambayo pia nawaunga mkono, ilikuwa wakashinda kwa asilimia 99.8 hata kwa wabunge?
 
Nyie Lisu kawaambia andamaneni ili hata wazungu watuone basi. Mkaishia kucoment kwenye social media huku mkila ugali maharage kwa shemeji zenu.

Umeona wenzenu wa Bob Wine kule Uganda? Umeona wanajibebisha kwa Amsterdam?
Mkuu haya mambo ni madogo sana. Nyerere alifukuza mabalozi wa huko huko Ulaya kwa akili zao za kikoloni za kipumbavu.

Huwezi kuipangia nchi huru ifanye nini na isifanye nini. Magufuli kiburi anacho cha kutosha tu.
 
Wametoa maelekezo...diplomacy haiendi kirahisi kama mnavyotaka. Point kubwa ambayo pia nawaunga mkono, ilikuwa wakashinda kwa asilimia 99.8 hata kwa wabunge?
Upinzani unaotoka nje kila inapoletwa hoja ya maana bungeni kushindwa ulivyoshindwa sio jambo la ajabu.

Upinzani unaosusa kijinga tu kupigwa chini na wananchi lilikuwa ni jambo la wakati tu.

Magufuli alieleweka kwenye kampeni hao wazungu wanakariri maisha wakiongozwa na ego ya kujiona wao ndio binadamu wa kwanza kwa ubora.
 
Acheni kusingizia maadui wa JPM. Kulikoroga mlikoroge nyie alafu lawama muwape wengine...

Ulaya mtetea hoja bungeni kwao ili kuleta ushoga Tanzania hajui kuwa makoa makuu ni Dodoma. Eti eti eti, the regime in Dar es salaam. Na kwa taarifa yako kapuuziwa na wenzake. Na serikali makini itashughulika na nami yuko nyuma ya Zitto, Lissu na group lao la kuichafua Tanzania? Na wataangalia historia nani anawapa kichwa hawa.?

Eti wezake walishi na akili. Fitina na ulozi wewe ndio inaita akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…