Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

WAHUNI HAWA JAMAA... HAWATAKI KABISA AFRICAN TUJITEGEMEE, WANAFANYA KILA HILA WATUVURUGE. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Akili ndogo
 
Unaishi dunia ya wapi ndugu, fedha hizi zimetengwa kwa ajili ya kusaidia Tanzania lakini bado hazijatolewa. Inasikitisha sana kwa mtu kama wewe ambaye anafurahia sana kuona nchi yako inawekewa vikwazo.
 
Kauli za wakosaji
 
Unaishi dunia ya wapi ndugu, fedha hizi zimetengwa lkwa ajili ya kusaidia tz lakini bado hazijatolewa. Inasikitisha sana kwa mtu kama ww ambaye anafurahia sana kuona nchi yako inawekewa vikwazo.
Wewe ndio unapotosha. Mwezi September mwaka huu wametoa hizo fedha. Au huku wa na bundle nini kuangalia mjadala???
 
Kilicho nifurahisha zaidi ni kwamba , wanasema kama Tanzania ikiendelea kukaidi basi itawekewa vikwazo vya kiuchumi ISIFANYE BIASHARA NA NCHI YEYOTE YA ULAYA. HAPO SASA!!
Kuna jamaa anatuuziaga mi vitu used huko si atakufa njaa
 
Kazi ya Maria Sarungi inaleta matunda naona. Ila kama taifa tutaumia wa hali zetu, hao viongozi wala hawataumia.
Kweli mkuu, viongozi wana uhakika wa kipato maana wanahudumiwa na serikali wanayoitumikia.

Ila raia ambao ni wanufaika wa miradi inayoendeshwa na hao wakubwa huenda tukaathirika.

Hili sio la kufurahia hata kidogo, nadhani wanaofurahi hili siasa zimewapofusha hawaoni kuna hatari mbeleni.
 
Daaah umempa za uso hadi nahisi atakuwa amechanganyikiwa huko
 
Sio Jambo la kufurahia hili hata dakika moja, kuna uonevu uliokithiri
 

Mkuu uko serious sana, utaugua kisukari taratibu.

Kwanza wazungu hawajawahi kuwa serious na shida zako wewe mnuka mdomo wa nanjirinji huko, kukaa na kushangilia hureeeee kwamba sasa utawala unakwenda kukomeshwa.Unachelewa kupiga mswaki tu, wahi uende.
 
Reactions: nao
Wamegawana kimya kimya ndiyo maana akawa anakazania watu wapige nyungu kwa bidii
 
Kwa mahali tulipofika ni lazima tufurahie. CCM wamefika hatua mbaya sana ya ulevi wa madaraka ambapo bila kudhibitiwa vilivyo tutaangamia kweli.

Kama watu wamefika hatua ya kupora uchaguzi, kuua watu na kubambika kesi watu, kuzima mitandao na hadi kuzuia tusitume message hawa watu acha tu wanyoshwe. Ndio tutaumia ila kuumia kwetu kutatupa akili ya kuwatoa kwa nguvu zote!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…