Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

WAHUNI HAWA JAMAA... HAWATAKI KABISA AFRICAN TUJITEGEMEE, WANAFANYA KILA HILA WATUVURUGE. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Akili ndogo
 
Kumbe Serikali yetu ilipokea pesa za msaada wa Covid wakati sisi hatuna Corona, sasa watuambie hizo pesa zilipelekwa wapi? na kwanini tukawadanganya wazungu wakatupa pesa wakati sisi ni donor kantre.

Hali yetu huko nje ni mbaya, sasa hilo halina mjadala, sijui tutaweza vipi kuishi kama kisiwa, wakakataa kuwaacha Chadema waende bungeni, sasa wana msalaba mkubwa zaidi wa kuubeba aheri ya wapinzani wangekuwa bungeni.

Zile calculations walizopiga Ndugai na Magufuli kabla ya uchaguzi mkuu zimefeli miserably.
Unaishi dunia ya wapi ndugu, fedha hizi zimetengwa kwa ajili ya kusaidia Tanzania lakini bado hazijatolewa. Inasikitisha sana kwa mtu kama wewe ambaye anafurahia sana kuona nchi yako inawekewa vikwazo.
 
Sawa, wakatae tuu

Maana ya kutunyima hiyo mikopo ni kwamba target yao imefail... Walikua wanaturushia ndoano ili tunase sasa baada ya kuona tunapita pembeni wamepanick[emoji23][emoji23]

Tunajua kabisa kwamba tungekuwa hatuna haya madini na gas hiyo mikopo wasingekaa wakatupatia
Kauli za wakosaji
 
Unaishi dunia ya wapi ndugu, fedha hizi zimetengwa lkwa ajili ya kusaidia tz lakini bado hazijatolewa. Inasikitisha sana kwa mtu kama ww ambaye anafurahia sana kuona nchi yako inawekewa vikwazo.
Wewe ndio unapotosha. Mwezi September mwaka huu wametoa hizo fedha. Au huku wa na bundle nini kuangalia mjadala???
 
Kazi ya Maria Sarungi inaleta matunda naona. Ila kama taifa tutaumia wa hali zetu, hao viongozi wala hawataumia.
Kweli mkuu, viongozi wana uhakika wa kipato maana wanahudumiwa na serikali wanayoitumikia.

Ila raia ambao ni wanufaika wa miradi inayoendeshwa na hao wakubwa huenda tukaathirika.

Hili sio la kufurahia hata kidogo, nadhani wanaofurahi hili siasa zimewapofusha hawaoni kuna hatari mbeleni.
 
Zwazwa ni wewe uliyeshindwa kuelewa Mambo basic kama hayo , we Fala We ni taahira kwamba huoni uchafuzi WA Democracy , mauaji , unynyasaji Kwa wananchi raia na wanasiasa WA upinzani , wizi wa Kura , ubambikiaji kesi za uzushi ?
Unataka HAO mabeberu wakae kimya Tu wasiwawajibishe ?

Hizi propaganda zako za kizwazwa peleka Kwa misukule wenzako WA ccm
Mbwa wewe .
Daaah umempa za uso hadi nahisi atakuwa amechanganyikiwa huko
 
Habari za mida wanajamvi!

Naam, kumepambazuka huko Duniani, wazungu wamesikia kilio cha wanao penda demokrasia Tanzania, kwa umoja wao wameazimia kuwa watainyima Tanzania misaada inayo fikia Tshs trilioni 1.64 kwasababu haifuati ustaarabu wa kidunia wa multipartism yaani demokrasia ya vyama vingi.

Kilicho nifurahisha zaidi ni kwamba , wanasema kama Tanzania ikiendelea kukaidi basi itawekewa vikwazo vya kiuchumi ISIFANYE BIASHARA NA NCHI YEYOTE YA ULAYA. HAPO SASA!!

Nini maana yake? Ni kwamba hatuta uza chai kwao, wala kahawa haitauzwa kwao, maua na mbogamboga kamwe hatutauza kwao. Hatutauza dhahabu, hatutauza korosho wala minofu ya samaki. Yaani hatutauza chochote kwao.

Baada ya muda mfupi tu fedha yetu itashuka thamani usipime. Yaani dollar moja yaweza kuwa Tshs 5000/= kisa? Mtu mmoja hataki uchaguzi uwe huru , wa haki, credible na transparent!

Wazungu nimewavulia kofia! Nimetabasamu kwa mara ya kwanza tangu October 28. Ahsanteni wazungu .bye
Sio Jambo la kufurahia hili hata dakika moja, kuna uonevu uliokithiri
 
Hujioni ulivyo Fala sasa , hivi unajua ni asilimia ngapi toka mwaka 61 nchi hii inapata Uhuru mpaka leo nchi hii imepata maji , umeme , afya , elimu , barabara na huduma nyingine muhimu za kijamii ? ,

Ccm , mumiani waliotafuna nchi Kwa miaka zaidi ya 55 leo mnaguts za kuandika upuuzi hapa .
Bloody fool wewe

Mkuu uko serious sana, utaugua kisukari taratibu.

Kwanza wazungu hawajawahi kuwa serious na shida zako wewe mnuka mdomo wa nanjirinji huko, kukaa na kushangilia hureeeee kwamba sasa utawala unakwenda kukomeshwa.Unachelewa kupiga mswaki tu, wahi uende.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Kumbe Serikali yetu ilipokea pesa za msaada wa Covid wakati sisi hatuna Corona, sasa watuambie hizo pesa zilipelekwa wapi? na kwanini tukawadanganya wazungu wakatupa pesa wakati sisi ni donor kantre.

Hali yetu huko nje ni mbaya, sasa hilo halina mjadala, sijui tutaweza vipi kuishi kama kisiwa, wakakataa kuwaacha Chadema waende bungeni, sasa wana msalaba mkubwa zaidi wa kuubeba aheri ya wapinzani wangekuwa bungeni.

Zile calculations walizopiga Ndugai na Magufuli kabla ya uchaguzi mkuu zimefeli miserably.
Wamegawana kimya kimya ndiyo maana akawa anakazania watu wapige nyungu kwa bidii
 
Kweli mkuu, viongozi wana uhakika wa kipato maana wanahudumiwa na serikali wanayoitumikia.

Ila raia ambao ni wanufaika wa miradi inayoendeshwa na hao wakubwa huenda tukaathirika.

Hili sio la kufurahia hata kidogo, nadhani wanaofurahi hili siasa zimewapofusha hawaoni kuna hatari mbeleni.
Kwa mahali tulipofika ni lazima tufurahie. CCM wamefika hatua mbaya sana ya ulevi wa madaraka ambapo bila kudhibitiwa vilivyo tutaangamia kweli.

Kama watu wamefika hatua ya kupora uchaguzi, kuua watu na kubambika kesi watu, kuzima mitandao na hadi kuzuia tusitume message hawa watu acha tu wanyoshwe. Ndio tutaumia ila kuumia kwetu kutatupa akili ya kuwatoa kwa nguvu zote!!
 
Back
Top Bottom