Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Watanzania wenzangu hapa ni kwamba haya yanayo endelea ni madrama wanatuigizia ni waambie tu wazi siku zote hakuna mtu atakupendelea mema ana taka uwe ombaomba siku zote wanaogopa tz itapiga hatua kubwa sana kwayo wanajaribu kutafuta sababu na kutuba ubaya ili watuandame tusikubali hata kido go kuonewa tuipambanie nchi yetu kwa umoja na mshikamano na hata Hivyo wangekua wanataka kuhukumu wangekuja kuchukua maelezo ya pande zote na si kusikiliza maneno ya kinasarungi peke yake kwani wanajulikana sio wazalendo wa kweli
Huyo mwakilishi/mbunge wa EU aliuliza swali na viongozi wa EU wameshamjibu. Yale yalikuwa majadiliano kwenye Kamati ya Bunge la EU kama ambavyo Kamati za Bunge letu zinavyojadili mambo na baadae kupatiwa majibu. So it ks not big deal mkuu.sina lolote mimi au hao mnawaowaita mabeberu!?
Si lzm uende mahali kuchukua taarifa Hali Lila KITU kinapatikana kwa ushahidi toshelevu. Pesa za Jamii iliyoelimika na kustaarabika huwa aitolewi kwa madikteta ili ikaumize watu.
Punguzeni wabunge maslai ili tufidie gap la kunyimwa misaada
kwa akili yako bado unaamini lissu alishindaa basi huna akili kabisa lisesee
Kwani kulikuwa hakuna mahitaji yaliyokuwa yanahusiana na Covid-19? Pia elewa kuwa hizo pesa zilikuwa zinasimamiwa na hao hao EU na ndiyo maana huyo mjumbe amewauliza viongozi wa EU ambao tayari wameshamjibu huyo mjumbe. Pia elewa huyo mjumbe ni sawa tu na kama ambavyo walivyokuwa wanauliza wakina Mdee Bungeni wala siyo resolution ya Bunge la EU!Kufanya nin.? Covid mlitangaza hamna
Hakuna kitu kama hicho mnahangaika sana! Yaani mjumbe mmoja tu wa EU mnafikiri ni Resolution ya Bunge zima la EU. Uelewa wenu ni zero kabisa!!Tujiandae kuona wapinzani wakiteuliwa nafasi za ubunge ili kuyalizisha mabeberu
Biden kama nani?
Trump anamkimbiza huko!
Maswali yote yameelekezwa kwa watendaji wa EU sio serikali ya Tanzania. Fedha imetoka OCT, GOT imesimamisha kutoa takwimu tokea MAY na wao EU walijuwa hivyo lakini wakaendelea na msimamo wao wa kutoa fedha, inamaanisha kulikuwa hakuna masharti ya kugeuza msimamo wa GOT.Mkuu compliance ni ya TZ.... Maana EU yenyewe imekupa pesa ww umetia saini. So wakati wa evaluation kma huu ndio wanakumbushana kwamba huyu uliyempa pesa hajafuata masharti. Ssa wa kujustify ni EU au aliyekiuka masharti?
Wewe bado mtoto, endelea na shule. Tulioibiwa kura na kuletewa viongozi walioshindwa tunatamani vikwazo hata vianze leo ili watanzania wajinga wajue kuwa haki ya mtu haipotei. Haiwezekani aliye shindwa atangazwe mshindi. Acha vikwazo vije ili akili ziwakae sawa.Kipindi hicho wazazi wako kule kijijini utawaamishia nchi gani?
Tanzania ikiwekewa vikwazo, tutakaangika sisi wa hali ya kati pamoja na wahali ya chini kabisa, kipindi huyo unae mchukia yeye akiendelea kula bata.
Kwa hiyo unacho furahia ni sumu, wenda ikapita na wewe.
Wafanye watakalo lakini mambo ya familia yetu sisi watanzania wamwachia mamaTanzania
Hiyo misaada yenye masharti ndio inayoimaliza Africa
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki rais wetu John Pombe Joseph Magufuli
Walichoweza wazungu ni kutufanya waafrika tuwaone wao ndio wana akili kuliko chochote, na kila wanachokifanya kipo sahihi. Hayamkini ndio maana tunaona anayejua kuongea kingereza ana akili na kasoma sana.
hehehehehehe....alafu nini mkuuHuna lolote utaishia kubweka tu huku kuanzia boxer Hadi shati lako ni Mali za wazungu, wewe mali yako hapo ni ngozi ya mwili wako tu.
Halafu vidonge, teknolojia yoyote Ile hata hiyo simu yako na ukimwi unaoougua wanakupa dawa za kufubaza makali halafu eti , ng'eng'e ng'eng'e eee
Kwa vyovyote itakavyo Kuwa wachumia tumbo na walio mshauri vibaya Rais ndio tutalala nao mbele. Hatuwezi teseka ilihali Tunajuwa Rais anawashauri
Ndio nyie muitwao watu pumbavu,malofa,wapuuzi,Ngoma inogile!
Hapo pia kuna uwezekano wa nchi moja moja kuja na maamuzi yake mbali na yale yatayokubaliwa na EU.
Bado US nao kukamilisha shughuli.
Sitashangaa Benki ya Dunia nayo ikasitisha kutoa mikopo.
Sasa itakuwa ni zamu yao kuandamana kwenda Ulaya na Marekani kutafuta suluhu.
Kweli kadri giza linavyozidi, ndivyo nuru inakaribia.
Je, kuna watu watapigwa chini katika kutafuta suluhu na kuridhisha wahisani?Tusubiri.
NB:Media za kibongo haziwezi kutangaza hizi habari, na hata wakitangaza, basi itakuwa ni kwa kugusigusia tu tena kwa uoga mwingi-ndio tulipofika na sio kosa lao.
Dada unabwata sana!!Na mataendelea kuwa wajinga tu!
Mnakaa mnadeka deka hapa eti ni yeye,
Haya ni yeye wenu ndio huyo kakimbilia aliko beberu wake na nyie mfuateni huko.