Binti Sayuni Tz
Senior Member
- Nov 25, 2015
- 156
- 238
Ajabu REA ikafanya kazi kubwa ya kupeleka umeme vijiji vingi sana.Hatutapona marekani last time ulipofutwa uchaguzi Zanzibar walionda msaada kwenye REA,sijui sahivi watafuta lipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajabu REA ikafanya kazi kubwa ya kupeleka umeme vijiji vingi sana.Hatutapona marekani last time ulipofutwa uchaguzi Zanzibar walionda msaada kwenye REA,sijui sahivi watafuta lipi
Mchambuzi wa karanga.mataga hapa tayari umeshapanic.
punguza jazba.
Unajua pesa za REA zimetokana na nini wewe??? Au ndo unaaamini kama mnavyodanganywa kuwa ni pesa za ndani??Ajabu REA ikafanya kazi kubwa ya kupeleka umeme vijiji vingi sana.
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Fedha zaidi ya TZS billion 70 ambazo EU imeipa Tanzania katika kupambana na Corona ambayo serekali ilijinasibu haipo hadi kukataza watu kuvaa barakoa zipo wapi?Huu ni ufisadi wa karne na ufisadi wa kimataifa.Ufisadi across borders.Kwa mara ya kwanza tokea uhuru Tanzania imefanya ufisadi wa mabillion ya hela nje ya mipaka yake!Mta
Mtasubili ujinga wenu wakati nchi inasonga,
Kama walizuia vi pesa vyao vya umeme na tuaendelea kuweka umeme sasa vi jipesa vyao ni tisho gani?
Sana sana wanatufundisha kujitegemea na siku wakirudi wanakuta tupo uchumi wa kati b+ ndo watajuta.
Wataangalia nani wa kumpa na wao wana wawakilishi hapa.sasa itoe misaada moja kwa moja wamesahau kuwa hizo taasisi zinasajiliwa Tanzania na kwa sheria za Tanzania na siyo EU?
Kazi gani?Sasa wewe unaogopa nini?
Chapa kazi bwashee!
Sidhani kama uchumi wetu unategemea EU. Tulishatoka huko kwenye utegemezi.
Lazima wajute mwaka huuFedha zaidi ya TZS billion 70 ambazo EU imeipa Tanzania katika kupambana na Corona ambayo serekali ilijinasibu haipo hadi kukataza watu kuvaa barakoa zipo wapi?Huu ni ufisadi wa karne,ufisadi wa kimataifa.Ufisadi across borders.Kwa mara ya kwanza tokea uhuru Tanzania imefanya ufisadi nje ya mipaka yake!
Kokote zilikotoka haijalishi, nilichotaka ufahamu kwamba US na Ulaya kuzuia vijimisaada vyao si mwisho wa Tanzania kuendelea. Tanzania ina wadau wengi wa maendeleo. Akifunga mlango mmarekani kuna nchi zitafungua.Unajua pesa za REA zimetokana na nini wewe??? Au ndo unaaamini kama mnavyodanganywa kuwa ni pesa za ndani??
Kuna mdau gani wa maendeleo anayekuchangia zaidi ya hao????Kokote zilikotoka haijalishi, nilichotaka ufahamu kwamba US na Ulaya kuzuia vijimisaada vyao si mwisho wa Tanzania kuendelea. Tanzania ina wadau wengi wa maendeleo. Akifunga mlango mmarekani kuna nchi zitafungua.
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
uko sahihi mzee, misaada ni njia kuu wa ukoloni mamboleo, mzungu hana free lunch aisei, anatuambia tusubiri misaada hana maana kabisa. usikubali jirani yako atoe misaada kwenye familia yako, iku siku utajutia.Hakuna Beberu yeyote atakaye mgusa JPM si kwa vikwazo wala adhabu nyingine yoyote. Wote baada ya muda wataendelea kushirikiana na JPM. JPM kwasasa ameibeba Tanzania Mabegani mwake, chini yake Tanzania itaendelea kung'aa na kuwa na nguvu za ushawishi duniani. Ni swala la muda tu wasio elewa wataelewa.