Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #321
Kama wewe ni huru ungeenda kutembeza bakuli kwao kudai unaomba hela za covid wakati umetangaza kuwa huna covid kilaza wewe??😂😂😂Sijaona hata kilichokufurahisha hapo! Tanzania ni nchi huru, tusipangiane vitu vyakufanya! Ukoloni ulikoma tarehe 9.12.1961!
Unaefurahia hayo, hutokuwa salama kabisa siku yakija mabaya!