Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Hata ungepewa link usingeipata hadi utumie VPN ambayo CCM mmezuiwa.

Weka hapa hiyo link acha blah blah kwanza kwa kawaida kama ni jambo ambalo EU wanalipa umuhimu lingetangazwa na mainstream media Dunia nzima, wala tusingehitaji kusikia kupitia kwako, hivyo ni hamna kitu hapo, ...
 
Sisi wanyonge tunafurahia kuongezeka kwa fursa za biashara, na kutokusumbuliwa pale tu tunapokuwa tuna
Ndio maana walikamatwa na kuondolewa kwenye vituo, wakatumia ubinadamu na kuwaachia huru 😀

Ni mpinzani yupi alikamatwa kwa tuhuma za kukutwa na kura fake?(Niwekee source/link)Hao watuhumiwa walipandishwa mahakamani lini?Ni sheria ipi inasema kuwa akikamatwa mtu kwa kosa la jinai ambalo ni very serious kama vile kupeleka kura fake vituoni anaweza kuachiwa na Polisi kwa ubinadamu hata kabla hajafikishwa mahakamani?Unafanya mzahaa na mimi?
 
Sasa kwa taarifa yako jiandae. Wewe na hao mabwana zako. Mtajuta kuiba uchaguzi mwaka huu.

Eti Tanzania haijawai kuwalamba miguu wakati kila siku mbatembeza bakuli kwao kuomba hela za misaaada na mikopo.

Na jiandaeni kula jeuri yenu. Bado ICC sasa

Ina maana haujui hata status ya bajet ya Tanzania

Pole
 
Weka hapa hiyo link acha blah blah kwanza kwa kawaida kama ni jambo ambalo EU wanalipa umuhimu lingetangazwa na mainstream media Dunia nzima, wala tusingehitaji kusikia kupitia kwako, hivyo ni hamna kitu hapo, ...
Nikuwekee wewe kama nani hutaki unaondoka simple.
 
Nyerere baada ya kuifilisi nchi na siasa zake za kise nge za ujamaa usioeleweka , na mavita yake ya kutetea ukatoliki kule Nigeria , uvamizi wa Zanzibar na kuivamia Uganda nchi ilifilisika ikamlazimu kwenda kuangukia kwa hao unaowaita mabeberu , huko ndiko akapewa hayo masharti
 
Endelea kuishi kwa historia. Unadhani wakati nyerere anaondoka hivyo viwanda vilikuwa vinafanya kazi???? Hujui wakati wa huyo Nyerere ndo watu walipanga foleni kununua bidhaa madukani au hujui????

Hujui huyo nyerere ndo alipona kupinduliwa mara nyingi zaidi kuliko mtu yeyote???

Hujui aliifikisha nchi sehemu mbaya zaidi kiuchumi hadi akaamua kumsusia mwinyi???

BILA WAZUNGU HATA HILO BUNDLE UNALOTUMIA UTANYANG’ANYWA
 
Walizi
kitu gani kiliwafanya mzitafune hamkuzirudisha ?
Walizileta wenyewe kwa masifa yao, kama walishindwa kutoa wakati wa corona iweje watoe wakati corona imeisha?
Walitegemea watutupie ndowano tunase tabia zao ila sisi tumegoma na chambo kimeshaliwa.
 
Kokote zilikotoka haijalishi, nilichotaka ufahamu kwamba US na Ulaya kuzuia vijimisaada vyao si mwisho wa Tanzania kuendelea. Tanzania ina wadau wengi wa maendeleo. Akifunga mlango mmarekani kuna nchi zitafungua.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Binti sayuni usiye bikiri ni uongo kama uongo mwingine.
Hujui usemalo
 
Walizi
Walizileta wenyewe kwa masifa yao, kama walishindwa kutoa wakati wa corona iweje watoe wakati corona imeisha?
Walitegemea watutupie ndowano tunase tabia zao ila sisi tumegoma na chambo kimeshaliwa.

Ndivyo alivyokuambia Polepole ?? mbona hawakuniletea mimi au wewe ??
 
Mafanikio huja na gharama zake....wenye akili tunafahamu ukipiga hatua moja kwenda ya pili vikwazo ni lazima....watoto wa juzi hamjuhi kuwa hata Vita Vya Kagera kuna gharama zake bado tunalipa hadi leo! Kuiondoa nchi yetu kutoka shamba la bibi hadi kufikia raslimali zetu kutunufaisha sisi wenyewe sio jambo la kufurahisha kila mtu.
Nyumbu wa Mbowe endeleeni kukesha mkiomba ili Lissu apewe urais wa BURE na EU!
 
Mafanikio gani??? Ya kupora watu ushindi wao na kuwabambikia makesi??
 
Back
Top Bottom