Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Ukitaka tupate kibano acha kulipa kodi huenda utasaidia hilo.
Mmeshapanic bwashee mara hii, si mtulie msubiri kibano!
[/
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeshapanic bwashee mara hii, si mtulie msubiri kibano!
[/
Kwa vyovyote itakavyo Kuwa wachumia tumbo na walio mshauri vibaya Rais ndio tutalala nao mbele. Hatuwezi teseka ilihali Tunajuwa Rais anawashauri
Kabisa bwashe, mwisho wa siku lazima tukale nyama choma ya mbuzi Kiboro. Lakini walau nchi iwe na siasa safi, siyo hii purely dark politics awamu hii.Hahahaaaa.......siasa siyo uadui bwashee!
Masharti ya fedha za EU ni kwamba serekali inapaswa kutangaza publicly(kwa umma ) kwa kutumia njia ambazo ni official kama vile radio,magazeti,tv,e.t.c kuwa kwa siku wamepima watu wangapi,wangapi wamekutwa na Corona na ni wangapi hawajakutwa na Corona.Serekali ya Magufuli iliyafanya haya?Na siyo kupima tu wageni,ila ni wananchi wote
Well,kama vipimo vilikuwa fake serekali ilipaswa kutangaza kuwa vipimo ni fake na hawataweza kutimiza masharti ya EU pamoja na WHO ya kupima watu kisha wakatae fedha zao.Serekali ilifanya hivyo?Serekali ilikataa fedha zao?Kuanzia leo jua tunaposema kuwa Tanzania tuna kiongozi goigoi hatutanii hata kidogo!Vipimo vyenyewe vilikuwa feki!
Usiamini kila uhuni wa wazungu!
Mzee Mgaya yuko Unguja kwa mwaliko wa ACT wazalendo!Yote yalifutwa baada ya matokeo ya vipimo vya maabara.
Tukaonekana hatujawahi kuwa na corona. Hivyo mengine tulifanya kwa maigizo yetu.
Mzee Mgaya anasemaje?
Hahahaaaa...... Bwashee kila zama na kitabu chake.Kabisa bwashe, mwisho wa siku lazima tukale nyama choma ya mbuzi Kiboro. Lakini walau nchi iwe na siasa safi, siyo hii purely dark politics awamu hii.
Waongeze na juu yake kumi zaidi...Stress ndiyo inasababishaga akili ifanye kazi...Tutatoboa tu...Waende zao na uchumi wao mfu...Sisi tunakula kutoka shambani siyo supermarkets...We shall not die of hunger...Tunajua kunywa mwarobaini dawa ya malaria ikikosekana...Ole wenu ma cry baby ninyi ndiyo sijui mtakuwa wageni wa nani...Sisi majoritanian hiyo wala siyo habari...Ninyi mnaochombeza mkidhani mnatukomoa ndiyo mjiandaye...Mkuu spana tani kumi INASHUKA
Jiandae kutembeza kiminiNyie Lisu kawaambia andamaneni ili hata wazungu watuone basi. Mkaishia kucoment kwenye social media huku mkila ugali maharage kwa shemeji zenu.
Umeona wenzenu wa Bob Wine kule Uganda? Umeona wanajibebisha kwa Amsterdam?
Icc is on the way. Stay tunedKwendraaaaaa
Ivi corona kumbe Tanzania haikuwahi kuuwa mtu yeyote3. COVID19.
Nilitegemea kusikia ni, njia gani ilizotumia Tanzania kuondokana na janga la Corona mpaka kufikia hatua ya watu wake kuendelea na maisha yao Kama kawaida bila vifo Wala athari yeyote?
#Mungu Mlinde Jiwe, Mungu tulinde Watz wote, Mungu ilinde nchi yangu.
#I love my country [emoji1241].
Duuh haki za wanawake na watoto waliokuwa wanakosa dawa na vitanda siyo haki ya binadamu ila nguruwe ila ya wao kukosa malighafi free of chaji ndiyo haki za binadamu...kinachoniumiza ni kuona kuna ambao wanashadadia badala ya kutoa mbinu za kukabiliana na hawa vampiresYule mwenyekiti yuko bold vibaya sana. Amenufurahisha pale aliposema tunawezaje kutoa hela za walipa kodi wa ulaya kwa mtu ambae anadidimiza Haki za binadamu!!