Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Akina nani wewe haumo? 1. 6 trilioni kwa najeti ya tanzania ambayo mara nyingi huwa ya makaratasi tu hizo ni pesa nyingi.


Kwa vyovyote itakavyo Kuwa wachumia tumbo na walio mshauri vibaya Rais ndio tutalala nao mbele. Hatuwezi teseka ilihali Tunajuwa Rais anawashauri
 
Leo sio mabeberu ni wazungu? 😀
Alafu si mnajitapa hampokei misaada bali mnatumia fedha zenu za ndani?

Haya sasa mwelezeni bwana wenu mmetumiaje hela ya matumizi mliyoachiwa
 
Masharti ya fedha za EU ni kwamba serekali inapaswa kutangaza publicly(kwa umma ) kwa kutumia njia ambazo ni official kama vile radio,magazeti,tv,e.t.c kuwa kwa siku wamepima watu wangapi,wangapi wamekutwa na Corona na ni wangapi hawajakutwa na Corona.Serekali ya Magufuli iliyafanya haya?Na siyo kupima tu wageni,ila ni wananchi wote

Sijui kuhusu hayo masharti, sikushiriki kwenye hayo makubaliano kama hata yalikuwepo, Umi Mwalimu yupo kama kuna cha kujibu atafanya hivyo, ...
 
CDM na shangazi yao watalia vilio vyote mwaka huu.
 
Vipimo vyenyewe vilikuwa feki!

Usiamini kila uhuni wa wazungu!
Well,kama vipimo vilikuwa fake serekali ilipaswa kutangaza kuwa vipimo ni fake na hawataweza kutimiza masharti ya EU pamoja na WHO ya kupima watu kisha wakatae fedha zao.Serekali ilifanya hivyo?Serekali ilikataa fedha zao?Kuanzia leo jua tunaposema kuwa Tanzania tuna kiongozi goigoi hatutanii hata kidogo!
 
duhhh beberu anaongea kwa hasira balaa.....huyu mtu akiwekwa meza moja na jiwe kwa hizi hasira si anaweza hata akamtia meno..
 
Mkuu spana tani kumi INASHUKA
Waongeze na juu yake kumi zaidi...Stress ndiyo inasababishaga akili ifanye kazi...Tutatoboa tu...Waende zao na uchumi wao mfu...Sisi tunakula kutoka shambani siyo supermarkets...We shall not die of hunger...Tunajua kunywa mwarobaini dawa ya malaria ikikosekana...Ole wenu ma cry baby ninyi ndiyo sijui mtakuwa wageni wa nani...Sisi majoritanian hiyo wala siyo habari...Ninyi mnaochombeza mkidhani mnatukomoa ndiyo mjiandaye...
 
Mimi naamini Sana katika kujitegemea, nawaambia ukweli tu kuwa Watanzania tuna uwezo was kujitegemea, Rais ameonyrsha njia, tuchape kaxi, Magufuli Go, go, wananchi wengi tupo nyuma yako, Hawa mabeberu hawana jemakwaTz yetu
 
Sisi ni dona kantri tukitaka tunawarudia vipesa vyao mbuzi,alaaa,pesa yenyewe yamejipendekeza yenyewe kutupa halafu masharti kibao,mafwala kweli hayo mabeberu koko
 
Nyie Lisu kawaambia andamaneni ili hata wazungu watuone basi. Mkaishia kucoment kwenye social media huku mkila ugali maharage kwa shemeji zenu.

Umeona wenzenu wa Bob Wine kule Uganda? Umeona wanajibebisha kwa Amsterdam?
Jiandae kutembeza kimini
 
Leo katika baraza la mawaziri zanzibar ndio nimeona leo kuna Wizara inaitwa Wizara ya uchumi wa Buluu.... Hii serikali ipo serious lakini 😀 Blue economy kweli? Si wangesema tu uchumi wa bahari! Out of topic though!

Askari bana, eti kuna mwenzao kapigwa risasi 😀 wanafanya jitihada ili kuhalalisha mauawaji waliyoyafanya!
 
3. COVID19.
Nilitegemea kusikia ni, njia gani ilizotumia Tanzania kuondokana na janga la Corona mpaka kufikia hatua ya watu wake kuendelea na maisha yao Kama kawaida bila vifo Wala athari yeyote?



#Mungu Mlinde Jiwe, Mungu tulinde Watz wote, Mungu ilinde nchi yangu.

#I love my country [emoji1241].
Ivi corona kumbe Tanzania haikuwahi kuuwa mtu yeyote
 
Yule mwenyekiti yuko bold vibaya sana. Amenufurahisha pale aliposema tunawezaje kutoa hela za walipa kodi wa ulaya kwa mtu ambae anadidimiza Haki za binadamu!!
Duuh haki za wanawake na watoto waliokuwa wanakosa dawa na vitanda siyo haki ya binadamu ila nguruwe ila ya wao kukosa malighafi free of chaji ndiyo haki za binadamu...kinachoniumiza ni kuona kuna ambao wanashadadia badala ya kutoa mbinu za kukabiliana na hawa vampires
 
Back
Top Bottom