Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Audit inaombwa na shirika iliyoleta hela siyo EU tena nakukumbusha walihoji hayo ni Wabunge kutoka ujerumani tena kumbuka Lisu alijificha Ubalozi wa Ujerumani tena kumbuka Ujerumani ndiyo yenye chama tawala kinachoisaidia Chadema tena kumbuka Amsterdam ni Mfuasi wa Chadema tena kumbuka taarifa yake alipeleka kwa wabunge wa Ujerumani mwisho nasema wabunge wa Ujerumani ni Chadema iliyochangamka
Sisi wananchi tunataka audit,pesa ikishaingia serikalini haiwezi kutumika kiholela bila ukaguzi kufanyika!Hiyo ni hski yetu ya msingi kabisa!
Mengine hayo sioni hoja!
 
Wakati huo unapata taarifa,ukatembeza bakuli kuchangisha kwa ajili ya kumtibia ndugu yako!Na akatibiwa na kupona kwa pesa za michango,ndio ukapokea hizo 60,000 kwa ajili ya mgonjwa yule yule!Sasa kinachotakiwa ni hesabu tu!Au kupiga hesabu ni dhambi?

NB:Tunataka tujue pesa hizo ziko wapi,au kama zilitumika zilitumikaje na auditing ifanyike!Je,kama kuna ufisadi umefanyika?Watu wamekula hadi pesa za rambirambi,sembuse hizi za Corona?
😂😂😂😂 umenishinda tabia mkuu, walichangisha rasmi pesa lini?? Hata hivyo pesa hiyo haikutosha any way wewe kama sio muha basi mhaya mpenda sifa😂😂😂😂(nafaham pesa imepgwa kiasi lakini sio kwa kiwango mnachodanganyana , kwani Serikal ni watu na hakuna mtu kwa sasa asie penda $€
 
Sisi wananchi tunataka audit,pesa ikishaingia serikalini haiwezi kutumika kiholela bila ukaguzi kufanyika!Hiyo ni hski yetu ya msingi kabisa!
Mengine hayo sioni hoja!
Zile za mlizochangisha kumtoa jela Mbowe na wenzake mlifanya auditing?. Mbumbumbu wa Ufipa nakujulisha Auditing ya pesa anapewa aliyekabidhi pesa siyo wewe wa Mangi wa Mashati Rombo.
 
Msaada ukishatolewa basi ni pesa ya watanzania na tunayo haki ya kuhoji!Awamu hii hampendi kabisa kukaguliwa,sijui kwa nini?
 
😂😂😂😂 umenishinda tabia mkuu, walichangisha rasmi pesa lini?? Hata hivyo pesa hiyo haikutosha any way wewe kama sio muha basi mhaya mpenda sifa😂😂😂😂(nafaham pesa imepgwa kiasi lakini sio kwa kiwango mnachodanganyana , kwani Serikal ni watu na hakuna mtu kwa sasa asie penda $€
Basi ndio hivyo tunataka auditing kwenye hizo pesa!Maana si tunapambana na ufisadi!!!
Hivi hukuona matangazo ya kuchangia kupambana na Corona?Pia IMF ilitoa pesa kipindi hicho!
 
No one went to ask for the money being brought in by UN agencies. And the money was to combat the effects of Corona not to treat Corona because Corona has no cure. Go and tell your masters this message
 
Tunataka hesabu,hizi nyenyenye haziwezi kuwa majawabu!
 
Wewe hupewi hesabu hesabu anapewa aliyekabidhi pesa hiyo ni kanuni za Ukaguzi /Auditing wewe mbumbumbu wa Ufipa usiyejua kitu zaidi kupelekwa kama nyumbu
 
Back
Top Bottom